Watendaji Wizara ya Fedha wasimamishwa kazi kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha

Watendaji Wizara ya Fedha wasimamishwa kazi kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha

Inasikitisha sana. Wakati wanagawana Waziri wa fedha,na katibu wa wizara walikuwa wapi? Au na wao walihusika? Nchi hii inaliwa kizembe zembe sana.
Dah....enzi zile ....miaka 20 nyuma....wangeambiwa wazitapike...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]
 
Kwa hali yoyote ile hiyo hela ilikuwa inaishia mifukoni mwa watu 3 au wa 5 na ndio maana ukwapuaji ukafanyika na siku za sikukuu. Na ukitaka kuwanasa vizuri wambie wakuonyeshe hizo kazi maalum au mpango kazi uliowafanya wachote hiyo hela, utaona wanaangalia vidole. Wameanza KUMZINGUA MOTHER.
Dah...mwacheni mama afanyekazi...,[emoji2960]
 
Kwani hiyo kazi maalumu inafanywa nje ya muda wa kazi? Huu ujinga wa kulipana posho kwa kufanya kazi uliyoajiriwa uifanye in the first place ndio mwanya wa kufanya malipo hewa. Kama ningekuwa na uwezo basi ningeshauri malipo ya hizi posho yaondolewe na kutafutiwa utaratibu uliokuwa justifiable, trasparent and fair.

Kwa mfano, utaona mtu analipwa posho ya kula akiwa kwenye kikao au katoka nje ya mji. Kwani unakula kwa ajili ya kufanya hiyo kazi na kutoka nje ya eneo lako au unakula kwa ajili ya kuishi? In orher words, it is un avóidable cost. One eats yo live not to work!
 
Kwaiyo wewe unatakaje?unataka Rais anayefatilia watendaji wake au huyu tuliyenaye anayeshinda kwenye kioo anajipodoa utafikiri anatafuta mchumba,hapa atuna Rais tuna picha ya Rais tu,juzi tu tuliona Waziri mkuu anafukua madudu hapo UDAT mpaka akasimamisha watendaji wake,akabaki Mkurugenzi ambaye waziri mkuu,akuwa na uweza naye wa kutengua, akasema anampereka kwa Rais maana yeye ndiye alikuwa na mamlaka naye, mpaka sasahivi hatuoni chochote,yule Mkurugenzi bado yupo pale pamoja na madudu yote yale.Hapa atuna Rais tuna rais wa kutafuta wawekaji tu.
Mtendaji Mkuu wa UDART ametimuliwa na KUTEULIWA yule Dr Mhede aliyekuwa CG wa TRA
 
Sisi tunajikamua kulipa kodi tukiamini nchi yetu itapiga hatua kimaendeleo kumbe zinaenda kujaza matumbo ya watu binafsi! Hatulipi tena kodi!
Na rais hana mpango na walipa
Kwaiyo wewe unatakaje?unataka Rais anayefatilia watendaji wake au huyu tuliyenaye anayeshinda kwenye kioo anajipodoa utafikiri anatafuta mchumba,hapa atuna Rais tuna picha ya Rais tu,juzi tu tuliona Waziri mkuu anafukua madudu hapo UDAT mpaka akasimamisha watendaji wake,akabaki Mkurugenzi ambaye waziri mkuu,akuwa na uweza naye wa kutengua, akasema anampereka kwa Rais maana yeye ndiye alikuwa na mamlaka naye, mpaka sasahivi hatuoni chochote,yule Mkurugenzi bado yupo pale pamoja na madudu yote yale.Hapa atuna Rais tuna rais wa kutafuta wawekaji tu.
rais abadilishiwe jina awe rais wa uwekezaji nchini na sio rais wa tanzania
 
Tutamkumbuka JPM..

Waziri wa fedha ivi ni nani?

Tutamkumbuka kwa lipi? Maana kuna ripoti ya BoT ya januari to March imefichwa mpaka sasa. Na ikifanyika special audit toka yuko madarakani utatamani kulia. Fuatilia pesa zilizotumika kuunga juhudi ndio utajua. Hawa waliotangazwa sasa waliamua kujiongeza, baada kujua utaratibu wa kihuni uliokuwa unatumika kuchota fedha za umma kipindi cha huyo unayesema atakumbukwa.
 
Usicheke 🤣🤣🤣! Kuna mambo ya ajabu sana katika utumishi wa serikali. Ukiyachunguza kwa makini unaweza kudhani siyo watumishi bali ni wataalam washauri wa serikali.

Posho ndiyo lugha wanayoifahamu!
Magufuli alishawaambia mapema ni madudu gan yaliyokua yakiendelea ndan ya serikali... huu ni mwanzo tu ..makubwa yaja na alisema ipo siku mtanikumbuka, ni muda mchache sana umepita tangu afariki, tunashuhudia ujambazi kurudi kwa kasi, madawa ya kulevya, watu wanapiga dili sasa kwa kwenda mbele hakika Nchii tunakoelekea me sijui... anyway Time will tell.................................
 
Hii ndiyo Afrika.
Siku tutakapoamua kuachana na kuyachekea matukio kama haya, huo ndio utakaokuwa mwanzo wa nchi yetu kupiga hatua za uhakika na haraka kuelekea kwenye maendeleo halisi ya nchi yetu.

👉🏾Kuna mtu kama angekuwepo tunajua nini kingefuata ila watu wanaogopa kumtaja.

Hapa wadau wanahitaja China, ambayo pia inafanya madudu na mazuri, alikuwepo jamaa flani hapa TZ angeshafanya kitu kwa hawa watu.

Narudia nchi za afrika bila kuongozwa na kiongozi mbabe/nunda mambo hayaendi.
 
Bora wa busy mitandaoni kuliko yule aliyekuwa anakesha kuangalia shilawadu na futuhi
Akichoka kuangalia Shilawadu anakwenda kupanda mawe na kuota jua kama kenge, au kula mahindi barabarani. Mwendazake bora amekufa
 
Hii ndiyo Afrika.
Siku tutakapoamua kuachana na kuyachekea matukio kama haya, huo ndio utakaokuwa mwanzo wa nchi yetu kupiga hatua za uhakika na haraka kuelekea kwenye maendeleo halisi ya nchi yetu.

👉🏾Kuna mtu kama angekuwepo tunajua nini kingefuata ila watu wanaogopa kumtaja.

Hapa wadau wanahitaja China, ambayo pia inafanya madudu na mazuri, alikuwepo jamaa flani hapa TZ angeshafanya kitu kwa hawa watu.

Narudia nchi za afrika bila kuongozwa na kiongozi mbabe/nunda mambo hayaendi.
Haahaa, afrika inahitaji taasisi imara Sio watu imara mkuu, Sheria zetu nyingi Ni za uonevu mtupu badala ya kulinda rasilimali zetu, wizi upo muda wote na awamu zote.Tulishuhudia jpm akitembea na mabilioni kwenye magari na kugawa hovyo kwa watu binafsi wote ule Ni wizi mtupu
 
Sijawahi kulikubali hilo jahilia linaloitwa Mwigulu. Ni litesaji na liuaji. Alistahili kuwa gerezani. Ni mavi matupu kichwani. CCM ni ileile.
 
Back
Top Bottom