Watanzania wote tuachaneni na mwandishi huyu Mghana

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
I salute you kinsmen

Wakuu nadhani wote mnajua kutokana Ghana la michezo bwana micky JNR.

huyu bwana tunajua wazi yupo kwenye payroll hasa kwenye team za kiarabu ikiwemo ahly ahly ya Egypt pia wydad na hapa East Africa ikiwemo team ya hovyo simba ambayo wote tunajua ni demu tu wa yanga anajipigia anytime..

Huyu mwandishi amekuwa akiweka chuki zake za wazi kwa yanga bila sababu za kueleweka. Tunajua wazi kuwa injinia amekataa kumuweka kwenye payroll na ndio maana kutwa amekuwa akieneza negative pekee kuhusu yanga na positive amekuwa akikausha kimya.

Mifano ipo mingi:

MFANO NAMBA 1
Kuhusu sakata la aziz kipindi kile huyu jamaa alikuwa analeta uchonganishi sana na akatangeneza chat fake kati yake na aziz zikionesha kuwa ki hana furaha na anataka kusepa yanga

Ingawaje aziz alikausha na kukanusha madai hayo vikali kabisa..huyu ni kanjanja.

MFANO NAMBA 2
Kuhusu match za yanga ambazo akishinda huwa haweki update yoyote ila siku wakifungwa tu basi utaona mtiririko wa post kama zote za mafumbo kwa yanga..huu ni upumbavu na unprofessional.

Case study ni ile.game ya majuzi tu hapa ngao ya jamii ambapo simba walikandwa kama kawaida na yanga lakini mghana hakupost chochote ila before match alipost kikosi cha simba pekee na kuuliza watu watabiri simba watashindaje..aibu ikawa kwake.

MFANO NAMBA 3.
Kuhusu sakata la mzize kutakiwa na wydad hapa mghana alipost lakini akamtambulisha mzize kama mchezaji wa taifa stars na kuweka picha akiwa kapiga na stars! Huu sasa ni nini kama sio ujinga?

Kwahiyo stars ndiyo wanamuuza mzize? Hii ni chuki kubwa sana.

Pia kipindi kile kuhusu job ilikuwa hivi hivi

Ila sakata la mghana mwenzie okrah jamaa alilivalia njuga sana na kujifanya anajua taarifa zote kumbe yote anaenda kumuuliza okrah..

Halafu licha ya uchawa wake lakini bado hawamthamini .

Match ile ya AFL simba vs ahly ahly jamaa alipigwa pini hakuingia uwanjani kwa mkapa inasemekana alileta ujuaji sana akadhani bongo kama kwao Ghana, hivyo akasubiri mpaka game imeisha na kwenda vyumba vya kubadlilisha nguo kwenye corridor na kuomba picha na kina el shahat na kina Percy Tau..

Halafu yeye viongozi wa yanga walishamkataa kuwa asiweke habari zao kama anaona analazimishwa lakini chenyewe kimekazania kupost negative pekee .

Niwashauri tu mwandishi mzuri kwa sasa nje ya Tanzania ambaye hamtakiwi kumkosa ni lorenz kohler wa South Africa.. he is a professional..na sio huyu mwizi mghana anayeishi kwa pensions za ahly ahly.. simba .

Its Pancho
 
Huyo jamaa kitambo sana nimeshampa tofali, kwa habari za usajili wa uhakika kwa bongo kuna dogo mmoja anaitwa Felix ana habari za uhakika sana kwa Tanzania. Kuna Lorenz Kõhler yeye hafanyi kazi kiushabiki kabisa kuna Saddick Adams kutoka Ghana pia anafanya vizuri kuliko huyo Micky. Micky mtaji wake mkubwa ni wabongo na ndiye wafuasi wake.
 
Yanga hamtaki kukosolewa mnataka kila mtu awasifie tena umeenda mbali mbona hapa bongo maulidi kitenge yupo kwenye payrolls ya yanga hajawahi kuiongelea simba kwa mazuri yaani kulalamika ni asili ya mashabiki na viongozi wa yanga mmechukua kombe la NBC PREMIER LEAGUE mfululizo ila siku akija kuchukua kombe simba utasikia karia simba yule tulipangiwa ratiba ngumu kubalini kukosolewa watani ndio mpira ulivyo yule kaka yake Dickson job kila siku anaitukana simba mbona simba wapo kimya tu.
 
Huyo jamaa kitambo sana nimeshampa tofali, kwa habari za usajili wa uhakika kwa bongo kuna dogo mmoja anaitwa Felix ana habari za uhakika sana kwa Tanzania. Kuna Lorenz Kõhler yeye hafanyi kazi kiushabiki kabisa
Ndiyo halafu habari zake za kikuda na uongo
Refer tu usajili wa aziz kuja yanga jamaa kalikazia aziz kuja yanga ngumu kwani yanga hawana pesa ila simba wameshamalizana naye.

Akafeli
Pia kuhusu mafanikio ya yanga huwa anakausha kabisa sikuhizi huenda alitaka tubaki chini sasa ngoja yanga achukue CAFCC sijui atafanyaje chawa huyu
 
I salute you kinsmen.!

Wakuu nadhani wote mnajua au kutokujua hili jiandishi tapeli kutokana Ghana la michezo bwana micky JNR.

huyu bwana tunajua wazi yupo kwenye payroll hasa kwenye team za kiarabu ikiwemo ahly ahly ya Egypt pia wydad na hapa East Africa ikiwemo team ya hovyo simba ambayo wote tunajua ni demu tu wa yanga anajipigia anytime..

Huyu mwandishi amekuwa akiweka chuki zake za wazi kwa yanga bila sababu za kueleweka

Tunajua wazi kuwa injinia amekataa kumuweka kwenye payroll na ndio maana kutwa amekuwa akieneza negative pekee kuhusu yanga na positive amekuwa akikausha kimya ..

Mifano ipo mingi..
MFANO NAMBA 1.
kuhusu sakata la aziz kipindi kile huyu jamaa alikuwa analeta uchonganishi sana na akatangeneza chat fake kati yake na aziz zikionesha kuwa ki hana furaha na anataka kusepa yanga

Ingawaje aziz alikausha na kukanusha madai hayo vikali kabisa..huyu ni kanjanja.

MFANO NAMBA 2.
Kuhusu match za yanga ambazo akishinda huwa haweki update yoyote ila siku wakifungwa tu basi utaona mtiririko wa post kama zote za mafumbo kwa yanga..huu ni upumbavu na unprofessional..

Case study ni ile.game ya majuzi tu hapa ngao ya jamii ambapo simba walikandwa kama kawaida na yanga lakini mghana hakupost chochote ila before match alipost kikosi cha simba pekee na kuuliza watu watabiri simba watashindaje..aibu ikawa kwake.

MFANO NAMBA 3.
Kuhusu sakata la mzize kutakiwa na wydad hapa mghana alipost lakini akamtambulisha mzize kama mchezaji wa taifa stars na kuweka picha akiwa kapiga na stars! Huu sasa ni nini kama sio ujinga?

Kwahiyo stars ndiyo wanamuuza mzize? Hii ni chuki kubwa sana.

Pia kipindi kile kuhusu job ilikuwa hivi hivi

Ila sakata la mghana mwenzie okrah jamaa alilivalia njuga sana na kujifanya anajua taarifa zote kumbe yote anaenda kumuuliza okrah..

Halafu licha ya uchawa wake lakini bado hawamthamini .

Match ile ya AFL simba vs ahly ahly jamaa alipigwa pini hakuingia uwanjani kwa mkapa inasemekana alileta ujuaji sana akadhani bongo kama kwao Ghana, hivyo akasubiri mpaka game imeisha na kwenda vyumba vya kubadlilisha nguo kwenye corridor na kuomba picha na kina el shahat na kina Percy Tau..

Halafu yeye viongozi wa yanga walishamkataa kuwa asiweke habari zao kama anaona analazimishwa lakini chenyewe kimekazania kupost negative pekee .

Niwashauri tu mwandishi mzuri kwa sasa nje ya Tanzania ambaye hamtakiwi kumkosa ni lorenz kohler wa South Africa.. he is a professional..na sio huyu mwizi mghana anayeishi kwa pensions za ahly ahly.. simba .

Its Pancho
Na wewe upo kwenye payroll ya nani kwa kuitukana taasisi ya Simba SC?Jifunze kukubaliana kutokukubaliana.
 
Yanga hamtaki kukosolewa mnataka kila mtu awasifie tena umeenda mbali mbona hapa bongo maulidi kitenge yupo kwenye payrolls ya yanga hajawahi kuiongelea simba kwa mazuri yaani kulalamika ni asili ya mashabiki na viongozi wa yanga mmechukua kombe la NBC PREMIER LEAGUE mfululizo ila siku akija kuchukua kombe simba utasikia karia simba yule tulipangiwa ratiba ngumu kubalini kukosolewa watani ndio mpira ulivyo yule kaka yake Dickson job kila siku anaitukana simba mbona simba wapo kimya tu.
Ujue kukosolewa sio hoja sana hatuna shida

Kwa sasa yanga ipo ki professional sana kiasi kwamba huoni makosa madogo madogo ila mnalazimisha yaonekane ila sisi hatuyaoni.

Zaidi yanaonekana huko simba mbona hayasemi huyo mghana
Utaskia it's revealed talk has been underway between benchika and simba to part away sijui nini na nini

Kumbe benchika kawakimbia ila jamaa anazunguuuka Kote huko ingekuwa yanga sasa ungeskia "Gamondi ameikimbia yanga na haitaki kwani anapangiwa majukumu"

Wa hovyo huyo mjinga
 
Yanga hamtaki kukosolewa mnataka kila mtu awasifie tena umeenda mbali mbona hapa bongo maulidi kitenge yupo kwenye payrolls ya yanga hajawahi kuiongelea simba kwa mazuri yaani kulalamika ni asili ya mashabiki na viongozi wa yanga mmechukua kombe la NBC PREMIER LEAGUE mfululizo ila siku akija kuchukua kombe simba utasikia karia simba yule tulipangiwa ratiba ngumu kubalini kukosolewa watani ndio mpira ulivyo yule kaka yake Dickson job kila siku anaitukana simba mbona simba wapo kimya tu.
Kwani hiyo la Karia halipigiwi kelele hata kama Yanga inabeba makombe? Mbona watu wametoka kulipigia kelele sana jambo la upangaji wa ratiba.
 
Yaani unahangaika na mtu Yuko Ghana?? Sasa huku Tanzania Nani anamjua?
Bora wangekua wakina Jemedari saidi
Sijahangaika
Ila lazima ujinga wake tuwaoneshe watanzania ambao hawajastuka maana mbumbumbu wengi ndiyo mwandishi wao huyu
 
Bahati mbaya sio watanzania wote ni utopolo. Halafu Miki amejenga brand yake kupitia kazi yake sio majungu unayomwekea wewe.
Hakuna brand aliyojenga hapo na kina kohler nao wasemeje?

Alichofanikiwa micky ni kujipendekeza na uchawa na majungu yanayomfanya awe chawa wa team zake baadhi zinamfanya aishi

Ahly ahly
Wydad
Simba
Mamelodi

Hawa ndiyo wanamfanya aende chooni.

Hana lolote huyo
 
I salute you kinsmen.!

Wakuu nadhani wote mnajua au kutokujua hili jiandishi tapeli kutokana Ghana la michezo bwana micky JNR.

huyu bwana tunajua wazi yupo kwenye payroll hasa kwenye team za kiarabu ikiwemo ahly ahly ya Egypt pia wydad na hapa East Africa ikiwemo team ya hovyo simba ambayo wote tunajua ni demu tu wa yanga anajipigia anytime..

Huyu mwandishi amekuwa akiweka chuki zake za wazi kwa yanga bila sababu za kueleweka

Tunajua wazi kuwa injinia amekataa kumuweka kwenye payroll na ndio maana kutwa amekuwa akieneza negative pekee kuhusu yanga na positive amekuwa akikausha kimya ..

Mifano ipo mingi..
MFANO NAMBA 1.
kuhusu sakata la aziz kipindi kile huyu jamaa alikuwa analeta uchonganishi sana na akatangeneza chat fake kati yake na aziz zikionesha kuwa ki hana furaha na anataka kusepa yanga

Ingawaje aziz alikausha na kukanusha madai hayo vikali kabisa..huyu ni kanjanja.

MFANO NAMBA 2.
Kuhusu match za yanga ambazo akishinda huwa haweki update yoyote ila siku wakifungwa tu basi utaona mtiririko wa post kama zote za mafumbo kwa yanga..huu ni upumbavu na unprofessional..

Case study ni ile.game ya majuzi tu hapa ngao ya jamii ambapo simba walikandwa kama kawaida na yanga lakini mghana hakupost chochote ila before match alipost kikosi cha simba pekee na kuuliza watu watabiri simba watashindaje..aibu ikawa kwake.

MFANO NAMBA 3.
Kuhusu sakata la mzize kutakiwa na wydad hapa mghana alipost lakini akamtambulisha mzize kama mchezaji wa taifa stars na kuweka picha akiwa kapiga na stars! Huu sasa ni nini kama sio ujinga?

Kwahiyo stars ndiyo wanamuuza mzize? Hii ni chuki kubwa sana.

Pia kipindi kile kuhusu job ilikuwa hivi hivi

Ila sakata la mghana mwenzie okrah jamaa alilivalia njuga sana na kujifanya anajua taarifa zote kumbe yote anaenda kumuuliza okrah..

Halafu licha ya uchawa wake lakini bado hawamthamini .

Match ile ya AFL simba vs ahly ahly jamaa alipigwa pini hakuingia uwanjani kwa mkapa inasemekana alileta ujuaji sana akadhani bongo kama kwao Ghana, hivyo akasubiri mpaka game imeisha na kwenda vyumba vya kubadlilisha nguo kwenye corridor na kuomba picha na kina el shahat na kina Percy Tau..

Halafu yeye viongozi wa yanga walishamkataa kuwa asiweke habari zao kama anaona analazimishwa lakini chenyewe kimekazania kupost negative pekee .

Niwashauri tu mwandishi mzuri kwa sasa nje ya Tanzania ambaye hamtakiwi kumkosa ni lorenz kohler wa South Africa.. he is a professional..na sio huyu mwizi mghana anayeishi kwa pensions za ahly ahly.. simba .

Its Pancho
Kitu ambacho umeshindwa kujua kuwa huyo jamaa ni shabiki wa Simba hivyo hawezagi kuficha mahaba yake kwa Simba na chuki zake kwa Yanga. Hivyo watu wengi wanaomkubali ni mashabiki wa Simba
 
Matumizi mabaya ya neno watanzania ,pili mtu yoyote anayewaza simba na yanga kila siku uzee wake ni tegemezi sana
 
Na wewe upo kwenye payroll ya nani kwa kuitukana taasisi ya Simba SC?Jifunze kukubaliana kutokukubaliana.
Simba kwa sasa ni team ndogo kwa yanga kwahiyo nimesema ukweli sijaitukana

Hata wewe unajua ila sasa hiyo mada haipo mezani kwa leo
 
Hakuna brand aliyojenga hapo na kina kohler nao wasemeje?

Alichofanikiwa micky ni kujipendekeza na uchawa na majungu yanayomfanya awe chawa wa team zake baadhi zinamfanya aishi

Ahly ahly
Wydad
Simba
Mamelodi

Hawa ndiyo wanamfanya aende chooni.

Hana lolote huyo
Subiri utopolo kama mtajipata kwenye klabu bingwa Afrika ndiyo mtapewa nafasi kama za hizo timu.Kwa wakati huu unajing'ata masikio yako mwenyewe.
 
Kitu ambacho umeshindwa kujua kuwa huyo jamaa ni shabiki wa Simba hivyo hawezagi kuficha mahaba yake kwa Simba na chuki zake kwa Yanga. Hivyo watu wengi wanaomkubali ni mashabiki wa Simba
Atleast someone is have a sense

Nashukuru kama umejua na hili ndiyo tunaongelea anaichukia yanga sababu nini?

Yanga kuinyandua simba deile?
Au yanga kuwa mkubwa kuliko simba kwa sasa?

Au mafanikio ya yanga yanamuumiza?
 
Back
Top Bottom