Ukiona hivyo zile akili alizoacha getini amerudishiwa alipoonyeshwa mlango wa kutokea .Hadi Barbarosa umeandika haya Leo??? Kweli Kuna mda saa mbovu huwa zinasema kweli!
Kuna nini huko Lumumba siku hizi hadi makada nguli mnakuja humu kutumia akili zenu vizuri??? Si mlikuwa mnamsema vibaya Tundu Lissu nyie wakati anayasema haya???? Kuna jambo gani limetokea huko kwenu??
Wameanza kupata akili.Kwani mkuu ni nini kimekusibu??? Hueleweki ujue
Itakuwa kweli!! Kuna kinachoendelea huko hatukijuiUkiona hivyo zile akili alizoacha getini amerudishiwa alipoonyeshwa mlango wa kutokea .
Mkuu upinzani umeisha, sasa tuna chama kimoja na hivyo ni rahisi watu kuona vizuri zaidi.Duh! Hayanihusu ila nitatoa tamko tu, sikuamini mleta mada anaweza kuibuka na uzi wa namna hii, nilidhani yeye ni mdau au mjumbe kwenye meza kuu pale kwa mkulu. Au teuzi zimeisha huko na kuacha majungu kwa waliopitwa, sipati picha.
Ccm hawaja kabidhi akili kwa viongozi wao kama nyie mlivyowakabidhi kina Mbowe na LisuHadi Barbarosa umeandika haya Leo??? Kweli Kuna mda saa mbovu huwa zinasema kweli!
Kuna nini huko Lumumba siku hizi hadi makada nguli mnakuja humu kutumia akili zenu vizuri??? Si mlikuwa mnamsema vibaya Tundu Lissu nyie wakati anayasema haya???? Kuna jambo gani limetokea huko kwenu??
Nyie mizimu itaendelea kuwatesa kwa dhulma mlizo na mnazoendelea kutenda.Ccm hawaja kabidhi akili kwa viongozi wao kama nyie mlivyowakabidhi kina Mbowe na Lisu
Unadhani sie tuna akili mfu kama nyie?Ccm hawaja kabidhi akili kwa viongozi wao kama nyie mlivyowakabidhi kina Mbowe na Lisu
Ulishwahi kumkosoa kwa lolote Mbowe au Lisu kama aalivyofanya mleta mada?Unadhani sie tuna akili mfu kama nyie?