Watanzania wengi ni wanafiki sana

Watanzania wengi ni wanafiki sana

Hao cadema miaka yote hayujaona wakitatuwa kero hayta moja kwenye majimbo yao.

Kero ya ndani ya chama ya kuwa chama cha kifalme haijatatuliwa.

cadema[emoji3582]
CHADEMA[emoji3581]

hayujaona[emoji3582]
hatujaona

wakitatuwa[emoji3582]
wakitatua[emoji3581]

hayta[emoji3582]
hata[emoji3581]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi imelogwa hii
Ila watu hao hao wanaobeza maandamano ya jana utawakuata kwenye nyuzi nyingine hapa hapa jamiiforum wanailalamikia serekali
  • Kukatika umeme ovyo
  • Bidhaa zinapanda bei hovyo,
  • mara huduma kwenye ofisi za serekali zimekua mbovu,
  • mara kuna upendeleo wa ajira kwenye baadhi ya taasisi za serekali.
  • Ubovu wa miundombinu
Ajabu ikitokea mtu anapaza sauti juu ya hizo changamoto anambeza alafu mda huo huo analalamika ugumu wa maisha hii inaonyesha ni jinsi gani alivyokua mnafki na hii ndo tabia ya watanzania wengi.
 
Mnafiki unawajadili wanafiki,

Umeshasema hukuandamana sababu ya unafiki.
 
kwahiyo wanafiki wengi walibaki nyuma ya keyboard humu JF kwamfano fulani na fulani....

yaan wanahanasisha watu halafu wao hawajitokezi bila sababu...
👉🌈🥱 Maana ndio ulikuwa unaongea upuuzi wa kiwango Cha hatari kabla ya maandamano.
 
Jana kulikua na maandamano ya chadema yalikuwa yanalenga kuaddress kero tofauti tofauti na ilikua ni hiyari na sio lazima.

yerere aliyoyasema ujinga, umaskini na maradhi inatakiwa liongezeke la nne unafki
Kwani ulikuwa hujui? Ndivyo ilivyo mpaka kwenye mahusiano na ndoa ni hivyo hivyo Watanzania tulivyo
 
Jana kulikua na maandamano ya chadema yalikuwa yanalenga kuaddress kero tofauti tofauti na ilikua ni hiyari na sio lazima.

Mimi binafsi sikuandamana sababu watanzania ni wanafki na kumpigania mtu mpumbavu kama Mtanzania ni kupoteza muda na nguvuila ila kamwe siwezi wabeza waliondomana kwa namna yeyote ile.

Ila ajabu kuna watu wanawabeza chadema mara hawakua na watu wengi walikua wachache, bodaboda walikua wachache na maneno mengine ya kashfa.

Ila watu hao hao wanaobeza maandamano ya jana utawakuata kwenye nyuzi nyingine hapa hapa jamiiforum wanailalamikia serekali
  • Kukatika umeme ovyo
  • Bidhaa zinapanda bei hovyo,
  • mara huduma kwenye ofisi za serekali zimekua mbovu,
  • mara kuna upendeleo wa ajira kwenye baadhi ya taasisi za serekali.
  • Ubovu wa miundombinu
Ajabu ikitokea mtu anapaza sauti anambeza alafu mda huo huo analalamika ugumu wa maisha hii inaonyesha ni jinsi gani alivyokua mnafki na hii ndo tabia ya watanzania wengi.

Hata kwenye maisha ya kawaida unaweza ukawa unampigania sana mtu ila akienda upande wa pili anakuponda vibaya mno.

Ndo katika yale matatizo matatu ya nyerere aliyoyasema ujinga, umaskini na maradhi inatakiwa liongezeke la nne unafki

CCM
 
Hao cadema miaka yote hayujaona wakitatuwa kero hayta moja kwenye majimbo yao.

Kero ya ndani ya chama ya kuwa chama cha kifalme haijatatuliwa.
Faiza nawewe kumbe huwa unasomea ujinga?
 
Walishawai kushika serekali TRA mapato yote wanapelekea serekali ambayo iko chini ya ccm tokea 1961 uhuru

Unalaumuje mtu ambaye hajawahi shika serekali mpe serekali ndo umlaumu
Si wapigie kura. Tatizo nini?
Ukijua kusoma na kuandika vizuri kiswahili utaelewa anachomaanisha
hawana lolote mchaga anatafuta pesa tu.
 
Faiza nawewe kumbe huwa unasomea ujinga?
Kawaida hiyo mradi sijasomea ujinga wa R na L.

Inarekebishika, lakini R na L hazirekebishiki, ujinga upo ndani ya ubongo.
 
Jana kulikua na maandamano ya chadema yalikuwa yanalenga kuaddress kero tofauti tofauti na ilikua ni hiyari na sio lazima.

Mimi binafsi sikuandamana sababu watanzania ni wanafki na kumpigania mtu mpumbavu kama Mtanzania ni kupoteza muda na nguvuila ila kamwe siwezi wabeza waliondomana kwa namna yeyote ile.

Ila ajabu kuna watu wanawabeza chadema mara hawakua na watu wengi walikua wachache, bodaboda walikua wachache na maneno mengine ya kashfa.

Ila watu hao hao wanaobeza maandamano ya jana utawakuata kwenye nyuzi nyingine hapa hapa jamiiforum wanailalamikia serekali
  • Kukatika umeme ovyo
  • Bidhaa zinapanda bei hovyo,
  • mara huduma kwenye ofisi za serekali zimekua mbovu,
  • mara kuna upendeleo wa ajira kwenye baadhi ya taasisi za serekali.
  • Ubovu wa miundombinu
Ajabu ikitokea mtu anapaza sauti anambeza alafu mda huo huo analalamika ugumu wa maisha hii inaonyesha ni jinsi gani alivyokua mnafki na hii ndo tabia ya watanzania wengi.

Hata kwenye maisha ya kawaida unaweza ukawa unampigania sana mtu ila akienda upande wa pili anakuponda vibaya mno.

Ndo katika yale matatizo matatu ya nyerere aliyoyasema ujinga, umaskini na maradhi inatakiwa liongezeke la nne unafki

Wote, hata wewe ni mnafiki mkubwa. Upo zaidi kwa tumbo lako.

Kikitokea chuma kikaweka mambo yote sawa unayoyalilia leo, sasa hivi utatafuta sababu zingine kumtukana na kumpinga. Kama ni mshamba, mkabila, kiingereza chake anasema front fed, nguo zake, sio dikteka kamili, sio Mtanzania.

Akiwa dikteta kamili. Mtalia huyu ni bonge la dikteta. Mungu tusaidie. Mnatafuta kiongozi gani?
 
Jana kulikua na maandamano ya chadema yalikuwa yanalenga kuaddress kero tofauti tofauti na ilikua ni hiyari na sio lazima.

Mimi binafsi sikuandamana sababu watanzania ni wanafki na kumpigania mtu mpumbavu kama Mtanzania ni kupoteza muda na nguvuila ila kamwe siwezi wabeza waliondomana kwa namna yeyote ile.

Ila ajabu kuna watu wanawabeza chadema mara hawakua na watu wengi walikua wachache, bodaboda walikua wachache na maneno mengine ya kashfa.

Ila watu hao hao wanaobeza maandamano ya jana utawakuata kwenye nyuzi nyingine hapa hapa jamiiforum wanailalamikia serekali
  • Kukatika umeme ovyo
  • Bidhaa zinapanda bei hovyo,
  • mara huduma kwenye ofisi za serekali zimekua mbovu,
  • mara kuna upendeleo wa ajira kwenye baadhi ya taasisi za serekali.
  • Ubovu wa miundombinu
Ajabu ikitokea mtu anapaza sauti anambeza alafu mda huo huo analalamika ugumu wa maisha hii inaonyesha ni jinsi gani alivyokua mnafki na hii ndo tabia ya watanzania wengi.

Hata kwenye maisha ya kawaida unaweza ukawa unampigania sana mtu ila akienda upande wa pili anakuponda vibaya mno.

Ndo katika yale matatizo matatu ya nyerere aliyoyasema ujinga, umaskini na maradhi inatakiwa liongezeke la nne unafki
Mkuu umechelewa sana kuwajua
 
Hao chadomo miaka yote hatujaona wakitatuwa kero hata moja kwenye majimbo yao.

Kero ya ndani ya chama ya kuwa chama cha kifalme haijatatuliwa.
Mama kule Saudi wenzako wanasherehekea Ugunguzi wa Pombe naskia na gongo watapeleka we unazubaa huku
 
Ukweli.walisema mbona Mbowe hayupo front na watoto wake,Jana walikuwepo wote
Mbowe mjanja sana. Alishajua yale maandamano yamesharatibiwa vizuri na CCM ndo maana akapeleka watoto wake. Ningemwona shujaa angepeleka watoto kwenye yale maandamno ya UKUTA enzi za JPM.
 
Back
Top Bottom