Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Naunga mkono hojaHamjambo wote!
Tayari misukosuko imemtosha, tunaita ndio mambo ya siasa hayo. Tunaiomba serikali kabla ya septemba 7 iweze kumuachia Tundu Lisu. Hatusemi baada ya hapo ile Muku na yule aliyemuokoa na na lile shambulizi lilimnusuru roho yake ataingilia kati. Na haimaanishi kuwa hatujasema. Na hiki kisihesabike kama kitisho bali ni taarifa tuu ya kuchukuliwa na kufanyiwa kazi.
Ahsanteni sana.
Na. M. M. Mwanakijiji
Niwe wa kwanza kusema kuwa endapo TAL na CHADEMA hawatoruhusiwa kushikiri uchaguzi huu, Watanzania wajiandae kuona mwisho wa utawala wa CCM Rais Samia akiwa ni Rais wa mwisho wa CCM kuelekea 2030. Ule UNABII utaenda kutimia.
Ni kweli, tena kwelikweli.
Wanabodi
Naendelea kushauri, kale ka simba ka Kizimkazi, kaondolewe tuu kwenye ile cage, katatusumbua sana kwa kupigiwa kelele kutoka karibu kila kona!.
Hebu tuwape tuu wanachotaka, tuingie uwanjani kwenye uwanja ulio sawa, ( a level playing field), tuboreshe kanuni za mchezo kwa fair play, tuweke refa mtenda haki, mwisho wa mchezo, mshindi apatikane kwa haki, tufurahie ushindi wa haki, tena kwa hisia zangu, hizi mambo za figisu, zinaweza kuwa ndio zimechagia kwenye ile karma iliyopelelekea lile tukio lile kutokea!, tusipojirekebisha hii 2025, tukio kama lile linaweza kuja kujirudia!.
Mzee Pasco
Acha anyooshwe yule aso adabuNaunga mkono hoja
P
Kwann Dada ?Na maza ikimpendeza awamu yake ya pili awe kama magu,hakuna demokrasia, hakuna mikutano ya kisiasa,watu wakalime
Maridhiano yamemponza,alimtembelea lissu hospital Nairobi,alikutana nae ughaibuni, akaleta maridhiano,lakini rejea kauli za kifedhuli za lissu dhidi ya maza.. yaani maza amuache humo korokoroni asitike mpaka 2031Kwann Dada ?
yaani ukiuke sheria kwa makusudi kabisa, utembee kila wilaya nchini nzima kuropoka na kuhubiri chuki na migawanyiko miongoni mwa waTanzania kinyume cha sheria za usalama wa taifa, kisha mtu aje hapa ati ng'we ng'we ng'we aachiwe?Hamjambo wote!
Tayari misukosuko imemtosha, tunaita ndio mambo ya siasa hayo. Tunaiomba serikali kabla ya septemba 7 iweze kumuachia Tundu Lisu. Hatusemi baada ya hapo ile Muku na yule aliyemuokoa na na lile shambulizi lilimnusuru roho yake ataingilia kati. Na haimaanishi kuwa hatujasema. Na hiki kisihesabike kama kitisho bali ni taarifa tuu ya kuchukuliwa na kufanyiwa kazi.
Ahsanteni sana.
Ushauri huu uzingatiwe na kufanyiwa kazi.Na maza ikimpendeza awamu yake ya pili awe kama magu,hakuna demokrasia, hakuna mikutano ya kisiasa,watu wakalime
Unabii wa walevi ni halucination tuNaunga mkono hoja
Hii hoja pia imeletwa humu na Mkuu Mzee Mwanakijiji
- Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
- GE2025 - Paschal Mayala: CCM Itakuwa inapambana na kivuli chake kama CHADEMA Haitashiriki uchaguzi
- Pongezi Rais Samia kwa Tanzania kuwa Kinara Uhuru wa Habari, EAC, Vipi Kale ka 'Simba ka Kizimkazi' Mnaonaje Kaachiwe?, Kanatuvurugia Sana Amani?
- Kwa kukamilisha yale ya mtangulizi wake, kisha kujumlisha na ya kwake anayotenda, kutomshukuru ni kujichumia tu dhambi za bure!
P
Sorry mama alienda Nairobi kumtembelea yaani ilikuwa ni ziara officially au alitokea ??Maridhiano yamemponza,alimtembelea lissu hospital Nairobi,alikutana nae ughaibuni, akaleta maridhiano,lakini rejea kauli za kifedhuli za lissu dhidi ya maza.. yaani maza amuache humo korokoroni asitike mpaka 2031
Hakuna jambo baya kama kuharibu amani ya nchikwa Yeyote anayemuombea bin -Adam mwenzake ubaya, akumbuke kuwa ubaya anaouomba utameudia yeye mwenyewe- heri wapatanisi... maana hao wataitwa....?
Unapigwa kinyume weweAcha anyooshwe yule aso adabu
September 7 kuna nini?
Naunga mkono hoja