Watanzania wanaosoma Urusi huwa wanachezewa akili na Warusi?


Kuna kaukweli ila hapo kuwa masters ya urusi anazidiwa na bachelor ya mwingereza .
Sio kweli ni upandikizi wa akili ya mwingereza kuwa elimu yake ipo juu ila sio ukweli
 
Duuh basi inategemea mana mm nina bro wangu kasoma mpk master Russia yupo vizuri na anakula shavu now vilevile kuna classmate wangu kamaliza degree now yupo USA army anakula bata

Huyo classmate wako aliyeko usa alisomea russia nampata mkuu si alizaa na mwanamke wa kirusi ana katoto ka kike.
 
Tatizo ulevi na umalaya. Nchi hiyo baridi kali sana

Ndo maisha ya huko.
Kama hauna demu lazima uwe mtu wa klub za usiku na pombe sana.

Baridi mpaka kuna heater zinatoa au kupuliza hewa ya joto mkuu.
Ulikuwa huko
 

Mkuu umesema ukweli.upo chuo gani urusi na upo mkoa upi namaanisha jiji la urusi.

Maskava au Saint Peter.

Upo RUDN
 
Nimehamasika kwenda Urusi kusoma kutokana na comments za wadau.

Ngoja nifuatilie mambo ya scholarship.

Kama unataka nitakusaidia kukuambia pa kuanzia uendepo ila nakuuliza unaenda urusi kufanya nn kutafuta elimu au kutembea tu kupiga misele uwaone wadada wa kirusi walivyo wachangamfu ktk nite clubs zao na waejoi au uitumie kama daraja la kwenda mbele zaidi kimaisha kama kuusaja uaraia wa usa Norway uk mana ndo ndoto nyingi za vijana wa kuafrica.
 
mda mwingine mtu ambaye ana elimu hupenda kufanya kitu ambacho wengine wanapinga iliali eti yy ni msomi kwaiyo anajua kila kitu
 

wewe je vipi akili yako imechezewa hapa hapa bongo ama??
 
inashangaza sn.pia naishangaa s/kali ytu,kwa kua inapoteza pesa nyingi kuwasomesha watu wke
rkn mwosho wa cku hasara.aifanyi uchunguzi,aijiuri kwa nn hyu karudo yko so!ni ttzo kwakweli.roho inauma kupoteza maichinia,maprofesa nk.

sisi nao kila kitu tunailaum tu serikali jaman,,, sasa MAICHINIA wakiwa walevi nalo linakuaje tatizo la serikali?
 

mkuu hapo kwenye no. 3 hiyo sehem karibu na washington haina jina ama hilo ndo jina lake?
kuna hili pia ila ni nje ya mada; kuna mtu humu anawaita nyie eti ni maichinia yaan mimi nimechukia kwakweli je wewe haujachukia?
 
Wengi wanaathirika kwa Pombe kali ambayo huchochewa na baridi kalo pia hapa nchini tuna vijana wengi wanaathirika kwa Viroba na tunawaamini kutupakiza kwa bodaboda..
Si wengi kihivyo wanaoathirika coz wasomi wetu wengi sana wamepitia Urusi hasa kipindi tuna ujamaa haswa.
 
Ndio Nyie mnaozungumziwa na Mtoa mada.... Machizi...

Mfano uliotoa ni chizi peke yake anayeweza toa mfano usioendana na akili timamu... IQ Ndogo mno... utakuwa Umesomea Urusi wewe kama sikosei...

asomee urusi ipi acha kumpa sifa mgambo wa jiji uyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…