kamdudu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2015
- 2,007
- 1,931
mimi siamini katika makaratasi kwa kweli kama unaamini katika makaratasi nakupa poleKatib
KAtiba mpya ndio mwarobaini kama unaikataa basi wewe Chawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi siamini katika makaratasi kwa kweli kama unaamini katika makaratasi nakupa poleKatib
KAtiba mpya ndio mwarobaini kama unaikataa basi wewe Chawa
Kama ni hivyo basi KATIBA MPYA inahitajika HARAKA SANA, inawezekana vipi WAHALIFU kuzawadiwa u DC badala ya kupelekwa Mahakamani?Kuna ubadhirifu mkubwa.... Wacha wakae pembeni kwanza.
Immigration nao wako benchi. 😄Hakimu Mkazi kisutu na Afande Hamduni wanapiga jaramba
Hivi jamaa yuko wapi kwasasa?Kilichomkuta Sasa baada ya hapo.
Hata nafasi yake huko tigo akaipoteza.
Taifa lilipitishwa Katika uonevu Sana.
Hayo makaratasi ndio yanampa Rais nguvu ya kufanya chochote anachotaka.mimi siamini katika makaratasi kwa kweli kama unaamini katika makaratasi nakupa pole
Una pointi lakini chini ya CCM hilo halitawezekana.Nafasi za m-Dc na ma-Ded ni vema waulizwe kabla ya kuteuliwa na Mamlaka ya uteuzi au Serikali itangaze nafasi hizo, ili watu wenye sifa na mahaba ya kufanya kazi hizo watume maombi(Expression of interest to serve as DC or DED) .
Baada ya hapo wizara ya Utumishi wa Umma ichambue maombi hayo na kuandaa orodha ndogo ya wanaokidhi vigezo(Shortlist).
Majina ya Shortlisted applicants yafanyiwe vetting na Mamlaka husika na kuhifadhiwa kwenye Kanzi data ya Serikali kusubiri uteuzi,pindi nafasi zinapotokea.
Faida ya utaratibu huu:
- Mhusika ameonyesha dhamira ya kuhudumu kwenye kazi hiyo.
-Mhusika anakuwa anafanyiwa vetting kujua uadilifu wake na haiba yake kwa jamii
-Mtindo wa kuteuana kiushikaji utapungua Kama siyo kutokomezwa.
-Haya masuala ya kukataa uteuzi yatakwisha.
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Tz hilo ndio kawaida sana.Kama ni hivyo basi KATIBA MPYA inahitajika HARAKA SANA, inawezekana vipi WAHALIFU kuzawadiwa u DC badala ya kupelekwa Mahakamani?
Hata kama hana hatia bado serikali ina mbinu nyingi za kumsumbua... kwa mfano serikali inaweza kumfungulia kesi ya uhujumu halafu upande wa serikali wakaweka mashahidi 60 na katika hao 60 utakuta mwaka mzima wamesikilizwa watatu tu. Hadi siku unakuja kutoka kwa DPP kusema hana nia ya kuendelea na kesi tayari huku nje ushapoteza ramani. Angekubali uteuzi ili kupisha matatizo yanayoepukika.Kumbuka huyo ni mwalimu. mpwayungu village anawajua vizuri mimi mwenyewe nimeshangaa anakataa offer ambayo ni sawa na pardon.
Angekaa hapo kama ni msafi ila kwa tuhuma zile ngoja tuone labda anajiamini hana hatia
Alikuwa ni Paul Kimiti. Alimng'ata sikio mkewe, kisha mkewe akaenda kujipamba saloon na akamwaga mchele kwenye kuku wa saloon. Habari zikamfikia Nyerere akafuta jina kabla ya kumtangazaNdio maana Malecela alipoulizwa ataweza kuwa PM, akasema ndio, akafanya sherehe kabla ya kutangazwa rasmi, alitemwa.
Hio ndio tunaitaga ulafi. Mtu kashapiga sana hela ila bado anataka akomae kwa kukaidi amri ya mkuu wa majeshi.Hata kama hana hatia bado serikali ina mbinu nyingi za kumsumbua... kwa mfano serikali inaweza kumfungulia kesi ya uhujumu halafu upande wa serikali wakaweka mashahidi 60 na katika hao 60 utakuta mwaka mzima wamesikilizwa watatu tu. Hadi siku unakuja kutoka kwa DPP kusema hana nia ya kuendelea na kesi tayari huku nje ushapoteza ramani. Angekubali uteuzi ili kupisha matatizo yanayoepukika.
Nonsense, unadhani watu wote wana njaa kama zako.Huyu ana nini pale CWT mpaka angomea Rais wa nchi? Naomba serikali ianzishe ukaguzi maalum, hasa ukizingatia yeye ni Katibu Mkuu, accounting officer ....je Kuna jambo anaficha kwamba akiondoka litabainika? Ana mirija ya wizi?
Nashauri dola imuamshie dude mapema kabisa. Hicho chama akione Kaa la moto. Afukuzwe ualimu tu, anakosa sifa za kushikilia cheo hicho.
Kiongozi wa cwt taifa anaishi mahali anapotaka kuishi, mkuu wa wilaya anapaswa kuishi mahali alipopangiwa (ndani ya wilaya)UTOVU WA NIDHAMU!
NANI AIJUAYE KESHO!!?
UKUU WA WILAYA NI FURSA YA KUPATA UWANJA WA KUONYESHA LEADERSHIP SKILLS!!!
MSHAHARA MKUBWA NA POSHO KUBWA SIO KILA KITU WAKUU!
CV,CONNECTION AND INTERACTON WITH V.I.PS OF THE STATE MATTERS MOST!
HUWEZI UKAWA MTUMISHI WA UMMA UKAGOMEA UTEUZI TOKA KWA NAMBA MOJA KISA MISHAHARA NA MARUPU RUPU LABDA KAMA ANGEKUWA KWENYE KAMPUNI AU PRIVATE SECTORS!!
WAMEONYESHA ULIMBUKENI NA USHAMBA PIA!
Kwaiyo tubadilishe walaji wa pesa ya umma? 😂Ndo madhala ya kuteua watu wenye ma vitengo yao tayari ya kupiga fedha (MICHANGO ya walimu nchi nzima) .
Kwani yeye ndo anafaa kuliko vijana wengine. Mtu mmoja anacover sehemu mbili as if nchi ina underpopulation ya skilled people. NDO maana watu wanataka kuchagua upinzani sio kwamba wao ni wema watatutendea mema la hasha tunataka kubadili walaji wa mali za nchi hii Kupitia KOFIA ya siasa
Unaujua mshahara wa DC ni shilingi ngapi?.Huwezi kataa, nakufahamu vema.