PumbavuMtoa uzi bila shaka umeandika huu uzi ukiwa umepiga moja moto moja baridi..au umepiga ngumu kumeza nyepesi kumekesuka...mbona matajiri wengi unakuta wanawatoto 2, Mmoja au hawana kabisa mtoto hao ndo wenye akili? mtoto ni baraka.
Huna akiliHuko Ujerumani, Italia, n.k wanawabembeleza watu wazaliane kwa kuwalopa, cnhi omejaa vikngwe baada ya watu kuwa na akili kama za mleta mada.
Kipi bora watu wazaliane na kujazana kama mapanya waipe serikali mzigo wa kutoa huduma, Au nchi iwe na watu wachache wanaopata huduma safi na bora?Huko Ujerumani, Italia, n.k wanawabembeleza watu wazaliane kwa kuwalopa, cnhi omejaa vikngwe baada ya watu kuwa na akili kama za mleta mada.
Bora wanazaa watoto wachache, wangekuwa wanafyatua watoto wengi halafu wakawa na tabia hizo sijui ingekuwajeKuna wale wazazi wana uwezo, wana kila kitu. Wanazaa wtt wawili au watatu. Wanaprovide vizuri tu kwa kila kitu chao.
Lkn wanashindwa kwenye malezi yenye maadili mema. Mtu ana mtt mmoja au wawili tu lkn wanakuwa wahuni, mashoga, wasagaji, wala unga n.k
Hawa mie ndio huwa nalia nao. Maana na wao sijui tuseme pia wasizae!?
Huko Gaza, n.k ni matokeo ya wahuni wa ulimwengu huu.Yafaa nini watoto waliozaliwa Gaza?
Kuna muda kuleta watoto duniani ni kuja kuwahukumu kwa makosa ya wazazi 😰
Zaa watoto kijanaDah uzi mchungu huu lakini ndo dawa wacha tunywe tupone ..ongeza dose dakitarereee
Hivi Christian Lonardo anawatoto wangapi?vipi Mark Zurich? Diamond anawato wangapi?kikubwa wazazi tujipange lakini kama unauwezo wa kizaa aisee zaa uwezavyo ..mama nyerere angezaa watoto 2 asingepata Julias KambarageNyie wazungu wa kuchovya kaeni na uzungu wenu Koko, sie waafrika kwetu watoto ni baraka nakila mtoto anakuja na riziki zake duniani. Umeshafanya utafiti kwa matajiri wakubwa duniani pamoja na viongozi wakubwa walitokea kwenye familia gani?, na wasanii maarufu
😅Masikini wavivu kutafuta hela muda wote wanapeana joto na kuongeza watotoKama tajiri anazaa mtoto mmoja, wawili au watatu.
Wewe kapuku maskini choka mbaya, Utazaaje watoto wengi halafu useme ni baraka?
Hivi unafikiri sawa sawa kweli?
Dhana ya kipumbavu kwa watu wasiojitambua.Hii dhana ilikuwa na mashiko kwenye traditional societies.Kuzaa ni baraka
Mkuu watoto ni baraka Sana sanaDhana ya kipumbavu kwa watu wasiojitambua.Hii dhana ilikuwa na mashiko kwenye traditional societies.
We jamaa huwaga ni mjinga sanaUsiwe na kipato halafu zaa watoto tuone kama hizo baraka zitalipa bills.
Bado ni mtoto ndo maanaDhana ya kipumbavu kwa watu wasiojitambua.Hii dhana ilikuwa na mashiko kwenye traditional societies.
Usitete ujinga unaweza ukawa leo una-fedha lakin baada ya miaka 10 au 15 ukafilisika au ukapata ukilema ambao utakuzuia kutafuta fedhaPerfect
Makahaba woote almost wote wametoka kwenye familia zilizochoka hasa kwa kuzaana kama panya huku uwezo wa uchumi kidogo
Wa 4 wanatosha mkuu leba sio kama kwenda kariakoo,kuleta mtu duniani is never easy task , maana yake ni majukumu ya malezi yanayogharimu pesa,muda bila mwisho ,stress za malezi hajaumwa ,ale asome , kujinyima uhuru wako binafsi,kujikana nafsi,sometimes hata kuacha kazi zako zinazokuingizia kipato ili ulee mtoto awe mwenye manufaa na awe vile unataka na akubalike katika jamii alooo sio mchezo,KUZAA SIO KAZI KAZI KULEAZaa watoto kijana
Ivi mnazaa na mnaona hakuna ajiraHuwa mkipata huto tudgree twenu uchwara mnakuwa wehu sana, so unataka wazae matajiri tu