Watoto ni gharama si baraka. Kabla hujafikiria kuzaa watoto tambua hili mapema

Ut
Serikali ipige faini kwa wanaozidisha watoto zaidi ya wanne....mnazaa zaaa na mnaona Hali ya maisha ni ngumu na hamna ajira
 
Malezi ya mtoto ndio huweza kupelekea tabia zake.
Nani ajuaye!!?

Kuna uzao was baraka na uzao wa laana hapa duniani!kama uzao wako ni wa laana hata usomeshe vipi utaona laana tu Kwa watoto!!
Hakuna uzao wa baraka wala laana.
Zaa kwa kadiri uwezavyo na Lea kwa kadri ya majaaliwa huku ukiwaombea coz zama hizi ni za uovu hapa duniani!!
Ukiwalea na kuwadhibiti vyema watoto wako wala hawawezi kuwa na tabia mbovu.

Labda waamue kubadilika huko ukubwani wakiwa kwenye himaya zao.

Ila mtoto akibadilikia kwenye himaya yako, Tambua wewe ndio mwenye makosa kwenye malezi.
Maturity ni uwezo wa kuyatazama mambo katika three dimension sio one way process !!

Maisha hayana kanuni halisi ya kufuata zaidi ya discipline na bahati Kwa mtu husika!!!

Makinika !
 
Hapa wafia dini watakuona mbabaishaji tu, Hongera MUNGU akubariki mkuu, umetumia maarifa aliyokujalia, kuelimisha jamii.
 
Ndio kinacholeta ugomvi kwenye familia nyingi
 
Tukiacha suala la pesa ambalo lina kanuni zake kidunia, Kuna suala la kumjenga mtoto kihisia, wazazi wengi hatulijui hili suala.

Wazazi tuwe tayari kulea watoto kwa commitments za hali ya juu sana, Unakuta watoto wadogo wadogo wako heart broken💔
Hatuko tayari kwa huu mjadala.

Mleta mada ana hoja.
 
Ukiwalea na kuwadhibiti vyema watoto wako wala hawawezi kuwa na tabia mbovu.

Labda waamue kubadilika huko ukubwani wakiwa kwenye himaya zao.

Ila mtoto akibadilikia kwenye himaya yako, Tambua wewe ndio mwenye makosa kwenye malezi.
Na fainali ya malezi ya mtoto huja kipindi anapojitegemea na sio wakati unammiliki nyumbani!!

Wakati anaishi kwake ndio utajua faida ya malezi yako wala sio wakati unae nyumbani kwako,hapo anaweza igiza akiogopa uwepo wako!!
 
Mkuu chanzo ni maisha magumu.

Mtu anayezaa kila mwaka unategemea atajikita kwenye psychology ya mtoto saa ngapi?

Kuna wanawake wameolewa walishasahau kuvaa chupi. Kila wakati jamaa anawaza ngono tu.
 
Nilichokibaini hapa ni uwoga wa kubeba majukumu, aisee vijana acheni uwoga wa maisha.

Maisha ni zaidi ya mipango na matarajio.
Nyie ndio mnazaa Machawa.. .

Chawa ni mtu hana mwelekeo wa maisha anabaki kubahatisha liziki kwa watu wengine kwa kujikomba.
 
Wafia dini wameaminishwa na kuaminishwa dhana zisizo na ukweli.

Mimi siamini kwenye Mungu.

Lakini nashukuru kwa mchango wako.
We jamaa sasa umevuka mipaka. Mungu yupo ila sio kwamba ana msaada kivile kama tunavyoaminishana. Ila Yupo ametuumba
 
Na fainali ya malezi ya mtoto huja kipindi anapojitegemea na sio wakati unammiliki nyumbani!!

Wakati anaishi kwake ndio utajua faida ya malezi yako wala sio wakati unae nyumbani kwako,hapo anaweza igiza akiogopa uwepo wako!!
Mtoto akisha ondoka kwangu. Huyo sina shida naye tena.

Akiamua kubadilika ni yeye na maisha yake. Cha msingi tu, haishi kwangu tena na Asije kulia lia njaa au shida nyumbani kwangu maana nitamfurumusha.
 
We jamaa sasa umevuka mipaka. Mungu yupo ila sio kwamba ana msaada kivile kama tunavyoaminishana. Ila Yupo ametuumba
Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.

Kama Mungu yupo thibitisha uwepo wake na si imani za kufikirika tu.

Hakuna Mungu aliyeumba kitu chochote kile.

Huyo Mungu mmemtunga vichwani mwenu tu, Na wala huwezi kuthibitisha uwepo wake.

Anyway tujikite kwenye mada.
 
Mtoto akisha ondoka kwangu. Huyo sina shida naye tena.

Akiamua kubadilika ni yeye na maisha yake. Cha msingi tu, haishi kwangu tena na Asije kulia lia njaa au shida nyumbani kwangu maana nitamfurumusha.
We jamaa mtoto anauma wewe!!
Omba mungu sana,unafikiri hai mateja,mashoga ,majambazi wazazi wao wanajisikiaje kama sio hasara ya maisha!!?
 
We jamaa mtoto anauma wewe!!
Omba mungu sana,unafikiri hai mateja,mashoga ,majambazi wazazi wao wanajisikiaje kama sio hasara ya maisha!!?
Huyo Mungu wakuombwa hayupo.

Ndio maana hata wazazi wenye watoto walevi, majambazi, mashoga na mateja n.k

Wamesha hangaika, wanahangaika na wana endelea kujihangaisha kumuomba huyo Mungu watoto wao wabadilike, Lakini Nothing happens.

Litoto likisha amua kuwa na tabia mbovu, Na umemkanya vyakutosha hasikii. Niku lifukuza likafie mbali. Dunia ikamfunze.

Asirudi tena nyumbani kuleta ujinga wake.
 
Nasisi tunazidi kumwomba Wasiojulikana wafe badala yake Tunakufa sisi. Ni Kama Mungu kashachoka hasikilizi tena sala zetu.
Huyo Mungu wakuombwa hayupo.

Ndio maana hata wazazi wenye watoto walevi, majambazi, mashoga na mateja n.k

Wamesha hangaika, wanahangaika na wana endelea kujihangaisha kumuomba huyo Mungu watoto wao wabadilike, Lakini Nothing happens.
 
Litoto likisha amua kuwa na tabia mbovu, Na umemkanya vyakutosha hasikii. Niku lifukuza likafie mbali. Dunia ikamfunze
Hii kitu kuna single maza nimemwambia juzi akamaindi sana.

Nikamwambia huyo Mtoto wako ana zaidi ya miama 20 anafanya ujinga anaojua ukiendelea kujiliza eti unamuonea huruna yeye ndio atazidisha ujinga maana ameshakuteka akili. FUKUZIA MBALI Likafie mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…