Watanzania wanasambaza maji kutoka Tanzania mpaka Gaza.

Kama wewe mrundi wa Kigoma.
Ni kweli Warundi wa Kigoma ni wenyeji wa asili waa hii nchi.

Mbona hao wapakistan hawapeleki msaada kwa ndugu zao wa DRC wanaouawa kila siku au hata Sudan. Hao watafuta kiki tu.

Wapakistan ni watu wa hovyo sana
 
Shobo tu........mbona walivyouliwa watanzania hatukuona hata wakipereka hema la msiba kwa ndugu wa marehemu na ni watanzania kabisaa...........hapo ndio ujue hii miarabu hiko kama michura chura........inajifanya special kweli yahudi choma mpaka kobazi yaani tandika na hilo boza mpaka wakipata haja kubwa wajifutia nguo au michanga.............maana mchezo waliutaka wenyewe hakuna muda wa kubeza.................na hii serikali yetu eti inalaani vita ya Israel lakini kupereka wanafunzi kusoma aahhh wanapenda...............unafki tu hata haya kulaani kuuliwa watanzania wenzetu.................kubavu kabisaaa
 
Kwakweli Tanzania tumekua dona kantre kama alivyosema JPM
 
Angalia mlivyo wanyama. Huyo ni muislamu mwenzio ambaye alimchinja raia wa watu Uingereza mchana kweupe! Halafu akamkatakata kama muuza nyama wa butcher

View: https://x.com/HoodedClaw1974/status/1852983845663932618
 
Kwa nini wasiende kongo au sudani kusaidia Waafrika wenzao wanakufa njaa

Kujipendekeza kwa Waarabu tu kisa dini
Ukweli usio na shaka wameenda kwa mtizamo wa kidini.Japokuw msaada ni msaada lakin ni salama saana tuu endapo serikali yetu imelichakata na kuliruhusu litanyike liluvyofanyika.
 
watu ndio wanatakatisha hela hivyo
 
Hiyo hali ya dhulma ipo kwa zaidi ya miaka 75 sasa.

Wakilimaliza huko sasa wanafata maliawsili za Tanzania. Huko kinachowasumbuwa ni gas tu iliyopo Ghaza.
 
Hiyo hali ya dhulma ipo kwa zaidi ya miaka 75 sasa.

Wakilimaliza huko sasa wanafata maliawsili za Tanzania. Huko kinachowasumbuwa ni gas tu iliyopo Ghaza.
Unamaanisha kila nchi zenye maliasili kama tz lazma ziwe kama gaza sio na je tangu tupate uhuru washawahi anzisha vurugu!? Tatizo sis waafrika tuna weak bond baina yetu na mataifa yetu kwa ujumla ,tusitafte mchawi nani.Tupo kama mwili usio na kinga hivyo ni vyepesi kushambuliwa hata na maradhi ya kawaida.Tusipende kuwalaum wazungu kwa kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…