Watanzania wapendekeza Gari la Tundu Lissu lipelekwe Makumbusho ya Taifa, Mwenyewe amshukuru Mungu kuwa hai hadi leo

Watanzania wapendekeza Gari la Tundu Lissu lipelekwe Makumbusho ya Taifa, Mwenyewe amshukuru Mungu kuwa hai hadi leo

Akiongea na wananchi Mkoani Singida nyumbani hapo jana jioni Tundu Lissu ametoa wito kwa Watanzania wengi kuungana na wenzao waliopendekeza Gari lipelekwe Makumbusho ya Taifa.

Akiwa anafafanua na kuonyesha namna gari lilivyoharibika kwa Risasi kwenye Mlango mkabara na kiti cha mbele alipokuwa amekaa wengi wameona maajabu na miujiza ni namna gani aliweza kupona mvua ya mitutu.

Amemshukuru Mungu kwa kumlinda na kuwahidi watanzania kuwa bado wako pamoja.

View: https://youtu.be/jIYP_sl7lt0?si=MJjaKp1HxQoPbktt

Tunamshukuru Mungu kwa kumuweka hai huyu mwamba na badala yake kumuondoa duniani aliyepanga njama za kumuua. Allah akbar!
 
Back
Top Bottom