Watanzania wengi hawaogi na hawapaki deodorant

Wewe ni mdada au mkaka?
 
Hamia Mars kusiko msongamano ukaishi peke yako.
Tutahakikishaje kuwa na wewe siyo miongoni mwao? Jana nilipishana na wewe vuwanja vya Saba Saba, niliziba pua. Kwa sababu siyo rahisi kujisikia wewe mwenyewe.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sasa ukipaka deodorant si utanukia kama mwanamke!?
Nalog off Z
Ushamba ni mzigo, kuna harufu za kike na za kiume. Hali kadhalika zipo deodorants za kike na kiume. Naomba ni kuelimishe, uchafu au usafi siyo swala la kijinsia. Kwamba kuna jinsia fulani ndiyo inawajibu wakuwa wasafi na nyingine wachafu wenye kunuka. Ukiwa na mtazamo finyu kama huo ni matokeo ya kukosa elimu na exposure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…