Watawala wa Tanzania, labda siku moja mtapenda mpewe haki ya kusikilizwa Mahakamani pia!

Halafu unarekodiwa LIVE, mpaka wajukuu watakuja kukuona YouTube ukila Bakora[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha tunyooshwee tu hakuna namna

Ova
 
Naamini mmojawapo ya aliyecharazwa hizo mboko ni ndugu yako,amakweli kila nafsi itaonja umauti,hizi zama wanaoumia si wapinzani tu,ni sote twafaaaaa,we si mwimbaji mzuri sana wa mapambio ya kusifu na kutukuza,mwambieni basi na mambo mengine anayokwenda kinyume asifanye hvyo sio tu hili kwa vile limekugusa kwa namna moja au nyingine.
 
Blasphemy of the highest order. Hivi huyo Mungu uliymuomba ni Babu yako au mtani wako? Haiwezekani akawa ni yule Mungu wa majeshi aliyemuadhibu Kaini kwa mauaji ya Abel! Kilangila.
 
Viongozi wa Serikali ya awamu ya 5 hawawezi kuepuka kufikishwa mahakamani kesho au keshokutwa. Hili lipo wazi hata wakitunga sheria ya Kinga. Itabatilishwa tu.
 
Siamini bado kama hizi kauli ni za mwenye jina "Barbarosa" yule wa siku zote. Pengine hackers wamefanya yao
 
Blasphemy of the highest order. Hivi huyo Mungu uliymuomba ni Babu yako au mtani wako? Haiwezekani akawa ni yule Mungu wa majeshi aliyemuadhibu Kaini kwa mauaji ya Abel! Kilangila.
... short-minded! ... read between the lines!
 
Inawezekana na yeye alikula mboko za Kihongosi
Mimi nafurahi kuona hata tuliowajua kama watu wa kushangilia maovu wanaanza kutoka usingizini na kuona kuna haja ya kila mmoja kupewa haki
 
Tumuongezee mingapi? Siku watu wanalalamika mliwaona mapunguani, ngoja wakae pembeni labda ninyi wa ndani mtasikika. Tukumbuke hakuna upinzani wa kukwamisha jambo lolote kwa sasa! 😀
 
They always believe: It will never happen.
 
Your mimicking!
 
Tulionya mapema sana kwamba Iko siku tutazungumza lugha moja , kaanza Warioba , wa pili ni wewe na tunawasubiri wanaofuata .

Shetani hajawahi kuwa na rafiki
 
Magufuli anajidanganya sana ndiyo maana mwezi June 2020 alipeleka muswaada na wa kinga ya viongozi wa Taifa akamuongeza na Mwanasheria Mkuu na Spika wa Bunge na ikawa sharia.

Kama ambavyo ameupeleka na ndiyo hivyo hivyo wenzie watakavyoutoa na kuweka sheria ya kuwashitaki. Tumeona Malawi jinsi Chakwera alivyomtolea Peter Mutharika, tumeona Sudan kinachoendelea.

Kwa huu uovu anaoufanya Magufuli, hata akifa atakuja kushtakiwa na kuhukumiwa POST HUMOUSLY
 
Siku zinakuja, naamu hata sasa zipo, ambapo hata Praise and Worship Team, watasema; ‘Ole Wetu!’
Lakini ni kweli kwamba Mungu wa Biblia ni muasisi wa miimili mitatu, walio anzisha mfumo huo walisoma Biblia, Isaya 33:22!
 
Wape wapeeee eee vidonge vyao, wakimeza wakitema shauri zao! Juzi tu hapa kuhusu shule ya St. Jude Arusha kuporwa manilioni na TRA, huyu jamaa aliandika kufuru kwenye comenti yake! Siyo Mtu wa kufaa kabisa huyu ‘Kigwa’ mkosa uteuzi!
 
Sidhani kama Rais ndio alimuamuru DC awatandike bakora wale wakosefu, lakini ifike mahala tuache kuyakuza mambo kwa chuki binafsi mbona hili la viboko limeshatokea sana kwanini iwe kwa huyu DC ?

Tuache fitna na uzandiki.
Ngoja siku utachapwa Wewe au mzazi wako, ndo tutaacha fitina na uzandiki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…