Watanzania wanasambaza maji kutoka Tanzania mpaka Gaza.

Kufanywa Ghaza mpka uwe hukubali kuwachia.

Tanzania tumewawachia wenyewe, wachukuwe watakavyo, tulijidai kubana, mara mbili, wakati wa nyerere na wakati wa magufuli, kuminywa kidogo tu tukawachia wenyewe.

Tanzania wanakuja kujikita kabisa bila bughdha yoyote, wanajichotea watakavyo.
 
Lakin wanajua kabsaa hata kias tunachokipata kina ishia mikonon mwa wachache yaan wanatujua ubinafsi.Wana jua mali tulizo limbikiza kwao,kwa udhaifu huo tulionao unawapa nguvu ya kutuvuruga.kiufupi wana tujua tulvyo cheap katika angle hizo.
 
Hao wachache mpaka wawape wao. Hakuna mwenye ujanja wa kujipa mwenyewe.
 
Hawa wasiopewe misaada waliwatesa sana bibi zetuuu hawaaa warabu
 
Umejazwa ujinga na umekujaa. Hao walikuja kuwaokowa bibi zako.

Tazama bibi zako walioolewa na Waarabu na walioolewa na wasio Waarabu utapata jibu.
 
Hao wachache mpaka wawape wao. Hakuna mwenye ujanja wa kujipa mwenyewe.
Yeah lakin hao wachache wanaaksi hulka zetu na usisahau tz hapa kamfumo kaisko rasim kwamba serikali haina shukrani kwahyo ukipata nafas piga hasa.Sas akili kama hizi zikimwagwa dollar za kutosha watu wanaweza salitiana na bila kujua tulipokosea utashangaa tunawalaum wazungu.
 
Huwezi kufanya lolote bila kuidhinishwa na kuwekwa na mabwabwa wakubwa wa dunia.

Kama huna ujasiri wa Ibrahim Traore endelea kuufyata tu.
 
Umejazwa ujinga na umekujaa. Hao walikuja kuwaokowa bibi zako.

Tazama bibi zako walioolewa na Waarabu na walioolewa na wasio Waarabu utapata jibu.
Hivi dada Faiza ungepewa uwezo wa kuamuru amani kati ya DRC,Dafur na Gaza wew ungeanza kuamuru amani ianzie wap kat ya hayo maeneo kwa interval ya miaka miwili miwili kutoka kumuru katika eneo moja hadi jingine?.
 
Ningewaambia piganeni muuwane mpaka muheshimiane. Mkiheshimiana tayari mtaamuwa nani atawale.
 
Huwezi kufanya lolote bila kuidhinishwa na kuwekwa na mabwabwa wakubwa wa dunia.

Kama huna ujasiri wa Ibrahim Traore endelea kuufyata tu.
Kuidhinishwa ni kitu kingne na kusmamia rasilimali ni kitu kingne.
 
Ningewaambia piganeni muuwane mpaka muheshimiane. Mkiheshimiana tayari mtaamuwa nani atawale.
Sawa basi endelea kuenjoy kinacho endelea Gaza mpaka hapo watakapo heshimiana na na mbethlehem wa yudea.
 
Kuidhinishwa ni kitu kingne na kusmamia rasilimali ni kitu kingne.
Huwezi kusimamia hizo rasilimali kwa kuamuwa kwako tu bila kuwa na ujasiri wa Mujahid Ibrahim Traore.

Kuwa na ujasiri wasimamia wewe basi, kama huwezi, ufyate kama wanavyoufyata wanaozisimamia toka tupate uhuru.
 
If u can't fight them join them.
 
Nyoko kweli wewe,wangeenda Israel ungesema haya mavi? Na hawatarudi salama mbwa hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…