Wateule wa Rais mbona hamumsaidii kujibu hoja za Mkataba wa Bandari!

Naona kama kaachiwa Dr Muchunguzi tu na Mbarawa na Maria Sarungi lakini wateule wa Raisi wako bize na kula Bata na kukivizia kiti kimponyoke Samia.
 
Good[emoji818]Jibu ni hili [emoji115]

Wanufaika wakubwa wa bandari ni hao viongozi wakubwa wastaafu na waliopo madarakani.

wapo viongozi wengi wana share kwa wafanyabiashara wakubwa na wapo wanaofanya biashara wanao import & export kupitia bandari,sasa mirija ya upigaji iaenda kufyekelewa mbali.
Tena wanaokataa ndio wangeanza kuchunguzwa mali zao, majizi hayo
Kuna watu wanaiba mpaka unasema hizi hela zote atazifanyia nini halafu hana maisha ya raha ni wasiwasi tu

Acha wabinafsishe kila kitu kwenye wizi
 
Amaleki wote wamesalia mafichoni, maana ule moto waliomwashia ndugai huwezi amini ukimya wao leo.
 
Kwa nini hakuna ukomo wa mkataba kama ilivyokuwa wakati wa TICKS?
Mkataba unaoungolea wewe siyo wa utendaji, ni wa maridhiano ya mashirikiano baina ya serikali na serikali (IGA).

Kama unao mkataba wa utendaji baina ya TPA na DP World uweke tuuone.

Mama anaupiga Kimataifa.
 
Wazo lako unalitoa wakati huu,mnaanza kumkataa mama kipindi hiki!
Hii tabia haikuanza kwa mama ilianza kwa mwendazake. Mambo ya "kumsaidia rais", wakati wote wanafanya kazi zao kwa fedha za serikali. Na miradi sio misaada ni majukumu ya serikali!

Ni sawasawa nami niende kazini halafu niseme "namsaidia" bosi wangu...
 
Mkataba unaoungolea wewe siyo wa utendaji, ni wa maridhiano ya mashirikiano baina ya serikali na serikali (IGA).

Kama unao mkataba wa utendaji baina ya TPA na DP World uweke tuuone.

Mama anaupiga Kimataifa.
Unaruka ruka Faidha.
Profesa Mbarawa kasema mkataba utaisha baada ya mida kuisha. Ni nini maana ya muda kuisha?? 🙄

Pili kuna vifungu vinatubana hatuwezi uvunja mkataba ata kama kuna ukiukwaji wa mkataba
 
Sijamsikia hayo usemayo kama unayo link iweke niisikilize, baada ya yale aliyoongea bungeni ndani,. Nmemsikia akiongea na waandishi wa habari 👇🏾

Wateule wa Rais Katibu Mkuu, Katibu Mwenezi, Makamu Mwenyekiti Taifa, Wenyeviti na Makatibu wa CCM Mikoa, UVCCM, UWT na Mawaziri, siwaoni wakimsaidia Mama Samia, Rais na Mwenyekiti wa Chama Taifa kujibu hoja za uwekezaji wa bandari!

Kwenye maamuzi ya Rais Samia siku za nyuma waliitisha press, makongamano na maandamano ya kumuunga mkono.

Mfano mmoja wapo ni suala la pesa za mikopo, Mama Samia alitetetewa na ngazi zote za chama na serikali ndani na nje ya Bunge, kwenye swala la mikataba ya bandari siwaoni, wamepatwa na nini?

Wajitokeze wawe wawazi wanapinga au wanaunga mkono uwekezaji wa bandari, sambamba na kujibu hoja zote za kupotosha na za kweli kuhusu mikataba ya bandari!

Tulishamuambia kuwa teuzi za dokezo zina gharama yake
 
Kutetea hujuma ni kazi ngumu sana. Labda uwe na akili ndogo kama Musukuma au Kibajaji, utaweza maana wao hawana tafakuri ya mbeleni.

Hata Rais mwenyewe analikwepa kuliongelea suala la bandari. Kuna siku atamkana Mbarawa. Na Mbarawa italazimu akubali kuwa kitimoto wa kafara.
 
Nenda kazijibu HOJA za Dr Slaa, Pengo, Lissu nk nk.

Kwako upuuzi Ule wa Musukuma ndo HOJA zimejibiwa vile?
Wateule wa Rais Katibu Mkuu, Katibu Mwenezi, Makamu Mwenyekiti Taifa, Wenyeviti na Makatibu wa CCM Mikoa, UVCCM, UWT na Mawaziri, siwaoni wakimsaidia Mama Samia, Rais na Mwenyekiti wa Chama Taifa kujibu hoja za uwekezaji wa bandari!

Kwenye maamuzi ya Rais Samia siku za nyuma waliitisha press, makongamano na maandamano ya kumuunga mkono.

Mfano mmoja wapo ni suala la pesa za mikopo, Mama Samia alitetetewa na ngazi zote za chama na serikali ndani na nje ya Bunge, kwenye swala la mikataba ya bandari siwaoni, wamepatwa na nini?

Wajitokeze wawe wawazi wanapinga au wanaunga mkono uwekezaji wa bandari, sambamba na kujibu hoja zote za kupotosha na za kweli kuhusu mikataba ya bandari!

.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Mkataba umejadiliws bungeni na upo hata hapa JF siri gani mkataba wa mashirikiano ya nchi kwa nchi?
Mkataba ukajadiliwe bungeni, kwa hiyo siku hizi mikataba sio siri tena?! Jiridhishe ni nini kilijadiliwa bungeni. Ila sio mkataba. Jitahidi kupunguza upotoshaji usio na tija.
 
Wateule wa Rais Katibu Mkuu, Katibu Mwenezi, Makamu Mwenyekiti Taifa, Wenyeviti na Makatibu wa CCM Mikoa, UVCCM, UWT na Mawaziri, siwaoni wakimsaidia Mama Samia, Rais na Mwenyekiti wa Chama Taifa kujibu hoja za uwekezaji wa bandari!

Kwenye maamuzi ya Rais Samia siku za nyuma waliitisha press, makongamano na maandamano ya kumuunga mkono.

Mfano mmoja wapo ni suala la pesa za mikopo, Mama Samia alitetetewa na ngazi zote za chama na serikali ndani na nje ya Bunge, kwenye swala la mikataba ya bandari siwaoni, wamepatwa na nini?

Wajitokeze wawe wawazi wanapinga au wanaunga mkono uwekezaji wa bandari, sambamba na kujibu hoja zote za kupotosha na za kweli kuhusu mikataba ya bandari!

Kwani hujamsikia RC Makalla?
 
Hii hii post ya kuuliz tu inakuaje mzee, atakuja sufian, sababu ashawah kuliwa KINYUME NA MAZINGIRA basi atasema kitu WANAUME WOTE HAWAJAWAH SEMA... ALOOO ACHA KABISAAAAA... WAPEMBA WAPO 2M, SISI TUPO 60M, TUNATAKIWA TUJITAFAKARI
Nashukuru hujatuingiza kwenye siasa zenu sisi wanguja
 
Back
Top Bottom