Watanzania wanasambaza maji kutoka Tanzania mpaka Gaza.

Kwanini wasiende 🇸🇩 Sudan kwa Weusi wenzao?!
Au Darfur ambako Janjaweed Arab Militias wanafanya Genocide dhidi ya Watu weusi.
Au waende DRC
 
Ni waarabu koko
 
Kwani kuachia mateka kuna ugumu gani?
 
Wasituletee balaa..nchini kwetu waondoe hyo bendera kama wametumwa na yule bibi yao mwenye macho kama bikra za ahera..
Kwanza walipuliwe huko huko warudi unga
 
Huyu jamaa atakua ni mrundi
 
Si vibaya kutoa misaada lakini inafikirisha sana,huenda tuna magaidi humu ndani lakini hatujui
 
Tumekwisha kumbe magaidi tuko nao humuhumu nchini kwetu!! Tusubiri tu Wajiripue. Halafu waambie waambie magaidi wenzao warudishe miili ya Watanzania wenzetu
Usiwe punguani wewe nyie wajinga wajinga ndiyo mnawapa utajiri kina Mwambosa, yaani watu wanakaliwa ardhi yao kwa mabavu unawaita magaidi ndiyo maana unaona hata UN na mataifa ya Ulaya yanaojilewa wanajua kuwa Hamas wanapambana na magaidi ya Israel ni mashoga peke yao ndiyo wanasema Hamas ni Magaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…