Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,644
- 2,273
Kilangila,Blasphemy of the highest order. Hivi huyo Mungu uliymuomba ni Babu yako au mtani wako? Haiwezekani akawa ni yule Mungu wa majeshi aliyemuadhibu Kaini kwa mauaji ya Abel! Kilangila.
Kwani mkuu ni nini kimekusibu? Hueleweki ujue
Magugumaji anafikiri yeye ndo Rais wa mwisho Tanzania hakutakuwa na mwingine baada yake, Clueless idiotWalioweka mfumo wa Mihimili 3 yaani Serikali, Mahakama na Bunge hawakuwa wajinga, walijua wanafanya nini na walikuwa na nguvu za Umungu lkn bado waliona umuhimu wa kuwa na Mahakama na Sheria kwamba kila Binadamu ana haki ya kusikilizwa na ndo maana hata wauwaji wanafikishwa Mahakamani na kusikilizwa na siyo kuuliwa papo kwa papo kwa kuwa tu wameuwa.
Leo hii mnajiona mna nguvu na kuhukumu Watanzania bila ya kuwapa haki yao ya msingi ya kuwasilikiza kwa kuwachapa viboko hadharani,mnajisahau! Kesho na kesho kutwa mambo yanaweza kubadilika, na amini nawaambia mtaomba kupewa haki ya kusikilizwa pia na siyo kuadhibiwa papo kwa papo kama mnavyowafanyia Watanzania.
Mfano mzuri ni Rais wa zamani wa Ufaransa Nikolas Sarkozy, alikuwa powerful man zaidi yenu. Raisi wa powerful country leo hii amefikishwa Mahakamani kwa makosa aliyoyatenda alipokuwa madarakani na anapewa fair trial Mahakamani. Mnanajua ni kwanini? Ni kwa sababu hata yeye alipokuwa Rais wa nchi hakuchapa watu viboko hovyo bali aliruhusu yeyote aliyefanya kosa apewe haki ya kusikilizwa na kufikishwa Mahamani.
Sina nia ya kumtisha yeyote, ila haya maisha huwezi jua nini kitatokea kesho.
Rais Magufuli kama unaruhusu Watanzania kuchapwa viboko hadharani bila ya kuwafikisha Mahakamani unapandikiza chuki kwa Wananchi dhidi yako na hiyo siyo akili ukiwa kama Kiongozi mwenye Madaraka makubwa. Siku moja watataka revenge na utahitaji Mahakama kukusikiliza amini nawambia.
Wapeni Watanzania haki ya kusikilizwa Mahakamani, kwani hata ninyi mnaweza kuja kuihitaji pia.
5 tenaWalioweka mfumo wa Mihimili 3 yaani Serikali, Mahakama na Bunge hawakuwa wajinga, walijua wanafanya nini na walikuwa na nguvu za Umungu lkn bado waliona umuhimu wa kuwa na Mahakama na Sheria kwamba kila Binadamu ana haki ya kusikilizwa na ndo maana hata wauwaji wanafikishwa Mahakamani na kusikilizwa na siyo kuuliwa papo kwa papo kwa kuwa tu wameuwa.
Leo hii mnajiona mna nguvu na kuhukumu Watanzania bila ya kuwapa haki yao ya msingi ya kuwasilikiza kwa kuwachapa viboko hadharani,mnajisahau! Kesho na kesho kutwa mambo yanaweza kubadilika, na amini nawaambia mtaomba kupewa haki ya kusikilizwa pia na siyo kuadhibiwa papo kwa papo kama mnavyowafanyia Watanzania.
Mfano mzuri ni Rais wa zamani wa Ufaransa Nikolas Sarkozy, alikuwa powerful man zaidi yenu. Raisi wa powerful country leo hii amefikishwa Mahakamani kwa makosa aliyoyatenda alipokuwa madarakani na anapewa fair trial Mahakamani. Mnanajua ni kwanini? Ni kwa sababu hata yeye alipokuwa Rais wa nchi hakuchapa watu viboko hovyo bali aliruhusu yeyote aliyefanya kosa apewe haki ya kusikilizwa na kufikishwa Mahamani.
Sina nia ya kumtisha yeyote, ila haya maisha huwezi jua nini kitatokea kesho.
Rais Magufuli kama unaruhusu Watanzania kuchapwa viboko hadharani bila ya kuwafikisha Mahakamani unapandikiza chuki kwa Wananchi dhidi yako na hiyo siyo akili ukiwa kama Kiongozi mwenye Madaraka makubwa. Siku moja watataka revenge na utahitaji Mahakama kukusikiliza amini nawambia.
Wapeni Watanzania haki ya kusikilizwa Mahakamani, kwani hata ninyi mnaweza kuja kuihitaji pia.
Umeonae ilabado kidogo tu kilakitu kitakaasawaMimi nafurahi kuona hata tuliowajua kama watu wa kushangilia maovu wanaanza kutoka usingizini na kuona kuna haja ya kila mmoja kupewa haki
Posho zimepungu mpaka DPP akusanye nyengineHadi Barbarosa umeandika haya Leo? Kweli Kuna mda saa mbovu huwa zinasema kweli!
Kuna nini huko Lumumba siku hizi hadi makada nguli mnakuja humu kutumia akili zenu vizuri? Si mlikuwa mnamsema vibaya Tundu Lissu nyie wakati anayasema haya? Kuna jambo gani limetokea huko kwenu?
Hahaahahhaahhaahaahhahaaaa kumbe wanazichuguagaUkiona hivyo zile akili alizoacha getini amerudishiwa alipoonyeshwa mlango wa kutokea .
HahahahahahahahaahaKumbe kuna wakati ng'ombe anapata akili [emoji23][emoji23]
Account ya Barbarosa imeingiliwa
Mtukufu akimaliza hii mitano kuna mingine tumemwandalia