Watawala wa Tanzania, labda siku moja mtapenda mpewe haki ya kusikilizwa Mahakamani pia!

Blasphemy of the highest order. Hivi huyo Mungu uliymuomba ni Babu yako au mtani wako? Haiwezekani akawa ni yule Mungu wa majeshi aliyemuadhibu Kaini kwa mauaji ya Abel! Kilangila.
Kilangila,
Usipofahamu watu wa humu na usipo wasoma kwa makini, utaumia sana, bila sababu! Huyu dudus anadhihaki tu, kwa kidhungu inaitwa sacasism language!
 
Twendeni tu, ipo siku woote hapo lumumba mtajua watu wanapiga kelele kwa sababu zipi.
 
Kila goti litapigwa na wote mtakiri kuwa Tanzania ya sasa siyo watanzania tunayoitaka.
 
Walioweka mfumo wa Mihimili 3 yaani Serikali, Mahakama na Bunge hawakuwa wajinga, walijua wanafanya nini na walikuwa na nguvu za Umungu lkn bado waliona umuhimu wa kuwa na Mahakama na Sheria kwamba kila Binadamu ana haki ya kusikilizwa na ndo maana hata wauwaji wanafikishwa Mahakamani na kusikilizwa na siyo kuuliwa papo kwa papo kwa kuwa tu wameuwa.

Leo hii mnajiona mna nguvu na kuhukumu Watanzania bila ya kuwapa haki yao ya msingi ya kuwasilikiza kwa kuwachapa viboko hadharani,mnajisahau! Kesho na kesho kutwa mambo yanaweza kubadilika, na amini nawaambia mtaomba kupewa haki ya kusikilizwa pia na siyo kuadhibiwa papo kwa papo kama mnavyowafanyia Watanzania.

Mfano mzuri ni Rais wa zamani wa Ufaransa Nikolas Sarkozy, alikuwa powerful man zaidi yenu. Raisi wa powerful country leo hii amefikishwa Mahakamani kwa makosa aliyoyatenda alipokuwa madarakani na anapewa fair trial Mahakamani. Mnanajua ni kwanini? Ni kwa sababu hata yeye alipokuwa Rais wa nchi hakuchapa watu viboko hovyo bali aliruhusu yeyote aliyefanya kosa apewe haki ya kusikilizwa na kufikishwa Mahamani.

Sina nia ya kumtisha yeyote, ila haya maisha huwezi jua nini kitatokea kesho.

Rais Magufuli kama unaruhusu Watanzania kuchapwa viboko hadharani bila ya kuwafikisha Mahakamani unapandikiza chuki kwa Wananchi dhidi yako na hiyo siyo akili ukiwa kama Kiongozi mwenye Madaraka makubwa. Siku moja watataka revenge na utahitaji Mahakama kukusikiliza amini nawambia.

Wapeni Watanzania haki ya kusikilizwa Mahakamani, kwani hata ninyi mnaweza kuja kuihitaji pia.
Magugumaji anafikiri yeye ndo Rais wa mwisho Tanzania hakutakuwa na mwingine baada yake, Clueless idiot
 
5 tena
 
Mimi nafurahi kuona hata tuliowajua kama watu wa kushangilia maovu wanaanza kutoka usingizini na kuona kuna haja ya kila mmoja kupewa haki
Umeonae ilabado kidogo tu kilakitu kitakaasawa
 
Hadi Barbarosa umeandika haya Leo? Kweli Kuna mda saa mbovu huwa zinasema kweli!

Kuna nini huko Lumumba siku hizi hadi makada nguli mnakuja humu kutumia akili zenu vizuri? Si mlikuwa mnamsema vibaya Tundu Lissu nyie wakati anayasema haya? Kuna jambo gani limetokea huko kwenu?
Posho zimepungu mpaka DPP akusanye nyengine
 
Mimi nashangaa mpk sahivi ni Kiongozi eti.
 
Back
Top Bottom