Jinikashkash
JF-Expert Member
- Nov 27, 2020
- 455
- 872
Alhamdullilah
Unaanza kuona sawasawa
Unaanza kuona sawasawa
Wewe ulishawahi kumkosoa yeyote huko ccm?Ulishwahi kumkosoa kwa lolote Mbowe au Lisu kama aalivyofanya mleta mada?
Naangalia mara mbilimbili hii akaunti. Au sio yule jamaa??Mimi nafurahi kuona hata tuliowajua kama watu wakushangilia maovu wanaanza kutoka usingizini na kuona kuna haja ya kila mmoja kupewa haki
Maslahi yameguswa hapo....... 😁 😁 😁Kwa mara ya kwanza umeleta humu hoja yenye tija.Ila tutaelewana tu na tutaongea lugha moja sawia.Ccm mbele kwa mbele.
Wewe fuatilia utaona wengi wanakuja kwa staili yake,itabidi watuambie kulikoni.Naangalia mara mbilimbili hii akaunti. Au sio yule jamaa??
Kumbe na ww bado uko unapumua.Utajua hujui.Ccm hawaja kabidhi akili kwa viongozi wao kama nyie mlivyowakabidhi kina Mbowe na Lisu
Sema akili zimeanza kurudi taratibu.Ulishwahi kumkosoa kwa lolote Mbowe au Lisu kama aalivyofanya mleta mada?
fahamu zimeanza kurudi taratibuWewe fuatilia utaona wengi wanakuja kwa staili yake,itabidi watuambie kulikoni.
Unakumbuka yule DC wakati wa Kikwete alipowachapa walimu viboko alifanywa nini?Sidhani kama Rais ndio alimuamuru DC awatandike bakora wale wakosefu, lakini ifike mahala tuache kuyakuza mambo kwa chuki binafsi mbona hili la viboko limeshatokea sana kwanini iwe kwa huyu DC ?
Tuache fitna na uzandiki.
Tuko vizuri sanaSiyo mimi, lkn haichekeshi, ...
waongeze adhabu za bakora mpka akili zikae sawa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maslahi yameguswa hapo....... [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Sahivi iwe mwendo wa bakora tuNasema kama msipojirekebisha hatutawapiga bakora matakoni tena, sasa ni wakati wa kuwapiga dudu tu mchana kweupe
Ndo yeye huyu[emoji16]We ndo yule ndezi aliekula mboko mwishoni eeh [emoji1787][emoji1787][emoji1787]?
Halafu unarekodiwa LIVE, mpaka wajukuu watakuja kukuona YouTube ukila Bakora🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sahivi iwe mwendo wa bakora tu
Huku mkeo na watoto wanakuangalia [emoji23][emoji23]
Ova