Dah....enzi zile ....miaka 20 nyuma....wangeambiwa wazitapike...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]Inasikitisha sana. Wakati wanagawana Waziri wa fedha,na katibu wa wizara walikuwa wapi? Au na wao walihusika? Nchi hii inaliwa kizembe zembe sana.
Dah...mwacheni mama afanyekazi...,[emoji2960]Kwa hali yoyote ile hiyo hela ilikuwa inaishia mifukoni mwa watu 3 au wa 5 na ndio maana ukwapuaji ukafanyika na siku za sikukuu. Na ukitaka kuwanasa vizuri wambie wakuonyeshe hizo kazi maalum au mpango kazi uliowafanya wachote hiyo hela, utaona wanaangalia vidole. Wameanza KUMZINGUA MOTHER.
Kwani wewe unaonaje🤔Mataga watadai kuwa ulaji umerejea!
Mwigulu Lameck!Sisi wenyewe tunamkabidhi fisi jukumu la kuwalinda mbuzi tunaowafuga!
Mtendaji Mkuu wa UDART ametimuliwa na KUTEULIWA yule Dr Mhede aliyekuwa CG wa TRAKwaiyo wewe unatakaje?unataka Rais anayefatilia watendaji wake au huyu tuliyenaye anayeshinda kwenye kioo anajipodoa utafikiri anatafuta mchumba,hapa atuna Rais tuna picha ya Rais tu,juzi tu tuliona Waziri mkuu anafukua madudu hapo UDAT mpaka akasimamisha watendaji wake,akabaki Mkurugenzi ambaye waziri mkuu,akuwa na uweza naye wa kutengua, akasema anampereka kwa Rais maana yeye ndiye alikuwa na mamlaka naye, mpaka sasahivi hatuoni chochote,yule Mkurugenzi bado yupo pale pamoja na madudu yote yale.Hapa atuna Rais tuna rais wa kutafuta wawekaji tu.
Wako mikononi mwa PCCBhii habari imeniudhi sana. hivi hao mbwa bado wapo ofisini badala la selo/sero?
Na rais hana mpango na walipaSisi tunajikamua kulipa kodi tukiamini nchi yetu itapiga hatua kimaendeleo kumbe zinaenda kujaza matumbo ya watu binafsi! Hatulipi tena kodi!
rais abadilishiwe jina awe rais wa uwekezaji nchini na sio rais wa tanzaniaKwaiyo wewe unatakaje?unataka Rais anayefatilia watendaji wake au huyu tuliyenaye anayeshinda kwenye kioo anajipodoa utafikiri anatafuta mchumba,hapa atuna Rais tuna picha ya Rais tu,juzi tu tuliona Waziri mkuu anafukua madudu hapo UDAT mpaka akasimamisha watendaji wake,akabaki Mkurugenzi ambaye waziri mkuu,akuwa na uweza naye wa kutengua, akasema anampereka kwa Rais maana yeye ndiye alikuwa na mamlaka naye, mpaka sasahivi hatuoni chochote,yule Mkurugenzi bado yupo pale pamoja na madudu yote yale.Hapa atuna Rais tuna rais wa kutafuta wawekaji tu.
kuna DART na kuna UDART, DART ndiye mtendaji ambaye waziri mkuu hakuweza kumtengua licha ya madudu. Anaitwa Eng. Lwakatare.Mtendaji Mkuu wa UDART ametimuliwa na KUTEULIWA yule Dr Mhede aliyekuwa CG wa TRA
Tutamkumbuka JPM..
Waziri wa fedha ivi ni nani?
Magufuli alishawaambia mapema ni madudu gan yaliyokua yakiendelea ndan ya serikali... huu ni mwanzo tu ..makubwa yaja na alisema ipo siku mtanikumbuka, ni muda mchache sana umepita tangu afariki, tunashuhudia ujambazi kurudi kwa kasi, madawa ya kulevya, watu wanapiga dili sasa kwa kwenda mbele hakika Nchii tunakoelekea me sijui... anyway Time will tell.................................Usicheke 🤣🤣🤣! Kuna mambo ya ajabu sana katika utumishi wa serikali. Ukiyachunguza kwa makini unaweza kudhani siyo watumishi bali ni wataalam washauri wa serikali.
Posho ndiyo lugha wanayoifahamu!
Sisi wenyewe tunamkabidhi fisi jukumu la kuwalinda mbuzi tunaowafuga!
Sina uhakika kama anatukanaMbona hushangai tunapoambiwa kuwa Mmawia wa chadema anayerusha matusi humu jukwani ana masters?
Akichoka kuangalia Shilawadu anakwenda kupanda mawe na kuota jua kama kenge, au kula mahindi barabarani. Mwendazake bora amekufaBora wa busy mitandaoni kuliko yule aliyekuwa anakesha kuangalia shilawadu na futuhi
Haahaa, afrika inahitaji taasisi imara Sio watu imara mkuu, Sheria zetu nyingi Ni za uonevu mtupu badala ya kulinda rasilimali zetu, wizi upo muda wote na awamu zote.Tulishuhudia jpm akitembea na mabilioni kwenye magari na kugawa hovyo kwa watu binafsi wote ule Ni wizi mtupuHii ndiyo Afrika.
Siku tutakapoamua kuachana na kuyachekea matukio kama haya, huo ndio utakaokuwa mwanzo wa nchi yetu kupiga hatua za uhakika na haraka kuelekea kwenye maendeleo halisi ya nchi yetu.
👉🏾Kuna mtu kama angekuwepo tunajua nini kingefuata ila watu wanaogopa kumtaja.
Hapa wadau wanahitaja China, ambayo pia inafanya madudu na mazuri, alikuwepo jamaa flani hapa TZ angeshafanya kitu kwa hawa watu.
Narudia nchi za afrika bila kuongozwa na kiongozi mbabe/nunda mambo hayaendi.