Hao cadema miaka yote hayujaona wakitatuwa kero hayta moja kwenye majimbo yao.
Kero ya ndani ya chama ya kuwa chama cha kifalme haijatatuliwa.
Ila watu hao hao wanaobeza maandamano ya jana utawakuata kwenye nyuzi nyingine hapa hapa jamiiforum wanailalamikia serekaliNchi imelogwa hii
Kero ni wajibu wa serekali, cdm wanatatua ndio wasimamizi wa hazina?Hao cadema miaka yote hayujaona wakitatuwa kero hayta moja kwenye majimbo yao.
Kero ya ndani ya chama ya kuwa chama cha kifalme haijatatuliwa.
👉🌈🥱 Maana ndio ulikuwa unaongea upuuzi wa kiwango Cha hatari kabla ya maandamano.kwahiyo wanafiki wengi walibaki nyuma ya keyboard humu JF kwamfano fulani na fulani....
yaan wanahanasisha watu halafu wao hawajitokezi bila sababu...
Kwani ulikuwa hujui? Ndivyo ilivyo mpaka kwenye mahusiano na ndoa ni hivyo hivyo Watanzania tulivyoJana kulikua na maandamano ya chadema yalikuwa yanalenga kuaddress kero tofauti tofauti na ilikua ni hiyari na sio lazima.
yerere aliyoyasema ujinga, umaskini na maradhi inatakiwa liongezeke la nne unafki
Jana kulikua na maandamano ya chadema yalikuwa yanalenga kuaddress kero tofauti tofauti na ilikua ni hiyari na sio lazima.
Mimi binafsi sikuandamana sababu watanzania ni wanafki na kumpigania mtu mpumbavu kama Mtanzania ni kupoteza muda na nguvuila ila kamwe siwezi wabeza waliondomana kwa namna yeyote ile.
Ila ajabu kuna watu wanawabeza chadema mara hawakua na watu wengi walikua wachache, bodaboda walikua wachache na maneno mengine ya kashfa.
Ila watu hao hao wanaobeza maandamano ya jana utawakuata kwenye nyuzi nyingine hapa hapa jamiiforum wanailalamikia serekali
Ajabu ikitokea mtu anapaza sauti anambeza alafu mda huo huo analalamika ugumu wa maisha hii inaonyesha ni jinsi gani alivyokua mnafki na hii ndo tabia ya watanzania wengi.
- Kukatika umeme ovyo
- Bidhaa zinapanda bei hovyo,
- mara huduma kwenye ofisi za serekali zimekua mbovu,
- mara kuna upendeleo wa ajira kwenye baadhi ya taasisi za serekali.
- Ubovu wa miundombinu
Hata kwenye maisha ya kawaida unaweza ukawa unampigania sana mtu ila akienda upande wa pili anakuponda vibaya mno.
Ndo katika yale matatizo matatu ya nyerere aliyoyasema ujinga, umaskini na maradhi inatakiwa liongezeke la nne unafki
CCMNdo katika yale matatizo matatu ya nyerere aliyoyasema ujinga, umaskini na maradhi inatakiwa liongezeke la nne unafki
Haya ndio matatizo ya afya ya akiliHao cadema miaka yote hayujaona wakitatuwa kero hayta moja kwenye majimbo yao.
Kero ya ndani ya chama ya kuwa chama cha kifalme haijatatuliwa.
Faiza nawewe kumbe huwa unasomea ujinga?Hao cadema miaka yote hayujaona wakitatuwa kero hayta moja kwenye majimbo yao.
Kero ya ndani ya chama ya kuwa chama cha kifalme haijatatuliwa.
Ndo katika yale matatizo matatu ya nyerere aliyoyasema ujinga, umaskini na maradhi inatakiwa liongezeke la nne unafki
Si wapigie kura. Tatizo nini?Walishawai kushika serekali TRA mapato yote wanapelekea serekali ambayo iko chini ya ccm tokea 1961 uhuru
Unalaumuje mtu ambaye hajawahi shika serekali mpe serekali ndo umlaumu
hawana lolote mchaga anatafuta pesa tu.Ukijua kusoma na kuandika vizuri kiswahili utaelewa anachomaanisha
Si wapigie kura. Tatizo nini?Walishawai kushika serekali TRA mapato yote wanapelekea serekali ambayo iko chini ya ccm tokea 1961 uhuru
Unalaumuje mtu ambaye hajawahi shika serekali mpe serekali ndo umlaumu
Kawaida hiyo mradi sijasomea ujinga wa R na L.Haya ndio matatizo ya afya ya akili
Kawaida hiyo mradi sijasomea ujinga wa R na L.Faiza nawewe kumbe huwa unasomea ujinga?
Jana kulikua na maandamano ya chadema yalikuwa yanalenga kuaddress kero tofauti tofauti na ilikua ni hiyari na sio lazima.
Mimi binafsi sikuandamana sababu watanzania ni wanafki na kumpigania mtu mpumbavu kama Mtanzania ni kupoteza muda na nguvuila ila kamwe siwezi wabeza waliondomana kwa namna yeyote ile.
Ila ajabu kuna watu wanawabeza chadema mara hawakua na watu wengi walikua wachache, bodaboda walikua wachache na maneno mengine ya kashfa.
Ila watu hao hao wanaobeza maandamano ya jana utawakuata kwenye nyuzi nyingine hapa hapa jamiiforum wanailalamikia serekali
Ajabu ikitokea mtu anapaza sauti anambeza alafu mda huo huo analalamika ugumu wa maisha hii inaonyesha ni jinsi gani alivyokua mnafki na hii ndo tabia ya watanzania wengi.
- Kukatika umeme ovyo
- Bidhaa zinapanda bei hovyo,
- mara huduma kwenye ofisi za serekali zimekua mbovu,
- mara kuna upendeleo wa ajira kwenye baadhi ya taasisi za serekali.
- Ubovu wa miundombinu
Hata kwenye maisha ya kawaida unaweza ukawa unampigania sana mtu ila akienda upande wa pili anakuponda vibaya mno.
Ndo katika yale matatizo matatu ya nyerere aliyoyasema ujinga, umaskini na maradhi inatakiwa liongezeke la nne unafki
Mkuu umechelewa sana kuwajuaJana kulikua na maandamano ya chadema yalikuwa yanalenga kuaddress kero tofauti tofauti na ilikua ni hiyari na sio lazima.
Mimi binafsi sikuandamana sababu watanzania ni wanafki na kumpigania mtu mpumbavu kama Mtanzania ni kupoteza muda na nguvuila ila kamwe siwezi wabeza waliondomana kwa namna yeyote ile.
Ila ajabu kuna watu wanawabeza chadema mara hawakua na watu wengi walikua wachache, bodaboda walikua wachache na maneno mengine ya kashfa.
Ila watu hao hao wanaobeza maandamano ya jana utawakuata kwenye nyuzi nyingine hapa hapa jamiiforum wanailalamikia serekali
Ajabu ikitokea mtu anapaza sauti anambeza alafu mda huo huo analalamika ugumu wa maisha hii inaonyesha ni jinsi gani alivyokua mnafki na hii ndo tabia ya watanzania wengi.
- Kukatika umeme ovyo
- Bidhaa zinapanda bei hovyo,
- mara huduma kwenye ofisi za serekali zimekua mbovu,
- mara kuna upendeleo wa ajira kwenye baadhi ya taasisi za serekali.
- Ubovu wa miundombinu
Hata kwenye maisha ya kawaida unaweza ukawa unampigania sana mtu ila akienda upande wa pili anakuponda vibaya mno.
Ndo katika yale matatizo matatu ya nyerere aliyoyasema ujinga, umaskini na maradhi inatakiwa liongezeke la nne unafki
Apewe hazina mchaga?Kero ni wajibu wa serekali, cdm wanatatua ndio wasimamizi wa hazina?
Mama kule Saudi wenzako wanasherehekea Ugunguzi wa Pombe naskia na gongo watapeleka we unazubaa hukuHao chadomo miaka yote hatujaona wakitatuwa kero hata moja kwenye majimbo yao.
Kero ya ndani ya chama ya kuwa chama cha kifalme haijatatuliwa.
Mbowe mjanja sana. Alishajua yale maandamano yamesharatibiwa vizuri na CCM ndo maana akapeleka watoto wake. Ningemwona shujaa angepeleka watoto kwenye yale maandamno ya UKUTA enzi za JPM.Ukweli.walisema mbona Mbowe hayupo front na watoto wake,Jana walikuwepo wote
Kapewa kizimkazi mbona mikopp msululu?Apewe hazina mchaga?
Wacha vichekesho.