Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Naangalia hayo macho ya mlinzi wa mbele na yule wa nyuma anapiga makofi😂😂Akiongea na wananchi Mkoani Singida nyumba hapo jana jioni Tundu Lissu ametoa wito kwa Watanzania wengune kuungana na wenzao waliopendekeza Gari lipelekwe Makumbusho ya Taifa.
Akiwa anafafanua. A kuonyesha namna gari lilivyoharibika kwa Risasi kwenye Mlango mkabara na kiti cha mbele alipokuwa amekaa wengi wameona maajabu na miujiza ni namna gani aliweza kupona mvua ya mitutu.
Amemshukuru Mungu kwa kumlinda na kuwahidi watanzania kuwa bado wako pamoja.
View: https://youtu.be/jIYP_sl7lt0?si=MJjaKp1HxQoPbktt
Alilindwa magufuli na amekufaNaangalia hayo macho ya mlinzi wa mbele na yule wa nyuma anapiga makofi😂😂
kule kila akienda ni shamrashamraKwani bahari tangu atoke huko ubelgiji hajawahi fika huko!
We popoma, alishawahi kufika. Sema we muuaji bado unaumia kuona jamaa hakufa kwenye lile shambulizi.Kwani bahari tangu atoke huko ubelgiji hajawahi fika huko!
Ujinga mwingi bongo na muda wa kupoteza!kule kila akienda ni shamrashamra
ujinga kwako wao wanaakili sanaUjinga mwingi bongo na muda wa kupoteza!
Anaeumia ni Mbowe hata lissu anajua kima wewe!We popoma, alishawahi kufika. Sema we muuaji bado unaumia kuona jamaa hakufa kwenye lile shambulizi.
Magufuli utakufa vibaya huko uliko johnthebaptist18 May 2024
Ikungu, Singida
Tanzania
TUNDU LISSU APOKELEWA JIMBONI KWAKE KWA KISHINDO, WATU WAMSUBIRI MPAKA USIKU
View: https://m.youtube.com/watch?v=jIYP_sl7lt0
Tundu Lissu akisimulia jinsi risasi zilipotoboa gari na kujeruhiwa vibaya na watu wasiojulikana
TOKA MAKTABA:
Majeraha makubwa na operesheni kadhaa za kuokoa maisha yake zilifanyika na baadaye matibabu ya kukarabati mwili uliojeruhiwa vibaya kwanza ilianzia katika hospitali ya Dodoma kwa masaa kadhaa, kisha kuhamishiwa hospitali ya Nairobi alikotibia kwa miezi mingi na kuhamishiwa Ubelgiji kwa matibabu ya kitaalamu zaidi kwa zaidi ya miaka miwili
View attachment 2993760
Nyie machadomo mna ujinga mwingi sana.Subirieni siku mkishika Dola ndio mtapeleka wenyeweAkiongea na wananchi Mkoani Singida nyumbani hapo jana jioni Tundu Lissu ametoa wito kwa Watanzania wengi kuungana na wenzao waliopendekeza Gari lipelekwe Makumbusho ya Taifa.
Akiwa anafafanua na kuonyesha namna gari lilivyoharibika kwa Risasi kwenye Mlango mkabara na kiti cha mbele alipokuwa amekaa wengi wameona maajabu na miujiza ni namna gani aliweza kupona mvua ya mitutu.
Amemshukuru Mungu kwa kumlinda na kuwahidi watanzania kuwa bado wako pamoja.
View: https://youtu.be/jIYP_sl7lt0?si=MJjaKp1HxQoPbktt
Anaye andika hajui kwamba wakati wa ugombea urais alienda nyumbani, hata hivyo anaweza kwenda nyumbani wakati wowote bila kuwa nyuma ya mikamera ya waandishi wa habariIna maana toka Amerudi toka Ughaibuni hakuwahi kurudi kwao ? Au nako alikuwa kazuiliwa ? au ni siasa siasani .
All in All live long TL
Kwani Makumbusho ni ya mtu fulani?Nyie machadomo mna ujinga mwingi sana.Subirieni siku mkishika Dola ndio mtapeleka wenyewe