Watanzania wanasambaza maji kutoka Tanzania mpaka Gaza.

Watanzania wanasambaza maji kutoka Tanzania mpaka Gaza.

Kwanini wasiende 🇸🇩 Sudan kwa Weusi wenzao?!
Au Darfur ambako Janjaweed Arab Militias wanafanya Genocide dhidi ya Watu weusi.
Au waende DRC
 
Nasubiri wazayuni weusi waje waseme hao ni waarabu na sio watanzania, akili za watu wengine bwana wakishaona mtu mweupe tu wanajua si mtanzania, mpaka awe mweusi 😄

Mwenyezi Mungu awabariki sana watanzania wenzetu, na wengine waliojitolea kuwasaidi
Ni waarabu koko
 
Roho mbaya za wagalatia sasa Gaza kupewa maji na Watanzania wewe unaumia lini imeletwa humu? Weka lnk.

Nyie ndiyo mpo mjini mnajitapa kijiji kwenu wazee wenu bado wanakunya kwenye mashimo.

Baadhi ya walokole wajinga sana halafu waongo hili tukio limetokea tarehe 29/10/2024 wewe punguani unasema ya siku nyingi😂 angalia wameweka na tarehe mbele ya gari.
Kwani kuachia mateka kuna ugumu gani?
 
Wasituletee balaa..nchini kwetu waondoe hyo bendera kama wametumwa na yule bibi yao mwenye macho kama bikra za ahera..
Kwanza walipuliwe huko huko warudi unga
 
Kuzaliwa kijijini ndiyo unadhani unakuwa Mtanzania nyie mmezaliwa mipakani wengi mna roho mbaya mnaanimi ukiwa mweusi ndiyo Mtanzania😂 ukichunguzwa sana wewe unaweza kuwa mrundi. Uchumi wa Tanzania umeshikwa na Wahindi na Waaraabu walizaliwa Tanzania tena wazee wao wamepigania uhuru na. Nyerere kawadhulumu mali zao nyingi wakati babu yako anachunga Nguruwe.
Huyu jamaa atakua ni mrundi
 
Si vibaya kutoa misaada lakini inafikirisha sana,huenda tuna magaidi humu ndani lakini hatujui
 
Tumekwisha kumbe magaidi tuko nao humuhumu nchini kwetu!! Tusubiri tu Wajiripue. Halafu waambie waambie magaidi wenzao warudishe miili ya Watanzania wenzetu
Usiwe punguani wewe nyie wajinga wajinga ndiyo mnawapa utajiri kina Mwambosa, yaani watu wanakaliwa ardhi yao kwa mabavu unawaita magaidi ndiyo maana unaona hata UN na mataifa ya Ulaya yanaojilewa wanajua kuwa Hamas wanapambana na magaidi ya Israel ni mashoga peke yao ndiyo wanasema Hamas ni Magaidi.
 
Back
Top Bottom