Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
- #21
Jamaa kila anapoenda upepo lazima unadilikekule kila akienda ni shamrashamra
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa kila anapoenda upepo lazima unadilikekule kila akienda ni shamrashamra
Akiongea na wananchi Mkoani Singida nyumbani hapo jana jioni Tundu Lissu ametoa wito kwa Watanzania wengi kuungana na wenzao waliopendekeza Gari lipelekwe Makumbusho ya Taifa.
Akiwa anafafanua na kuonyesha namna gari lilivyoharibika kwa Risasi kwenye Mlango mkabara na kiti cha mbele alipokuwa amekaa wengi wameona maajabu na miujiza ni namna gani aliweza kupona mvua ya mitutu.
Amemshukuru Mungu kwa kumlinda na kuwahidi watanzania kuwa bado wako pamoja.
View: https://youtu.be/jIYP_sl7lt0?si=MJjaKp1HxQoPbktt
NdioKwani Makumbusho ni ya mtu fulani?
We popoma, alishawahi kufika. Sema we muuaji bado unaumia kuona jamaa hakufa kwenye lile shambulizi.
Ni ya kina Choice Variable et alNdio