Yaani kwa kifupi anamuamsha mpaka mafuta awaangalie aliowapaka mafuta [emoji12]Ni ngumu sana kumwelewa huyu jamaa, especially kama unasoma na kuchukua kama ilivyo...
Anampamba mpakwa mafuta kwa kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
Mkuu Pascali inabidi umsome in 3D
Mbona mimi naona Pasco ni yule yule wa jana kabla ya bungeni, na leo?Nimesoma weeee nikarudia tena na nimemuuliza yeye anacheka tu, simuelewi Paskal tangu aitwe Bungeni
Nimesoma weeee nikarudia tena na nimemuuliza yeye anacheka tu, simuelewi Paskal tangu aitwe Bungeni
Mkuu nina hakika ukirudia mara ya 3 utaona kiini cha hii thread ya Pasco, mengine kaandika kujaribu kuwa poteza direction, teh teh teh, angalia maneno aliyorudia rudia kwamba kuna mpakwa mafuta na mpaka mafutwa wa kuokota, sasa hapo jiulize, aliyeokotwa ni Mpango au Bashite?we are on the same page
Unajua kuelewa ni subjective mno. Tena unaweza kuta kwa andiko hilohilo, mwandishi akawa na shallow meaning lkn msomaji akaenda mbali zaidi.Watu hawawezi kuelewa unachozungumza hapa. Ni ngumu kuelewa sababu ya mfumo wetu wa kufikiri umetaifishwa,hatupendi kusoma na kuelewa mambo ya msingi. There are so many points in this thread but only who can see it will understand.others will never no matter what.watu wanapaswa kujua hili jambo si dogo hasa baada ya makonda kuamua kumshtaki kwa "mungu" wake.
Kodi ilipwe tu hakuna namnaUkimsikiliza waziri mwenye dhamana, naona kama kuna contradiction ya ndani kwa ndani kama unatowa bn 20 kwanjiri ya shule hizo hizo, na umeakiki hizi samani nimisada na pia zinaenda pale pale unako paleka bn 20 kwanini unazikataza......hapo tatizo liko personal hataki mtoto teule aendelea kupata popularity nakupendwa na baba. Waziri kazi yake ingekua simple tu ni kusimamia kuona kwamba vinaenda kwa walengwa tu... aache kubishana na ujinga kasha boronga uchumi anafikiri watzn watampenda anajaribia kama alivo fanya kwenye korosho......watu wengine hawanaga maona anasema sheria ila azisomi zina sema je kuhusu misada kwajiri ya umma? Viongozi wa Africa wakipata madaraka wanakosa logic.
Sent using Jamii Forums mobile app
suala la kusema eti " wamezuia kwa kuwa wameendika jina la makonda" limenifanya kuona bandiko hili linaegemea upande flani
Unajua kuelewa ni subjective mno. Tena unaweza kuta kwa andiko hilohilo, mwandishi akawa na shallow meaning lkn msomaji akaenda mbali zaidi.
Wengi wanachofanya hapa ni kupatana au kupingana na fikra za Paskali. Hata mimi nampinga kwa sababu naye anamtaja Mungu, ila wewe naweza kubaliana nawe kwa sababu unamtaja "mungu"
Sent using Jamii Forums mobile app