The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Ulaya ipi unayoiongelea hapa? unajua kua kitendo chao hicho kinahatarifa afya za watumiaji?Kwa Ulaya hawa wangesaidiwa wakaanzisha kiwanda halali, bongo wanafungwa maisha!
1. Acha wafungwe kihalali na sio wafungwe kwa kukandamizwa. Kufungwa maisha hakumrekebishi tena mtu bali inakuwa ni last alternative kwa wale waliokubuhu na walio sugu hawawezi tena kujirekebisha na tena uwepo wao uraiani ni tishio kwa usalama wa Raia wengine.Acha wafungwe.
Ungeona vijana wakinyakyusa wanavyoharibiwa na k vant feki huku Kimara mwisho ungemnunulia huyo Hakimu soda.
Mchaga mgalatia mmoja na Kobaaz wawili.zinazozalishwa vileo hivyo, ni Frank Donatus Mrema, Faham Salim Ngoda na Issa Juma Hassan.
Kati ya Hawa Nani alikua mmiliki wa kiwanda, mhasibu na meneja mauzo?Mchaga mgalatia mmoja na Kobaaz wawili.
Hamna balance kabisa. Bado Kobaaz wataendelea kutia fora kwenye uhalifu.
Accumen Mo darcity adriz hydroxo
hawa wamekutwa na nyara pia wamekutwa na kosa la kuhatarisha uhai ushaona tofaut sasa!Je, ni sheria hiyo hiyo inayoruhusu upande mmoja na kubana kwa wengine? Kama ishu ni kutokuwa na Kibali, Je, adhabu iliyoainishwa ni kifungo cha maisha? Mbona yule mama aliyekamatwa na nyamapori alihukumiwa 22 yrs. Yeye ilikuwaje kwani alikuwa na kibali cha kumiliki hiyo kg. 12 nyama pori?
Huyo Hakimu hakuweza kutumia weledi hata kidogo. Wenye viwanda au TRA wamepata hasara kubwa kiasi gani hata Jamhuri (Polisi na Hakimu) kuona ni halali hao ndg. Wafungwe maisha?
1.Maisha ya Vijana wengi yameharibika kwa vijana hao kuwa wakaidi, wakorofi na kutozingatia ushauri wanaopewa. Wanakwenda kunywa hayo mavitu kwa hiari yao wenyewe.Mkuu leo napingana na wewe. Hawa hawana tofauti na wauwaji kwakuwa wameharibu maisha ya vijana wengi sana kwa kuwanywesha sumu.
Mkuu hapana wangefungwa lakini siyo maisha. Wakitoka gerezan hata kuajiriwa itakuwa ngumu kwasababu ya record yao hata kama ni wataalam.Kwa Ulaya hawa wangesaidiwa wakaanzisha kiwanda halali, bongo wanafungwa maisha!
Dah! umaskini wetu huu! Laiti wakipata msamaria TLS au LHRC wakachomoa; nina uhakika hao dogo hawatokaa warudie tena.hawa wamekutwa na nyara pia wamekutwa na kosa la kuhatarisha uhai ushaona tofaut sasa!
yaani hawa wahuni huko kwenye vifungu vya sheria tafsiri zake wanajikuta mpaka kwenye kesi za madawa ya kulevya ni mwanasheria mzuri na mlungura tu vingeweza kuwachomoa
Yan kwa kweli hiyo adhabu sio size yao. Imepitiliza mno.Mkuu hapana wangefungwa lakini siyo maisha. Wakitoka gerezan hata kuajiriwa itakuwa ngumu kwasababu ya record yao hata kama ni wataalam.
kabisa mkuu wote tunafanya makosa sema tu wao wamekamatwa kosa lao kubwa lilikua ni kujitetea wenyewe, sheria zetu zina loopholes kibao zakutokea ukiwa na mtaalamu wakucheza na vifunguDah! umaskini wetu huu! Laiti wakipata msamaria TLS au LHRC wakachomoa; nina uhakika hao dogo hawatokaa warudie tena.
Halafu utakuta hata hayo maokoto waliokuwa wanapata ni kidogo sana.
Yes-Exactly mkuu. Ila naona bado wanayo karata moja hawajaicheza. Kukata rufaa. na kipindi cha kusubiria rufaa yao waombe wawe nje kwa dhamana. Hiyo ikikubaliwa wanaweza wakachomeka karata zingine..kabisa mkuu wote tunafanya makosa sema tu wao wamekamatwa kosa lao kubwa lilikua ni kujitetea wenyewe, sheria zetu zina loopholes kibao zakutokea ukiwa na mtaalamu wakucheza na vifungu
Ajali kazini etieee?Nilijua tu mutu ya kaskazini haikosi katika list, hawa watu ni wametumwa pesa sio kucheka na kima mjini.
All in allJe, ni sheria hiyo hiyo inayoruhusu upande mmoja na kubana kwa wengine? Kama ishu ni kutokuwa na Kibali, Je, adhabu iliyoainishwa ni kifungo cha maisha? Mbona yule mama aliyekamatwa na nyamapori alihukumiwa 22 yrs. Yeye ilikuwaje kwani alikuwa na kibali cha kumiliki hiyo kg. 12 nyama pori?
Huyo Hakimu hakuweza kutumia weledi hata kidogo. Wenye viwanda au TRA wamepata hasara kubwa kiasi gani hata Jamhuri (Polisi na Hakimu) kuona ni halali hao ndg. Wafungwe maisha?
Nyie watu😊Nyie watu wa NGO na kulamba miguu ya wazungu ni jadi yenu
Halafu tunajitoa ufahamu kwa kauli za kisiasa eti 50/50 na haki sawa kwa wote.All in all
Jamhuri haijawatendea haki Hawa jamaa..
Na for sure wangekua wanawake wangetetewa mpaka Waka achiwa huru
Ila wanaume unakaa nyuma ya nondo Tena Maisha
Kha! Yan Ukipambana kwa udi na uvumba ili walau uendelee kuishi (ku-survive)unaitwa tena ni majizi na matapeli- dah! ukicheza rafu unaitwa Jambazi. Ukiamua kujilipua unaitwa ww ni Teja. Ukiamua kutumia mbinu mbadala unaitwa ww ni shoga au unadanga/malaya. Ukiamua kuwa mtulivu na mtiifu kwa serikali iliyo madarakani unaitwa ww ni chawa. Mwe! Eeehee! Twiifwa nye vwanu -lekagha bee.Majizi na mataperi ya taifa yame tiwa nyavuni.
Safi sana hakimu