Pre GE2025 Watanzania wengi wameanza kumfikiria Dr.Emmanuel Nchimbi kwa nafasi ya juu ya uongozi wa nchi tanzania baada ya Dr.Samia, kulikoni?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wanzania au wewe,tangu lini ukawa msemaji wa watanzania?,punguza uchawa
wewe wa kupinga ukweli huu kwa mihemko na ghadhabu umetumwa na akina nani hasa gentleman? πŸ’
 
very short and clear,
comprehensive, detailed and constructive criticism πŸ‘ŠπŸ’ͺ
 
Hizi ni athari za ngono zembe zimetusababisha kuwa na vijana bwete na wasio na upeo.
Abstain from sex, tumia condom au just masturbate.
We can't afford to have more puppets like you running their mouths like morons
 
Aje CDM tutamfikiria.
nawaombea mmalize salama Uchaguzi wa nafasi za juu zilizobaki bila umwagaji damu tena,


Mungu awaepushe na hilo na mfanye Uchaguzi kwa amani πŸ’
 
Ndani ya CCM presidential materials wapo zaidi ya Mia, 2030 Samia akistaafu kila mwanaccm ataruhusiwa kuomba akiwemo nchimbi pia.
Upumbavu wa hali ya juu!

Kumbe mna candidates ambao wataweza kuendesha nchi vyema lakini Minahairisha ustawi wa taifa kwasababu za kipuuzi kama hizo?

Siyo kwamba nasapoti kwasasa kuhusu Nchimbi, lakini unataka asubiri miaka mingine mitano kwani ni kijana mdogo ambaye hajakomaa kuweza kugombea?
 
Mimi nadhani tatizo sugu la nchii lipo kwa wananchi wenyewe ndo maana unaona leo hata viongozi japo hii katiba mbovu lakini hawaifuati na hawawajibishwi kutoka na wananchi wabinafsi na mazuzu kuwa wengi.

Siku wananchi wakijitambua kwa mtu mmoja mmoja ndio siku tutapata maendeleo. Leo mtu anaamka kitandani hata kutandika hatandiki unadhani huyu mtu anaweza kufanya vipi majukumu makubwa siku akipata ikiwa madogo hawezi.
 
sasa wewe gentleman unachekesha sana dah?🀣

sasa wewe kama ni muerevu zaidi na muungwana, na unaona kuna jambo Fulani linafaa kua kama ambavyo unafikiria wewe,

si njia muzuri ni kuwaelimisha na kuwashawishi wengine kwa hoja wa ungane na mawazo na mtazamo wako?

sasa kuwabeza na kuwadhihaki wananchi wenzako na kuwaita majina mabaya mabaya unadhani itasaidia nini?

sasa si hao wananchi watakuhisi wewe ndio una shida ya fikra na mawazo mapya na kwahivyo hujujielewi?

au mnatumia ushirikina kutaka watu wabadilike wawe na uelewa kama wenu bila kuwaelimisha, right?πŸ’
 
nawaombea mmalize salama Uchaguzi wa nafasi za juu zilizobaki bila umwagaji damu tena,


Mungu awaepushe na hilo na mfanye Uchaguzi kwa amani πŸ’
CCM muache umwagaji damu wa Watanzania kwa kutumia TISS na vyombo vya dola. Na muache kuzuia maandamano ya vyama vingine vya siasa ni ubakaji wa demokrasia.
 
Samia ameweza, anaweza na anatosha wengine wasubiri 2030
 
CCM muache umwagaji damu wa Watanzania kwa kutumia TISS na vyombo vya dola. Na muache kuzuia maandamano ya vyama vingine vya siasa ni ubakaji wa demokrasia.
sio Lazima umuue mwezako ili uwe kiongozi. malizeni uchaguzi wa ndani kwa amani πŸ’
 
Yaahani maigizo ndio yampe credit ya kuwa kiongozi mkuu wa nchi huo ni utani wa ngumi
 
CCM wauaji wanakwepa kujibu maswali ya tuhuma za mauaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…