Watanzania wanasambaza maji kutoka Tanzania mpaka Gaza.

Inapendeza lakini wawe makini lisije likawakuta la kuwakuta huko.

Vita siyo rafiki mpaka watu wamefikia kugawiwa maji kwenye ma-bowser tena kwa kuhesabiwa siyo jambo la masihara

Mpaka wameenda gaza kusaidia ujue wamejiandaa kwa lolote, litalokua liwe, kufa kupo wala haiepukiki, na wakifa wamekufa mashaahid. Allah awajaalie kheri nyingi kwa kujitolea
 
Nasubiri wazayuni weusi waje waseme hao ni waarabu na sio watanzania, akili za watu wengine bwana wakishaona mtu mweupe tu wanajua si mtanzania, mpaka awe mweusi 😄

Mwenyezi Mungu awabariki sana watanzania wenzetu, na wengine waliojitolea kuwasaidi
 
Tumekwisha kumbe magaidi tuko nao humuhumu nchini kwetu!! Tusubiri tu Wajiripue. Halafu waambie waambie magaidi wenzao warudishe miili ya Watanzania wenzetu

Watanzania gani? Waliokua wakisapoti mazayuni kuuwa ndugu zetu waislamu sio! Yeyote anaesapoti magaidi wa kizayuni atakipata cha moto
 
🖕🖕🖕hawa waliyo pewa mali zatanganyika wakaziuwa eti wamepgania uhuru 🤣🤣🤣aiseee tunasafar ndefu kufka
 

Wakiona tu mtu mweupe utasikia huyo sio mtanzania ni mwarabu/mhindi 🤣 wakati ni mzaliwa luhumbo, maganzo n.k 🤣, hawa watu bwana! Utafikiri ni wao tu wana haki
 
Wakiona tu mtu mweupe utasikia huyo sio mtanzania ni mwarabu/mhindi 🤣 wakati ni mzaliwa luhumbo, maganzo n.k 🤣, hawa watu bwana! Utafikiri ni wao tu wana haki
Mapuanguani hao halafu hao hoa utakuwa wana mshabikia Obama😂
 
Si ungeunganisha tu thread hadi uanzishe uzi mpya? Maji machafu ya kuoga ndio msaada? Si mnalia kila siku kuwa marekani hafai na misaada yake sio kitu..

Waambieni hao waarabu wachafu tunamtaka mtanzania mwenzetu Joshua Mollel wameficha maiti yake msikitini laantul

 
Hao wameenda kutafta tikiti ya kwenda kula bikra 72 kwa mudi kama sinwar
 
Wanaukumbi.

Watanzania waingia Gaza na misaada wakigawa chakula pamoja na maji ya kunywa kwa raia wa Palestina.

View attachment 3142390


Tatizo lako wewe huna akili, umekuwa kilaza mkubwa sana, umeshindwa kutofautisha kati ya Palestine people na magaidi ya Hamas, yaani wewe hujui hata nukta kuwa Israel haina shida na watu wa Palestine, ila Magaidi wa Hamas wanawatumia hao raia wa Palestine wasio na hatia kujificha na kufanya ugaidi..!!

Sbb IQ yako ni zero, unschooled, hopeless kabisa hujui who is Palestine citizen and who is terrorist Hamas, hao wananchi wa Palestine wanateseka sbb ya magaidi Hamas, alafu wewe nyoko sana
 
Sijamsikia rais wa Palestina akiongea, au Gaza sio sehemu ya Palestina?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…