Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Waarabu ni business oriented halafu ni waaminifu.So duniani ulizaliwa ufanye nini kama hutakuwa na watoto? Maisha ni mazuri sana ukiwa na familia Yani hata unavyoenda kupambana kuna spirit inakuongoza na kukupa ujasiri pindi unapoifikiria familia yako. Kupata na kukosa ni matokeo lakini familia kwanza. Kindly mtoa mada angalia wosia wa marehemu usijekuwa mfupi, marehemu alizaliwa, marehemu amefariki, jina la bwana lihimidiwe .......... Pambana uache chata zako Duniani the rest is history!
Hii paragraph ya kwanza imenichekesha sana.Miaka ya 1980 kurudi nyuma watoto walikuwa sehemu ya nguvu kazi ya familia. Hivyo mtu akiwa na watoto wengi alihesabika kana kwamba anamiliki matrekta kadhaa ya kumsaidia ktk kilimo.
fanya hivi, nenda kawaue waliokuzaa uwashikishe adabu kwa kukuleta dunia ili uje kuandika upuuzi JF na upate taabu dunianiMiaka ya 1980 kurudi nyuma watoto walikuwa sehemu ya nguvu kazi ya familia. Hivyo mtu akiwa na watoto wengi alihesabika kana kwamba anamiliki matrekta kadhaa ya kumsaidia ktk kilimo.
Siku hizi mambo yamebadilika. Watoto hawana thamani tena, sana sana wamegeuka kuwa sawa na kujitwisha zigo la misumari kichwani. Watoto wanateseka na mzazi anateseka.
Kuzaa tuwaachie matajiri ambao wana mali za kurithisha watoto wao. Wewe mwenye kajumba kamoja na gari lako la mkopo acha kuzaa, utatujazia vibaka na wadangaji mitaani.
Si mnaona mlundikano wa vijana ambao ni vibaka na madadapoa mijini na vijijini hivi siku hizi? Au mnadhani hao vijana walijizaa?
Obama ana watoto 2.
W. Bush ana mtoto 1.
Clinton ana mtoto 1.
.
Wewe mpuuzi unayenuka kikwapa kwa umaskini, unapata wapi ujasiri wa kuzaa watoto?
weeee walete hata 10.... baba Mungu kamuumba kila Mja na Rizq yakeHatari Sana.
Hata Balozi IGP Mstaaf Simon Siro ana watoto wawili tuMiaka ya 1980 kurudi nyuma watoto walikuwa sehemu ya nguvu kazi ya familia. Hivyo mtu akiwa na watoto wengi alihesabika kana kwamba anamiliki matrekta kadhaa ya kumsaidia ktk kilimo.
Siku hizi mambo yamebadilika. Watoto hawana thamani tena, sana sana wamegeuka kuwa sawa na kujitwisha zigo la misumari kichwani. Watoto wanateseka na mzazi anateseka.
Kuzaa tuwaachie matajiri ambao wana mali za kurithisha watoto wao. Wewe mwenye kajumba kamoja na gari lako la mkopo acha kuzaa, utatujazia vibaka na wadangaji mitaani.
Si mnaona mlundikano wa vijana ambao ni vibaka na madadapoa mijini na vijijini hivi siku hizi? Au mnadhani hao vijana walijizaa?
Obama ana watoto 2.
W. Bush ana mtoto 1.
Clinton ana mtoto 1.
.
Wewe mpuuzi unayenuka kikwapa kwa umaskini, unapata wapi ujasiri wa kuzaa watoto?
Hahaaam...mnatujazia vibaka na machangudoaweeee walete hata 10.... baba Mungu kamuumba kila Mja na Rizq yake
🤣🤣🤣daa ujasiri anaupat wapiMiaka ya 1980 kurudi nyuma watoto walikuwa sehemu ya nguvu kazi ya familia. Hivyo mtu akiwa na watoto wengi alihesabika kana kwamba anamiliki matrekta kadhaa ya kumsaidia ktk kilimo.
Siku hizi mambo yamebadilika. Watoto hawana thamani tena, sana sana wamegeuka kuwa sawa na kujitwisha zigo la misumari kichwani. Watoto wanateseka na mzazi anateseka.
Kuzaa tuwaachie matajiri ambao wana mali za kurithisha watoto wao. Wewe mwenye kajumba kamoja na gari lako la mkopo acha kuzaa, utatujazia vibaka na wadangaji mitaani.
Si mnaona mlundikano wa vijana ambao ni vibaka na madadapoa mijini na vijijini hivi siku hizi? Au mnadhani hao vijana walijizaa?
Obama ana watoto 2.
W. Bush ana mtoto 1.
Clinton ana mtoto 1.
.
Wewe mpuuzi unayenuka kikwapa kwa umaskini, unapata wapi ujasiri wa kuzaa watoto?
Kwa huyu atakuwa na matatizo, mgao wa chakula cha bure Polisi, rushwa kibao na kabila lake kuwa na mke mmoja na watoto wawili ni umaskini.Hata Balozi IGP Mstaaf Simon Siro ana watoto wawili tu
Ndio maana masikini atazidi kuwa masikini na tajiri atazidi kuwa tajiri.Jikubali hupendi watoto ama huna uwezo wa kuwahudumia watoto na mama yao
Utajiri wa wenye hali duni ni watoto
Utajiri wa wenye hali nzuri (matajiri) ni kuwa na mali (fedha, ardhi, nyumba magari etc)
Nawapenda Ila Hali ya uchumi siyo rafiki.weeee walete hata 10.... baba Mungu kamuumba kila Mja na Rizq yake
Hao tumewakuta.... walikuwepo tangu enzi za YesuHahaaam...mnatujazia vibaka na machangudoa
Once againMiaka ya 1980 kurudi nyuma watoto walikuwa sehemu ya nguvu kazi ya familia. Hivyo mtu akiwa na watoto wengi alihesabika kana kwamba anamiliki matrekta kadhaa ya kumsaidia ktk kilimo.
Siku hizi mambo yamebadilika. Watoto hawana thamani tena, sana sana wamegeuka kuwa sawa na kujitwisha zigo la misumari kichwani. Watoto wanateseka na mzazi anateseka.
Kuzaa tuwaachie matajiri ambao wana mali za kurithisha watoto wao. Wewe mwenye kajumba kamoja na gari lako la mkopo acha kuzaa, utatujazia vibaka na wadangaji mitaani.
Si mnaona mlundikano wa vijana ambao ni vibaka na madadapoa mijini na vijijini hivi siku hizi? Au mnadhani hao vijana walijizaa?
Obama ana watoto 2.
W. Bush ana mtoto 1.
Clinton ana mtoto 1.
.
Wewe mpuuzi unayenuka kikwapa kwa umaskini, unapata wapi ujasiri wa kuzaa watoto?
Mkuu unajitambua.Uko sahihi kabisa, mimi hawa wawili tu wananipeleka puta!
Ana watoto wa4, so na ww zaa wa4 kama kipato chako na beckham vinafanana.Beckham ana watoto wa ngapi?
Maumivu inafika kipind una shazi la watoto ila wote chenga hakuna mweny maendeleo hata mmoja , unaanza kuingia simanzi tena unajishtukia kweny imani za kijinga mara umerogwawanaopinga wengi mtakua wasukuma. kuna mmoja msukuma kipindi nabeba tofali tulikua tunabeba naye tofali. amemzalisha mkewe watoto 8 wote wa kike. akawa kuna mkruya anambembeleza amchukue yule wa 2 awe dada wa kazi ili akipata hela amsaidie kulea wenzake. unaona akili hiyo? mtu kama huyu ni wa kumtia sindano ya ugumba. jamaa akamchukua binti akawa anaishia kupigwa na kunyanyaswa na bosi wake.
Hadi wewe? Unasapoti kufyatua watoto!Once again
KRRAAPPPPP
Pesa nikose na mtoto nae nikose pia...
Achana nao hawa vijana wana stress za maisha zinazosababishwa na uvivu wa kujitafuta wakitegemea kuna mtu atawasaidia.Laana nyingine za kujitakia..Ilikuwa na faida gani kukufuru namna iyo unaweza kuzaa mtoto mmoja na akawa Shoga vile vile.
Vijana tupunguze ujuaji wa kuongea kila kitu
Usitupangie maisha....Kuzaa tuwaachie matajiri ambao wana mali za kurithisha watoto wao. Wewe mwenye kajumba kamoja na gari lako la mkopo acha kuzaa, utatujazia vibaka na wadangaji mitaani.