Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #421
Mheshimiwa Makonda ni akili kubwa na mtu mwenye maono makubwa sana na mwenye ujasiri na uwezo mkubwa sana kiuongozi.si umeona mchakamchaka unaopigwa huko katika ziara zakeAGOMBEE NA KUPEWA ..SIO AGOMBEE NA KUSHINDA ….
YAANI ITAKUWA WOTE TUMEKUFA HADI TUONGOZWE NA MTU ASIYE NA KICHWA ??