Watanzania watia moto vifaranga wengine 5,000 kutoka Kenya

Hakuna chuki hapo kila upande unalinda maslahi ya upande wake
Hv unaifahamu homa/mafua ya ndege.....
The less u know the better.....
Hii issue tuiache kama ilivyo
Umesikia kuna mafua ndege huko Kenya ?! Mbona kipindi chote kuku hawa wameingizwa nchini na hakuna shida?!

After all tunaowatia hasara ni WaTz na sio wa Kenya!! Kwani tayari wao wameshapereka fedha Kenya, na hakuna wa ku refund. Poor we
 
Fuateni taratibu.
 
watu hawa ni akina nani ambao bado wanafanya biashara hii? kwani mtu hajifunzi? wahenga walisema "once bitten twice shy"..hawa watakuwa wajinga kiasi kigani?

I think the Kenyan chicken seller had pocketed his money long before the Tanzanian buyer was nabbed by TRA goons.
 
Sio vifaranga wote wanaotoka kenya wanachomwa ni vile vya wafanyabiashara wanaoingiza kinyemela bila kufuata utaratibu wa malipo tra na vnavyoingizwa kinyume cha taratibu.
 
Sio vifaranga wote wanaotoka kenya wanachomwa ni vile vya wafanyabiashara wanaoingiza kinyemela bila kufuata utaratibu wa malipo tra na vnavyoingizwa kinyume cha taratibu.
Kwa nini msiwataifishe na muwauze pesa iingie serikalini.

Kwa hiyo mnaona bora kuwachoma badala ya kuwauza.

Hata kama wameingizqa bila kufuata sheria hapo ni dhahiri chuki imeonekana kabisa.
 
Duh sasa mbona Tanzania kuku ni 6000 kama 300 ya Kenya, sasa hao watanzania wanakimbilia species au prices?
 
Hata mayai ni marufuku kuingiza nchini.
 
Baada ya kuvichoma moto vifaranga hivyo vimepelekwa Lumumba vijana wa CCM wanatafuna na kahawa.
 
Kwa nini msiwataifishe na muwauze pesa iingie serikalini.

Kwa hiyo mnaona bora kuwachoma badala ya kuwauza.

Hata kama wameingizqa bila kufuata sheria hapo ni dhahiri chuki imeonekana kabisa.
Tatizo sio lingine bali ni kuzuia kusambaza magonjwa ya ndege mbona mayai na sugar wamezitaifisha ila vifaranga na mirungi ndio wameviteketeza
 
Kwa nini msiwataifishe na muwauze pesa iingie serikalini.

Kwa hiyo mnaona bora kuwachoma badala ya kuwauza.

Hata kama wameingizqa bila kufuata sheria hapo ni dhahiri chuki imeonekana kabisa.
Chuki kwa nani anko??? Maana hamna mkenya anahusika hapo hilo swala tunarekebishana watz wenyewe hasa wafanyabiashara wanaokwepa malipo mipakan na kuingiza bidhaa kinyemela. Halafu hiyo issue haipo mpakan kwenu tu na kenya kuna watu wanakamatwa na sukari tunduru mpaka na zambia toka zamani so msione ka hiyo ni chuuki after all hakuna mkenya amekula hasara maana ka biashara ya kuuziana ilishaisha mkenya akala chake bt mtz alietaka fanya janja janja ndio kala hasara sa unaposema chuki ckuelewi
 
Tatizo sio lingine bali ni kuzuia kusambaza magonjwa ya ndege mbona mayai na sugar wamezitaifisha ila vifaranga na mirungi ndio wameviteketeza
Kwani walipimwa wakagundulika na magonjwa ya ndege?
Juzi hapa tulipiga kelele kwenye uzi wa Ghazwat kuwa wapimwe kwanza halafu ndio maamuzi yafanyike, cha ajabu wengi walikimbilia kusema wachomwe moto.

Binafsi sipingi maamuzi ya kukamata hizo bidhaa ambazo zinaingia kinyume na sheria ila bali napinga maamuzi ambayo yana chembechembe fulani ambazo sio nzuri.
 
Isingekuwa chuki kwa hao waTz mngewabinafsisha na iwe mali ya serikali.

Kwa nini mkimbilie kuwachoma bila kuwafanyia uchunguzi kama kweli wana magonjwa ya ndege?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…