Watatezi wa makahaba, ndio mnataka Tanzania yetu iendelee kuwa hivi? Rais Samia mpandishe Bomboko cheo

Alitaka wavalie juba na hijabu au mapajamašŸ˜‚
 
Hao uliowapiga picha na kuileta humu umewadhalilisha.
 
Wabongo kwenye sakata la kukamatwa makahaba ndo wameonesha upeo na akili zao finyu zilivyoo, huku wakiendekezwa na janga kuu
UNAFIKIIIIII.

Bombokooo kamata makahaba, dada poa na wateja wao runda ndaniii woteeeee, mxxxxxxxiiiiiiieeeeew
 
HATA UKIACHA SHERIA MAADILI TU YA KITANZANIA HAYARUHUSU HIVI VITU
Wewe kila unachokifanya apo ulipo kinaendana maadili yote ya kitanzania ? Unauliza wamevunja sheria ipi kifungu kipi unakimbilia maadili ,
 
Mkuu enzi ya Yesu mbona hapo ni juzi juzi tu. Haya mambo ni tangu mwanzoni mwanzoni mwa uwepo wa binadamu. Soma habari ya Yuda katika Mwanzo 38:15-18. Hiyo ni zaidi ya miaka 1000BC. Na inaelekea tayari biashara hiyo ilikuwa well-established.

Hawa viongozi wa CCM waone haya. Wameharibu elimu na uchumi wote. Sekta za uzalishaji za umma na binafsi zimedumaa. Rushwa na upendeleo vimetamalaki kila mahali. Vijana hawana ajira za maana. Kila siku wanahubiriwa wajiajiri, watumie akili; serikali haiwezi kuwaletea ugali mezani.

Vijana hawana uelewa; Hawana mitaji; masoko ya shughuli za maana yameingiliwa na kuvurugwa na hao hao makada wenye ā€œconnectionā€ zao. Halafu mabinti wakiingia kwenye hizo biashara hatarishi lakini zenye tija kubwa kwao, jamaa wanajivika utakatifu na kutumia mabavu kupambana nao. It won’t work!
 
Eti wanataka walipwe fidia B36šŸ˜„ kwa udhalilishaji šŸ˜„ utafikiri pesa zinaokotwa
 
Hii ina maana kwamba katika wilaya inayoongozwa na Bomboko, ukahaba ndio tatizo kubwa, na hakuna shida ya maji, umeme, madawati, huduma za afya, miundo mbinu na mengineyo, ambayo kwa sehemu kubwa ya nchi ndio matatizo makubwa.
 
 
Excuse ya kipuuzi kabisa. Eti ubakaji utaongezeka kwa watoto. Hata kichaa anaogopa kifungo cha maisha jela.
 
Hapo mbona ni kama club hivi? Na unajuaje kama hao ni malaya na sio watu waliokwenda tu kuburudika?

The thing is utaweza kuondoa malaya wa barabarani lakini kufuta hilo jambo ni kitu kisichowezekana. Kuna Tinder, Telegram na Instagram. Kote kumejaa malaya na wamekaa clean sana huwezi kuwadhania wala kuprove ukahaba wao.

Hivyo kama hoja ni kuondoa malaya wachafu wanaoshinda barabarani basi hicho kitu ni possible na ni kitu kizuri kwa jamii na taifa. Lakini huwezi kufuta prostitution labda kishuke kimondo kingine. Hiyo ni Fact. Period.
 
Wagalatia wanawatetea
 
Naomba kujua level yako ya elimu! Na level ya exposure
Nchi masikini ina big issues , mnaenda ku deal na ishu ambazo sio tatizo la Tanzania, principal of autonomy inawapa uhuru wa kufanya hivyo for as long as hawafanyi JINAI.

Tatizo lenu kubwa UVCCM ni mmekimbia shule mkaingia kwa siasa matokeo yake mnakuwa ni very low IQ na hamuwezi kukaa high tables na smart people .

Those are personal issues ,hamtoweza ku deal na hizo issues hata mfanya nini, wapo na walikuwepo tangu enzi za mitume na wataejdelea kuwepo mpaka mwisho wa dunia kama kweli dunia itaisha


kama ni dhambi that is kwa imani yako , but katika imani zao , hizo ni kazi na mjifunze kuheshimu kazi za watu , wewe unadhan unayemuita baba ni kweli baba yako ? Kuna more than 50 chances kuwa huyo unayemuita baba is not your father , kachunguze; ni katika pilika za mama yako kutafuta maisha ndio ukazaliwa.

Hassan ni layman and illiterate , I wonder alifikaje hapo , jeshi la polis liangalie haya makarai yanawafanya waonekane wapuuzi , orders za hawa form 4 failures zichunguzwe before implementation

Kwanza Hassan ni mtoto wa nje ya ndoa, anatoaje hizo guts , katika iman Yake yeye ni mtoto haramu, damu haramu
 
Hao wapo club wanapali we vipi jamaa la Tarime, hebu tutolee ushamba wako.!!
Kero zote za wilaya hujaziona??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…