Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
I salute you kinsmen
Wakuu nadhani wote mnajua kutokana Ghana la michezo bwana micky JNR.
huyu bwana tunajua wazi yupo kwenye payroll hasa kwenye team za kiarabu ikiwemo ahly ahly ya Egypt pia wydad na hapa East Africa ikiwemo team ya hovyo simba ambayo wote tunajua ni demu tu wa yanga anajipigia anytime..
Huyu mwandishi amekuwa akiweka chuki zake za wazi kwa yanga bila sababu za kueleweka. Tunajua wazi kuwa injinia amekataa kumuweka kwenye payroll na ndio maana kutwa amekuwa akieneza negative pekee kuhusu yanga na positive amekuwa akikausha kimya.
Mifano ipo mingi:
MFANO NAMBA 1
Kuhusu sakata la aziz kipindi kile huyu jamaa alikuwa analeta uchonganishi sana na akatangeneza chat fake kati yake na aziz zikionesha kuwa ki hana furaha na anataka kusepa yanga
Ingawaje aziz alikausha na kukanusha madai hayo vikali kabisa..huyu ni kanjanja.
MFANO NAMBA 2
Kuhusu match za yanga ambazo akishinda huwa haweki update yoyote ila siku wakifungwa tu basi utaona mtiririko wa post kama zote za mafumbo kwa yanga..huu ni upumbavu na unprofessional.
Case study ni ile.game ya majuzi tu hapa ngao ya jamii ambapo simba walikandwa kama kawaida na yanga lakini mghana hakupost chochote ila before match alipost kikosi cha simba pekee na kuuliza watu watabiri simba watashindaje..aibu ikawa kwake.
MFANO NAMBA 3.
Kuhusu sakata la mzize kutakiwa na wydad hapa mghana alipost lakini akamtambulisha mzize kama mchezaji wa taifa stars na kuweka picha akiwa kapiga na stars! Huu sasa ni nini kama sio ujinga?
Kwahiyo stars ndiyo wanamuuza mzize? Hii ni chuki kubwa sana.
Pia kipindi kile kuhusu job ilikuwa hivi hivi
Ila sakata la mghana mwenzie okrah jamaa alilivalia njuga sana na kujifanya anajua taarifa zote kumbe yote anaenda kumuuliza okrah..
Halafu licha ya uchawa wake lakini bado hawamthamini .
Match ile ya AFL simba vs ahly ahly jamaa alipigwa pini hakuingia uwanjani kwa mkapa inasemekana alileta ujuaji sana akadhani bongo kama kwao Ghana, hivyo akasubiri mpaka game imeisha na kwenda vyumba vya kubadlilisha nguo kwenye corridor na kuomba picha na kina el shahat na kina Percy Tau..
Halafu yeye viongozi wa yanga walishamkataa kuwa asiweke habari zao kama anaona analazimishwa lakini chenyewe kimekazania kupost negative pekee .
Niwashauri tu mwandishi mzuri kwa sasa nje ya Tanzania ambaye hamtakiwi kumkosa ni lorenz kohler wa South Africa.. he is a professional..na sio huyu mwizi mghana anayeishi kwa pensions za ahly ahly.. simba .