KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Tatizo mnadhani Serikali ni Sekta binafsiRais kuteua watu bila kuwauliza kama watakubali teuzi ni dharau na ujinga.
Hata huko private
Boss wa shirika akikupanga mahala huendi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo mnadhani Serikali ni Sekta binafsiRais kuteua watu bila kuwauliza kama watakubali teuzi ni dharau na ujinga.
kwanza katiba yenyewe ni kikafir hata nikijifunza hainisaidii kitu duniani na akhera zaidi ya kulalalisha alivyoharamisha Mwenyezi Mungu 😏Hujui usemalo wala ujualo..
Kubali kujifunza kwa wengine juu ya nini wanaelewa kuhusu katiba na mahusiano yake na maisha ya Kila siku..!
ah wapiHayo makaratasi ndio yanampa Rais nguvu ya kufanya chochote anachotaka.
Kuna ubaya gani kukataa nafasi ambayo unaona kwako, hutaimudu au hutakuwa na furaha nayo.Kwa nini wanawateua bila kushauriana nao?
Kwanza huko mtaani watu wanadharau cheo Cha DC kwamba hakina maslahi, unadhani wangeteuliwa kuwa Ma DED wangekataa?
Wanayofanya vetting ni wapuuzi Kwa sababu huwezi mtoa mtu sehemu yenye ulaji umpeleke huko kusiko na ulaji..
Hizo nafasi wawape watu wenye vyeo na ulaji mdogo tena wako wengi tuu.
😂😂😂😂😂Ebu ngoja nikae hapa nisubiri habari kamili
Wazo Bora la mwezi January.Hii ni nzuri sana.
Mtu unateuliwa kwa mbwembwe unaacha shughuki zako baada ya mwaka unatupwa nje ya uteuzi kwa aibu. Hizi nafasi za uteuzi waachiwe majibless na makada tu hazina maana ni kuharibiana maisha kwa kutenguana hivyo hovyo.
DCs/RCs ni post za kisiasa na ukifutwa unarudi kwako chap kwa haraka. Ni DEDs tu ndio wakitumbuliwa hubaki Serikalini, provided hakufukuzwa kwa kosa la jinai linalowezs kumfanya akatupwa lupangoIla si ni ajira ya kudumu?
Kama ni mtumishi wa umma ukitenguliwa unarudi kwenye kibarua chakoHii ni nzuri sana.
Mtu unateuliwa kwa mbwembwe unaacha shughuki zako baada ya mwaka unatupwa nje ya uteuzi kwa aibu. Hizi nafasi za uteuzi waachiwe majibless na makada tu hazina maana ni kuharibiana maisha kwa kutenguana hivyo hovyo.
Sasa mkuu ulikuwa mwalimu...ukapewa u dc, utenguliwe urudie chalk?Kama ni mtumishi wa umma ukitenguliwa unarudi kwenye kibarua chako
Haa haa🥺 haa🥺🥺🥺kwanza katiba yenyewe ni kikafir hata nikijifunza hainisaidii kitu duniani na akhera zaidi ya kulalalisha alivyoharamisha Mwenyezi Mungu 😏
hakuna mambo ya msingi hapa hata hao wanaojiita viongozi jehannam inawangoja kwa kuacha sheria za Mwenyezi Mungu na kutengeneza za kwao(katiba ya kikafir) na kuhalalisha alioyaharamisha Mwenyezi Mungu.Haa haa🥺 haa🥺🥺🥺
Wee jamaa ni jiwe kwelikweli lisilofikiri wala kujua lolote.
Wewe hata ukifika akhera lazima utapokelewe langoni kwa hamsa kama 70 hivi kwa kuwa "mjinga" duniani kwa kudharau na kupuuza mambo ya msingi.!
Kwa heri, usiku mwema ndugu yanguhakuna mambo ya msingi hapa hata hao wanaojiita viongozi jehannam inawangoja kwa kuacha sheria za Mwenyezi Mungu na kutengeneza za kwao(katiba ya kikafir) na kuhalalisha alioyaharamisha Mwenyezi Mungu.
kama humuamini Mwenyezi Mungu na siku ya mwisho huwezi kunielewa
Wanacheza na state hao.Watoke tu hapo CWT, Kuna ukaguzi wa hesabu unakuja hapo muda si mrefu. Wamekaa wanawaza kuiba tu Hela za waalimu, serikali imefanya kuwatoa kwa staha, ila kama hawataki, watatokea kisutu.
Tunajua kinachofanya wagombane ni wizi wa Hela za waalimu, na wao ndio wezi wakuu
Wengine wanasema G. Mongella wakati wa MWINYI.Nadhani inabidi ujitafakari sana kukubali kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya, kwa sababu inabidi ujitoe kabisa kwenye profession yako na kujiondoa uwezo wa kufikiri ili uweze kwenda sambamba na makada wa chama. Ukijifanya intellectual utagombana nao kila siku, hasa unapokuta mtu wa darasa la saba na ndio anakupa maagizo wakati wewe una degree zako nne!
Hayo mambo ni kuwaachia watu wa aina ya kina Hapi na Muro.
Halafu Samia aache tabia ya kuteua watu kabla ya kuwauliza kwanza, ataumbuka sana. Nyerere akitaka kukuteua alikuwa anakuuliza kwanza, utaweza? Ukisema siwezi anakuacha. Ndio maana Malecela alipoulizwa ataweza kuwa PM, akasema ndio, akafanya sherehe kabla ya kutangazwa rasmi, alitemwa.
Hv Mhe. Rais kwa nn usiniteue Mimi nikakusaidie Majukumu kwa watanzania wenzangu waliopo huko? kukataa uteuzi wa Mhe. Rais ni Ishara ya ujeuri.Salaam Wakuu,
Japheth Maganga aliyetuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa, mkoani Kagera akataa uteuzi wa Ukuu wa Wilaya alioteuliwa na Rais Samia hivi karibuni.
Japhet kasema, baada ya Kushauriana na Familia yake, alimuandikia rais Samia kumshukuru kwa kumteua pia na kumuomba atengue uteuzi wake na achaguliwe mtu Mwingine.
Wateule wengine ambao wamekataa uteuzi ni:
Leah Ulaya aliteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe, Mkoa wa Geita na na Dina Mathamani aliyeteuliwa kwenda Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma
Wote waliokataa Uteuzi wa Rais Samia ni Viongozi wa juu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT).
Leah Ulaya ni rais wa CWT, Dinah Mathamani ni Makamu wa Rais wa CWT huku Japheth Maganga akiwa Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT)
=====
UPDATES: 31 JANUARY 2023
======
Dina Mathamani aliyeteuliwa kwenda Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma, karipoti kwenye kituo cha kazi na kaapa kuwa Mkuu wa Wilaya.
======
Habari kwa Urefu..
Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Japheth Maganga ambaye ameteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ameshiriki kuongoza mkutano wa viongozi wa chama hicho jijini Tanga huku akisema kwa sasa hawezi kueleza kwanini hajaripoti katika wilaya aliyopangiwa ya Kyerwa, mkoani Kagera.
Vilevile, Maganga alihojiwa na Mkuu wa Upelelezi wa Polisi Mkoa wa Tanga na Mkuu wa Jeshi la Polisi Wilaya ya Tanga zaidi ya dakika 50 lakini si yeye wala wanausalama hao walioweka wazi sababu za mahojiano hayo.
Maganga na Rais wa CWT, Leah Ulaya waliteuliwa wiki iliyopita na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa wakuu wa wilaya lakini wakati wenzao wakiapishwa kwenye maeneo yao leo Jumatatu, Januari 30, 2023 wao wapo Tanga wakiongoza mkutano wa viongozi wakuu wa CWT.
Ulaya aliteuliwa kuwa DC wa Mbogwe, Mkoa wa Geita ambapo wenzake wanaapishwa leo Jumatatu na Mkuu wa Mkoa huo, Martin Shigela.
Mara baada ya kumaliza kuhojiwa na polisi kuanzia saa 4:36 hadi saa 5:24 asubuhi nje ya ukumbi wa mkutano huo unaofanyikia katika Hoteli ya Regal Naivera, Mtaa wa Bombo jijini Tanga Maganga alirejea ukumbini na baadaye kidogo alitoka nje.
Nje ya ukumbi ambapo Mwananchi Digital limeweka kambi, Magamba amesema, “kwa sasa nimeziba mdomo labda usubiri tutakapomaliza kikao ndipo nitazungumza kuhusu nafasi ya U-DC na CWT."
Wakati Maganga akisema hayo, Rais wa CWT hakutoka ndani ya ukumbi wa mkutano huo huku maofisa wa CWT wakisema hajaruhusiwa kuzungumza na vyombo vya habari.
Kitendo cha viongozi wakuu hao wa CWT kuonekana Tanga wakati wenzao wakiapishwa kimezua mjadala mitandaoni na kuna taarifa ambazo hazijathibitishwa kwamba wameomba wateuliwe wengine kwenye nafasi hizo za U-DC ili kuwawezesha kuendelea na majukumu yao katika chama cha walimu.
Chanzo: DC mteule ahojiwa na polisi dakika 50, Rais CWT…
Ndo hivyo mkuuSasa OC ni pesa ya maana??
Huko kwenye chama chao wana uhakika wa kulamba asali wapendavyo na watakavyo sasa huku kwa mama mara leo upo mara ksho umetenguliwa, mara chawa wakuandame, shida yote ya nini, kwenye chama cha walimu kuna michango na pesa ya bure ambayo hata bunge haliingilia, hawa wote watatu wamekaa kwa pamoja na hawa kwa pamoja ndio wanalamba asali ya walimu kiulaini, nadhani waangaliwe kwa jicho la tatu, si bure kukataa kwao kuna kitu nyuma ya pazia.Salaam Wakuu,
Japheth Maganga aliyetuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa, mkoani Kagera akataa uteuzi wa Ukuu wa Wilaya alioteuliwa na Rais Samia hivi karibuni.
Japhet kasema, baada ya Kushauriana na Familia yake, alimuandikia rais Samia kumshukuru kwa kumteua pia na kumuomba atengue uteuzi wake na achaguliwe mtu Mwingine.
Wateule wengine ambao wamekataa uteuzi ni:
Leah Ulaya aliteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe, Mkoa wa Geita na na Dina Mathamani aliyeteuliwa kwenda Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma
Wote waliokataa Uteuzi wa Rais Samia ni Viongozi wa juu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT).
Leah Ulaya ni rais wa CWT, Dinah Mathamani ni Makamu wa Rais wa CWT huku Japheth Maganga akiwa Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT)
=====
UPDATES: 31 JANUARY 2023
======
Dina Mathamani aliyeteuliwa kwenda Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma, karipoti kwenye kituo cha kazi na kaapa kuwa Mkuu wa Wilaya.
======
Habari kwa Urefu..
Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Japheth Maganga ambaye ameteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ameshiriki kuongoza mkutano wa viongozi wa chama hicho jijini Tanga huku akisema kwa sasa hawezi kueleza kwanini hajaripoti katika wilaya aliyopangiwa ya Kyerwa, mkoani Kagera.
Vilevile, Maganga alihojiwa na Mkuu wa Upelelezi wa Polisi Mkoa wa Tanga na Mkuu wa Jeshi la Polisi Wilaya ya Tanga zaidi ya dakika 50 lakini si yeye wala wanausalama hao walioweka wazi sababu za mahojiano hayo.
Maganga na Rais wa CWT, Leah Ulaya waliteuliwa wiki iliyopita na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa wakuu wa wilaya lakini wakati wenzao wakiapishwa kwenye maeneo yao leo Jumatatu, Januari 30, 2023 wao wapo Tanga wakiongoza mkutano wa viongozi wakuu wa CWT.
Ulaya aliteuliwa kuwa DC wa Mbogwe, Mkoa wa Geita ambapo wenzake wanaapishwa leo Jumatatu na Mkuu wa Mkoa huo, Martin Shigela.
Mara baada ya kumaliza kuhojiwa na polisi kuanzia saa 4:36 hadi saa 5:24 asubuhi nje ya ukumbi wa mkutano huo unaofanyikia katika Hoteli ya Regal Naivera, Mtaa wa Bombo jijini Tanga Maganga alirejea ukumbini na baadaye kidogo alitoka nje.
Nje ya ukumbi ambapo Mwananchi Digital limeweka kambi, Magamba amesema, “kwa sasa nimeziba mdomo labda usubiri tutakapomaliza kikao ndipo nitazungumza kuhusu nafasi ya U-DC na CWT."
Wakati Maganga akisema hayo, Rais wa CWT hakutoka ndani ya ukumbi wa mkutano huo huku maofisa wa CWT wakisema hajaruhusiwa kuzungumza na vyombo vya habari.
Kitendo cha viongozi wakuu hao wa CWT kuonekana Tanga wakati wenzao wakiapishwa kimezua mjadala mitandaoni na kuna taarifa ambazo hazijathibitishwa kwamba wameomba wateuliwe wengine kwenye nafasi hizo za U-DC ili kuwawezesha kuendelea na majukumu yao katika chama cha walimu.
Chanzo: DC mteule ahojiwa na polisi dakika 50, Rais CWT…
Posho za safari ya kwenda wapi tena wakati amepangiwa kutumika ndani ya wilaya husika?Kwa heshima ya ma DC naomba nisikutajie mshahara wao, utashangaa!. Mshahara wa top boss wao, rais wa JMT ni TZS. 9,500,000,
From DC to president kuna gap ya ngazi 10!. Mkurugenzi wa halmashauri ana mshahara mkubwa kuliko DC, mbunge ana mshahara mkubwa kuliko DC!. Hivyo kimshahara DC ni Bwana mdogo sana!. Mimi na kijikampuni changu cha PPR, namsaidia Samia kuwalipa mishahara ma dc wake kadhaa!. Ila pamoja na mshahara kiduchu wa DC, ana marupurupu mengi na posho nyingi zikiwemo posho za vikao, na posho za safari.
P