Watanzania wengi wanapenda kuwa Usalama wa Taifa

Et wengine wapo makwao huko nanjilinji wanajuwa kinachoendelea ikulu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Reactions: Sax
Mwambie magari ya uhamiaji hayo,πŸ˜‚πŸ˜‚, tiss magari yao ni mabovu mno
 
Kuna jitu lisomi la PhD
PhD ni kuwa partially (maana ukiwa fully utaokota makopo) deep kwenye jambo shallow!!!

Muwekee mazingira Rafiki kwenye jambo shallow ambalo huyu PhD yupo kiasi deep uone kama Hata toa matokeo Bora. Hii ni endapo tu hiyo PhD ameifanya mwenyewe bila mangumashi. Ha ha haaaa!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkuu utakuwa unazungumzia Aidha jamii za watu wa dunia ya kwanza, ktk hii dunia ya 3 ukiwa na sifa zote hizo ila ukakosa kumiliki pesa basi ujue hauna heshima kuanzia kwa ndugu zako na jamii kwa ujumla..jamii zetu hazina haja ya fikra bali hela!
 
Wengi wao Ni wanoko na washenzi wenye husuda na Mafanikio ya wenzio Sasa wanadhani kazi ya Usalama wa Taifa Ni umbea na kuchongeana ili.kuharibiana.
 
Kuna mzee mmoja mwandamizi kitengo niliwai kukaa nae....

Aliniapia hato ruhusu mtoto Ake aingie huko....Na kwel nafahamu watoto Ake hakuna hata mmoja Alie fuata nyayo.....

Jamaa ni mkristo ila kipindi Cha Ramadhani ana hamia Zanzibar swala 5.....

Alinisimulia makashi Kashi mengi sana tangu ame be recruited kitengo....

Anasema walivalishaa mifuko usoni safari ika Anza......zungushwa sana mpak kujikuta kwenye msitu mnene.....
Anasema makashi Kashi ya siku za mwanzoni wali juta na walitamani kutoroka.....

Hajawai ruhusu mwanae afuate nyayo.....
 
Mngejua msingekuwa mnaropoka hovyo tu... kwanza TISS hawachukui watu wajingajinga na wakiona uko smart unahitaji msasa kidogo wataku-shape wanavyotaka wao.

Pia ni kazi hatari mno! Watu kila saa matumbo yanawauma kwa uoga we kalagabaho uliyefeli kila kitu maishani unadhania ni rahisirahisi tu au kila mtu anaweza kuwa kule 😊😊😊 acheni kabisa.

Alafu pia mbona nchini kuna issue nyingi tu za kuongelea na kushughulika nazo?! πŸ€”πŸ€”πŸ€” mnaona haitoshi mnataka kupekua na mambo ya TISS pia πŸ˜ƒ... kuna mwaka walitakaga kushughulika na JF mpaka wakamtia hatiani Mr. Melo sijui mnakumbuka?! Naona saiv imekuwa tena mada pambe humu eehπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Mnachokitafuta mtakipata...πŸ˜ŠπŸ‘πŸΎ
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Aaa hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…