Wateule wa Rais: Je, wanafanana? Kuna wengine kama wameokotwa tu, na wengine ni wapakwa mafuta Msijilinganishe

Usimtetete Rafiki yako mwambie alipe kodi.... Yangekuwa ni makontena ya mbowe mngepiga kelele sana.... Sheria ifuatwe asitishie watu kuwashtaki kwa mungu... Kumbuka huyu ni kiongozi na anakwepa kulipa kodi je sisi RAIA wa kawaida tunajifunza nini.... CCM acheni janja janja Aseeh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni vyema kila mamlaka ikaachwa itekeleze majukumu yake kwa mujibu wa Sheria bila kuingiliwa kwa kisingizio chochote iwe msaada au huruma
 
Hapo labda itumike ile lugha yetu ya nyumbani na usemi wa kijana wa nyumbani,lakini vinginevyo huyo bashite ni mpiga dili tu,kwa nini makontena yaje kwa jina lake?
 
Makonda anadharau hamjui the way alivowatisha akina mpango na TRA since the starring of the saga. Dr mpango ameamua do or die na amesema kwa mdomo wake raisi akiruhusu msamaha basi resignation letter hapo hapo. Makonda ajue kuheshimu mamlaka kuwa na ukaribu na msalika (zama hzo) hazina nafasi. Hivi ana guts kushinda dotto, kitwanga akina mnozia etc. Atulie wakati huu ni mwingine ile trust ya mwanzo sasa iko 50-50
 
Mkuu nasikia kosa la Makonda ni kuyaingiza hayo makontena kwa jina lake,kumbe alipaswa kuyaingiza kwa jina la taasisi ya Elimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
I agree with you nahisi hapo ndipo alipochemsha na ndio hapo Dr Mpango anaposimamia kisheria lakini nafikiri kuna namna wanaweza kuitumia ili kunusuru hili kwa sababu si kwa manufaa ya RC Makonda bali walimu, tatizo watu wamelishikia bango kwa chuki na roho mbaya kitu ambacho sio sawa.
 
Ndivyo walivyo hao viumbe, ukisoma vizuri huu Uzi utagundua una ka harufu ka unyumbani a.k.a ukabila,ngoja tuone motto wa nyumbani atakavyo fanya
 
Ukimsoma katikati ya mistari Pasco yupo na Waziri Mpango kwa mlango wa nyuma [emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Werevu wamemfahamisha baba kuwa huko tuendako kijana anaweza kukuvimbia. Ukiangalia kijana anajijengea self recognition kupitia matatizo ya walimu.
Waziri amesema wanawapenda sana walimu na kila mwezi zinatolewa b 20 kwa akili ya elimu.
Maneno ya waziri inaelekea yalikuwa na baraka zote kutoka juu.
Kwanini kijana aliyakana makontena yake?
Redio Mbao yangu iko tuned
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…