FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Kufanywa Ghaza mpka uwe hukubali kuwachia.Unamaanisha kila nchi zenye maliasili kama tz lazma ziwe kama gaza sio na je tangu tupate uhuru washawahi anzisha vurugu!? Tatizo sis waafrika tuna weak bond baina yetu na mataifa yetu kwa ujumla ,tusitafte mchawi nani.Tupo kama mwili usio na kinga hivyo ni vyepesi kushambuliwa hata na maradhi ya kawaida.Tusipende kuwalaum wazungu kwa kila kitu.
Tanzania tumewawachia wenyewe, wachukuwe watakavyo, tulijidai kubana, mara mbili, wakati wa nyerere na wakati wa magufuli, kuminywa kidogo tu tukawachia wenyewe.
Tanzania wanakuja kujikita kabisa bila bughdha yoyote, wanajichotea watakavyo.