Serikali si ina misitu huko kila kona iweje ikanunue mbao tena badala ya kuchukuwa chainsaw na kukata hiyo miti tupate mbao tujenge shuleHujui kitu wewe,kwamba darasa ni kusimamisha BOMA basi? Unajua hata bei ya mlango ulipi hapo au unaropoka? Unajua hata bei za mbao treated za kuezekea hilo darasa?
Tufahamiane wewe itakuwa utajenga mabanda co madarasa kwa hizo hesabu zakoMl 20 darasa 1 mbona nyingi sana
Upumbavu mtupu na kutupotezea muda bila sababu
Milioni 20 najenga madarasa matano na hela inabaki
Wapi ambako ina misitu kila Kona? Kwamba hiyo misitu ipo kwa ajili ya kujiendesha kwa hasara? Kwamba mtu wa kakonko asubirie Lori la mbao kutoka Sao Hill? Acha ujingaSerikali si ina misitu huko kila kona iweje ikanunue mbao tena badala ya kuchukuwa chainsaw na kukata hiyo miti tupate mbao tujenge shule
Kwani serikali inashindwa nini hasa kuwa na kiwanda chake cha cement?
Peleka huko ujinga wakoTufahamiane wewe itakuwa utajenga mabanda co madarasa kwa hizo hesabu zako
Imebidi nikucheke kwa dharau,eti Lori 5 ,maji 100,000 ,nondo 22,000?Mkuu leta mchanganuo wako kama mimi hapa (Tofali 500 x 1200 = 600,000, mawe lori 5 x 120,000 = 600,000, nondo 30 x 22,000 = 660,000, bati 40 x 30,000 = 1,200,000, cement 50 x 17,000 = 850,000, mchanga lori 5 x 100,000 = 500,000, misumari 20kgs x 6,000 = 120,000, fundi 1,500,000, mlango 200,000, madirisha 5 x 150,000= 750,000, maji 100,000, kokoto 300,000, vioo na ufundi 300,000, rangi na ufundi 500,000, nauli vifaa 100,000 dharura 1,000,000 jumla 9,280,00 na chenchi inabaki mkuu) acheni wizi wa inmali za umma tuwe wazalendo
Ukitoka km 300 tu kutoka Dar Es Salaam kila upande ni misitu tuWapi ambako ina misitu kila Kona? Kwamba hiyo misitu ipo kwa ajili ya kujiendesha kwa hasara? Kwamba mtu wa kakonko asubirie Lori la mbao kutoka Sao Hill? Acha ujinga
Acha kudanganya watu mkuu,labda ujenge madrasa ya watoto la sio darasaMl 20 darasa 1 mbona nyingi sana
Upumbavu mtupu na kutupotezea muda bila sababu
Milioni 20 najenga madarasa matano na hela inabakia
Kwa hiyo kila msitu au kila Mti unafaa kwa mbao sio? Ujinga umekujaaUkitoka km 300 tu kutoka Dar Es Salaam kila upande ni misitu tu
Wizi mtupu wa mali za umma
Hapa Dar mpaka mwembe mpaka mnazi watu wanakata mbaoKwa hiyo kila msitu au kila Mti unafaa kwa mbao sio? Ujinga umekujaa
Wizi wizi wizi mtupuAcha kudanganya watu mkuu,labda ujenge madrasa ya watoto la sio darasa
Acha wizi mkuu, maji hata laki haifiki shule si ina maji, hapo nimeongelea bill nzima ya shule kwa mwezi, nina uzoefu mkuu na haya mamboImebidi nikucheke kwa dharau,eti Lori 5 ,maji 100,000 ,nondo 22,000?
Unachekesha Sana wewe ndugu,kwamba hapo ndio umejenga tayari jengo la viwango vya kiserikali? Pole Sana ..Kwa Taarifa yako mondo ni 26,000 ,,saruji 18,000-19,000,,eti mlango 200,000 😝😝,,mtaani tuu mlango complete miti pori ni 400,000 sembuse wa serikali?
Naongea na jitu halijui kitu ngoja nikuache na kukupuuza.
Kwa ujenzi huo kajengee mabanda yako sio majengo ya serikali yanayohulitaji safety kwa vile ni public
Landa darasa la mitiMl 20 darasa 1 mbona nyingi sana
Upumbavu mtupu na kutupotezea muda bila sababu
Milioni 20 najenga madarasa matano na hela inabaki
"Wajinga" wewe ulifundishwa na malaika?Bahati mbaya kundi la walimu ni la watu wajinga wengi ambao hajitambui
Hata kuandika hujuwi
Tetetete pole teacher"Wajinga" wewe ulifundishwa na malaika?
Punguza lugha kali za kejeli
Jibu swali, wewe umefundishwa na malaika?Tetetete pole teacher
Walimu bhana mnapata tabu sn, mtu wa kwanza kujua kusoma na kuandika alifundishwa na nani?Jibu swali, wewe umefundishwa na malaika?
Unaniita teacher wapi nimesema mimi ni teacher?
Wewe ndo huyo mtu wa kwanza kujua kusoma na kuandika ambaye hukufundishwa na mtu?Walimu bhana mnapata tabu sn, mtu wa kwanza kujua kusoma na kuandika alifundishwa na nani?
Kama walimu ni wajinga basi wewe uliyefundishwa na walimu ndio mjinga zaidi kukubali kufundishwa na walimu wajinga.Bahati mbaya kundi la walimu ni la watu wajinga wengi ambao hajitambui