Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #421
Mheshimiwa Makonda ni akili kubwa na mtu mwenye maono makubwa sana na mwenye ujasiri na uwezo mkubwa sana kiuongozi.si umeona mchakamchaka unaopigwa huko katika ziara zakeAGOMBEE NA KUPEWA ..SIO AGOMBEE NA KUSHINDA ….
YAANI ITAKUWA WOTE TUMEKUFA HADI TUONGOZWE NA MTU ASIYE NA KICHWA ??
Makonda ni sauti ya wanyonge .ndio maana unaona namna mikutano yake inavyofurika na kumiminika maelfu ya wananchi wanaokwenda kwa miguu kwa hiyari yao. Makonda ni Mwamba kwelikweli hayumbi wala kuyumbishwa wala kuteteleshwa na yeyote yule.CCM walimteua Makonda kwenye hiyo nafasi ili azidi kupata dhambi zaidi ili Mungu achukie.
NIKIKUMBUKA AWAMU YA 5 KWELI MUNGU aendelee kuitwa Mungu.
Wewe ndiye zezeta usiyejitambua. Lakini Mheshimiwa Makonda ni akili kubwa aliyejaa maono makubwa katika kifua chake juu ya Taifa letu. Ndio maana unaona unaona namna anavyotoa hoja nzito nzito na za kutetemesha kila akipanda jukwaani .Zezeta haliwezi kuwa Raisi wa Jamhuri.
Wewe mwenyewe Zezeta la Lumumba.Wewe ndiye zezeta usiyejitambua. Lakini Mheshimiwa Makonda ni akili kubwa aliyejaa maono makubwa katika kifua chake juu ya Taifa letu. Ndio maana unaona unaona namna anavyotoa hoja nzito nzito na za kutetemesha kila akipanda jukwaani .
Akili yangu nikisema nikuwekee kichwani mwako ni lazima uwake moto maana ni kubwa sana.Wewe mwenyewe Zezeta la Lumumba.
Mimi sitegemei muamala usome ndio nile,mimi sio Chawa Kunguni Zezeta la Kinyakyusa.Akili yangu nikisema nikuwekee kichwani mwako ni lazima uwake moto maana ni kubwa sana.
Amka mkuu utajikojoleaWewe ndiye unayedharaulika.
Wewe tangia lini umeanza kujitambua.Mimi sitegemei muamala usome ndio nile,mimi sio Chawa Kunguni Zezeta la Kinyakyusa.
Mimi najitambua.
Mimi situpiwi mifupa na Wanasiasa ili niende choo kama wewe.Wewe tangia lini umeanza kujitambua.
Hii nchi bana Yani mtu ambaye aliwahi kuhusishwa na mauwaji kipind Cha dkt magu Leo hii mtu yule yule tumchague awe Rais wetu??? Haingii akilini kabisaAcha kuongea vitu usivyo na ushahidi navyo wewe
Bila shaka we ni chawa wakeMheshimiwa Paul Makonda anatakiwa kupewa urais
Mungu ndiye mlinzi mkuu wa Mheshimiwa Makonda na ndiye anayeendelea kumlinda na kumpatia kibali mbele za watanzaniaAliyekutuma umpambe ni zero brain and you too…… You know what? Unamtafutia balaa zito ndani ya chama coz all the bigest papa in ccm they are look urais
Think twice
Wewe ndiye zezeta.lakini Mheshimiwa Makonda Na Rais mtarajiwa ni akili kubwa yenye upeo wa mbali na maono makubwaZezeta haliwezi kuwa Raisi wa Jamhuri.
Ndio ni chawa wake .Bila shaka we ni chawa wake
Unamkatia kiuno Mwanaume mwenzako?Wewe ndiye zezeta.lakini Mheshimiwa Makonda Na Rais mtarajiwa ni akili kubwa yenye upeo wa mbali na maono makubwa
Mshabiki huyo....Kwahiyo wewe umetumia simu na magazeti?
Haya tuambie gazeti gani lilikusanya kura ya maoni tutakubali bila shaka yoyote na sisi tulisome! We need facts not black blaa