Pre GE2025 Watanzania wengi wameanza kumfikiria Dr.Emmanuel Nchimbi kwa nafasi ya juu ya uongozi wa nchi tanzania baada ya Dr.Samia, kulikoni?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
UCHAMBUZI WA "DNA' YA KISIASA NDANI YA CCM

Maana yake ni kuwa SG balozi Dr. Emmanuel Nchimbi anaikubali CHADEMA vibaya sana na kuwa ana uhusudu (admire) safu ya kiuongozi ya CHADEMA ikipewa nchi, basi taifa na CCM Kitakuwa chama cha upinzani chini ya mikono salama ya uongozi wa chama tawala CHADEMA.

Tukienda mbali zaidi ni kwamba umma umeshangazwa na Dr. Emmanuel Nchimbi kuonesha hana siasa za maji taka kama ilivyo katika DNA ya walio wanachama wengi ikiwemo viongozi wa CCM

Tukirudi nyuma zaidi tunakumbuka kuwa Nchimbi alikuwa TEAM Edward Lowassa mwana CCM aliyeamua kujiunga na CHADEMA. Historia hii ya wanaTEAM Edward Lowassa ilimfanya aliyepita kuwa mgombea wa CCM urais 2015 kuwa na visasi vikubwa na TEAM Lowassa.

Kadhia hiyo imempa funzo balozi Dr. Emmanuel Nchimbi kufahamu nguvu na ushawishi walionao wenyeviti wa vyama vikubwa viwili CHADEMA na CCM hivyo anapotoa kauli huwa mnyenyekevu kwa kutambua nafasi za Samia Suluhu Hassan na Freeman Mbowe katika siasa za Tanzania kama ilivyo kwa wananchi wengi.

Kitu ambacho makatibu wakuu wengi wa CCM balozi Dr. Bashiru Ally Kakurwa, komredi Daniel Chongolo na wengine DNA ya kiCCM chama kimeshika hatamu kiliwavuruga akili na uwezo wao wa kufanya siasa zisizo kuwa za maji ya taka.

Kwa uzoefu huo wa balozi Dr. Nchimbi, hii sifa anayotaka kupewa na wanaCCM wasiompenda Dr. Samia Suluhu Hassan kuwa Nchimbi anafaa kuwa rais ni kama kumchongea kwa mwenyekiti wa CCM kuwa nafasi yako haitoshi.

Hili Dr. Emmanuel Nchimbi mwenye uzoefu wa siasa za ndani ya nchi na zile za nchi za uarabuni kama Egypt alioihudumu kama balozi wa Tanzania na pia siasa za latino Amerika alipohudumu kama balozi wa Tanzania nchini Brazil ni kuwa wanaCCM wanataka kumgombanisha na bosi wake kwa kumpamba anafaa kuwa rais.

Kote huko Uarabuni na Marekani ya Kusini (kwa kina Escoba n.k) haitakiwi umzidi bosi wako kwa namna yoyote ikiwemo hata kusifiwa, kutukuzwa au kupigiwa chapuo.

Je wabaya ndani ya CCM wanamaanisha wanapeleka ujumbe ni urais kuanzia 2025 lakini hawasemi ila wanajidai ni kuanzia 2030. Kubwa ni kuwa katika siasa 2025 si mbali tutaanza kuona kukurukakara ndani ya CCM urais 2025, ni muda tu utatuambia tukizingatia DNA ya wanachama wa CCM uchu wa madaraka.
 
Huyo mwamba aliandaliwa mapema. Swali la msingi, je ataweza kuleta mabadiliko ya kiuchumi na uongozi kama wengi wanavyodhani?.
 
UCHAMBUZI WA DNA YA KISIASA

Maana yake ni kuwa SG balozi Dr. Emmanuel Nchimbi anaikubali CHADEMA vibaya sana na kuwa ana uhusudu (admire) safu ya kiuongozi ya CHADEMA ikipewa nchi, basi taifa na CCM Kitakuwa chama cha upinzani chini ya mikono salama ya uongozi wa chama tawala CHADEMA.

Tukienda mbali zaidi ni kwamba umma umeshangazwa na Dr. Emmanuel Nchimbi kuonesha hana siasa za maji taka kama ilivyo katika DNA ya walio wanachama wengi ikiwemo viongozi wa CCM

Tukirudi nyuma zaidi tunakumbuka kuwa Nchimbi alikuwa TEAM Edward Lowassa mwana CCM aliyeamua kujiunga na CHADEMA. Historia hii ya wanaTEAM Edward Lowassa ilimfanya aliyepita kuwa mgombea wa CCM urais 2015 kuwa na visasi vikubwa na TEAM Lowassa.

Kadhia hiyo imempa funzo balozi Dr. Emmanuel Nchimbi kufahamu nguvu na ushawishi walionao wenyeviti wa vyama vikubwa viwili CHADEMA na CCM hivyo anapotoa kauli huwa mnyenyekevu kwa kutambua nafasi za Samia Suluhu Hassan na Freeman Mbowe katika siasa za Tanzania kama ilivyo kwa wananchi wengi.

Kitu ambacho makatibu wakuu wengi wa CCM balozi Dr. Bashiru Ally Kakurwa, komredi Daniel Chongolo na wengine DNA ya kiCCM chama kimeshika hatamu kiliwavuruga akili na uwezo wao wa kufanya siasa zisizo kuwa za maji ya taka.

Kwa uzoefu huo wa balozi Dr. Nchimbi, hii sifa anayotaka kupewa na wanaCCM wasiompenda Dr. Samia Suluhu Hassan kuwa Nchimbi anafaa kuwa rais ni kama kumchongea kwa mwenyekiti wa CCM kuwa nafasi yako haitoshi.
Khaa...Bila shaka ninyi ndiyo mko nyuma ya uchafuzi huu Ili kuwa farakanisha watu...Hii spinning yako haihitaji degree kuona objective ni nini hapa...Too little too late, you did this to the late JPM, the template is the same here...Poor you, mmekataliwa Kila sehemu!

Hapa umetumia akili nyingi kumchongea na yeye while pretending you are not...
 
SIKILIZA MANENO YA MWENYEKITI WA CCM AKIKUMBUKA WIMBO TUNA IMANI NA LOWASSA

View: https://m.youtube.com/watch?v=_6RC7lD9cHY

John Magufuli aliapa angewapoteza walioimba wana imani na fulani kwa sababu anauliza moyo wake ulio na DNA ya kiCCM fahamu ... na kisha ukumbi wote wa wanaCCM wakashangilia badala ya kutahayari maneno ya mzito huyu kupoteza
 
Mazezeta ya Lumumba mtahangaika sana kaeni mjue 2025 Rais ni Tundu Lissu hao wengine labda muibe kura.
 
huu ni mwanzo mzuri kwa katibu mkuu wa CCM Dr. Emanuel Nchimbi baada ya maelezo yake yaliojaa hisia kali za uchungu, huruma ya kibinadamu na kukasirishwa na vitendo vya utekaji hususani dhidi ya utekaji na mauaji ya kikatili ya kamanda Ally Mohamed kibao kiongozi mwandamizi wa chadema..

Lakini pia ufafanuzi, msisitizo na maagizo yake kwa vyombo vya ulinzi na usalama dhidi ya kutekeleza maelekezo ya rais kuhusu uchunguzi wa haraka dhidi ya ukatili huo, na wito wake wa kiungwana sana kwa Chama, serikali na wananchi dhidi ya matukio hayo...

bila kujali vyama vyao vya kisiasa wengi wa waTanzani kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii, vyombo vya habari, kwenye mikusanyiko mbalimbali wamevutiwa na namna kutibu Mkuu huyu wa CCM alivyolichukulia Jambo hili la utekaji kwa uzito unaostahili..

na maoni ya wengi ni kwamba Dr Emanueli Nchimbi anafaa zaidi kushika hatamu za uongozi wa nchi baada ya Dr Samia Suluhu Hassan kuhitimisha ngwe yake ya pili 2030.

unadhani ni kwanini waTanzania katika umoja wao bila kujali itikadi za vyama vyao na misimamo yao ya kisiasa, wametokea kumkubalia, kumuamini na kudhani kwamba kiongozi huyu ni muafaka sana kwa nafasi ya juu ya uongozi wa nchi baada ya Dr Samia Suluhu Hassan atakapokamilisha ngwe yake ya pili uongozini kikatiba 2030?

Friends, ladies and gentlemen,
mmebadili mawazo ama tupo pamoja na SG Dr Emanuel Nchimbi sako kwa bako kuanzia 2030 na kuendelea?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Hatuli siasa bro
 
Hatuli siasa bro
if you isolate and boycotting yourself in political processes don't blame to be ruled by a fool, once said a political giant Aristotle 🐒
 
Aristotle aliwahi kusema ikiwa unajiona wewe ni bora zaidi wengine na ukaamua kujitenga na kupuuzia masuala ya uongozi wa kisiasa...,

usije kulaumu kutawaliwa na wapumbavu...

kwasabb wao wataungana na kushiriki masuala ya kisiasa na uongozi na watakua na nguvu ya kuunda serikali na watakuongoza bila mbambamba yoyote huku wewe ukibaki na ubora wako 🐒
Umeandika upuuzi mtupu ukidhani unarelate na nilichokisema.
 
nilitegemea ungeandika jambo zito na la maana zaidi ya reply yangu kwa faida ya wadau na siasa za Tanzania,

Lakini sasa dah!
ndio hivyo tena kama ulivyoandika, eti ndio muerevu anamueleza mpumbavu 🤣🤣
 
Kushoto
 
huu ni mwanzo mzuri kwa katibu mkuu wa CCM Dr. Emanuel Nchimbi baada ya maelezo yake yaliojaa hisia kali za uchungu, huruma ya kibinadamu na kukasirishwa na vitendo vya utekaji hususani dhidi ya utekaji na mauaji ya kikatili ya kamanda Ally Mohamed kibao kiongozi mwandamizi wa chadema..

Lakini pia ufafanuzi, msisitizo na maagizo yake kwa vyombo vya ulinzi na usalama dhidi ya kutekeleza maelekezo ya rais kuhusu uchunguzi wa haraka dhidi ya ukatili huo, na wito wake wa kiungwana sana kwa Chama, serikali na wananchi dhidi ya matukio hayo...

bila kujali vyama vyao vya kisiasa wengi wa waTanzani kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii, vyombo vya habari, kwenye mikusanyiko mbalimbali wamevutiwa na namna kutibu Mkuu huyu wa CCM alivyolichukulia Jambo hili la utekaji kwa uzito unaostahili..

na maoni ya wengi ni kwamba Dr Emanueli Nchimbi anafaa zaidi kushika hatamu za uongozi wa nchi baada ya Dr Samia Suluhu Hassan kuhitimisha ngwe yake ya pili 2030.

unadhani ni kwanini waTanzania katika umoja wao bila kujali itikadi za vyama vyao na misimamo yao ya kisiasa, wametokea kumkubalia, kumuamini na kudhani kwamba kiongozi huyu ni muafaka sana kwa nafasi ya juu ya uongozi wa nchi baada ya Dr Samia Suluhu Hassan atakapokamilisha ngwe yake ya pili uongozini kikatiba 2030?

Friends, ladies and gentlemen,
mmebadili mawazo ama tupo pamoja na SG Dr Emanuel Nchimbi sako kwa bako kuanzia 2030 na kuendelea?🐒

Mungu Ibariki Tanza
Naunga mkono hoja,lakini kwa 2025 na siyo 2030.
 
Wengine wanamfikiria Kingwendu kwa nafasi hiyo na wako sahihi kabisa nchi hii mtu yoyote anaweza kuwa Rais.
 
Back
Top Bottom