Watoto ni gharama si baraka. Kabla hujafikiria kuzaa watoto tambua hili mapema

Haya yana mwisho
 
Haya yana mwisho
Mwisho wa kila kiumbe hapa duniani ni kifo chake yeye binafsi.

Dunia haina mwisho. Umezaliwa umeikuta, Utakufa utaiacha.

Ukifa, wengine wanazaliwa na wataendelea kuzaliwa na dunia itaendelea ku exist as normal.
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Mojawapo ya sifa ya kiumbe hai ni kuzaa. Kuzaa haingalii hali ya maisha ikoje
 
Mojawapo ya sifa ya kiumbe hai ni kuzaa. Kuzaa haingalii hali ya maisha ikoje
Hata kuku 🐔 ni kiumbe hai na akisha totoa vifaranga vyake huakikisha anavitunza na kuvihangaikia kuvihudumia.

Hukatazwi kuzaa ila hakikisha ukisha zaa watoto una uwezo wa kuwa hudumia.

Sio kuanza kusumbua watu wakusaidie.
 
Kuna watoto wa matajiri pale Bungeni wanatuibia kila leo. Kuna watoto wa matajiri wanatumia pesa zao kuteka wengine serikalini.

Maisha ni Fumbo.
 
Bora wanazaa watoto wachache, wangekuwa wanafyatua watoto wengi halafu wakawa na tabia hizo sijui ingekuwaje
Au sio!?
Km Hitler, ukute kazaliwa wa pekee na wazazi wenye uwezo lkn mambo alokuja kuyafanya hakuwa ht na faida ya kuzaliwa. Kuna disadvantages zake pia kulelewa bila kufunzwa maadili ya maisha
 
Kuna watoto wa matajiri pale Bungeni wanatuibia kila leo. Kuna watoto wa matajiri wanatumia pesa zao kuteka wengine serikalini.
Watanzania mmesharidhika na umaskini wenu na hali zenu za ufukara ndio maana hamjihangaishi kuwafurusha hao watawala wenu.

Na kwa hali yao mtaendelea kuteseka ninyi na vizazi vyenu.

Kama kuna watoto wa matajiri, Baba zao walipambana wakawa matajiri.

Wewe nenda kamuulize baba yako, Kwa nini alishindwa kuwa tajiri?
Maisha ni Fumbo.
Maisha si fumbo.

Maisha ni mikakati na mipango madhubuti.
 
Hizi mada zingine bhana unakaa umeshiba makande huko unakuja Jf na ushuzi wa makande yako
 
Mwisho wa kila kiumbe hapa duniani ni kifo chake yeye binafsi.

Dunia haina mwisho. Umezaliwa umeikuta, Utakufa utaiacha.

Ukifa, wengine wanazaliwa na wataendelea kuzaliwa na dunia itaendelea ku exist as normal.
Hata hicho unachokiongea ni Imani, kwasababu hujawahi kuona makaburi ya miaka ambayo ungehisi ni miaka ya mwanzo kabisa au kulikuwa na miaka mingine kabla ya hiyo, na ushahidi wake ni upi? Bado ni Imani hata historia za kawaida ambazo zina wafuasi Kama wewe nazo zinaelezea uwepo wa binadamu wa kwanza, je binadamu wa kwanza alizaliwa na nani?

Au tuassume binadamu wa kwanza aliota Kama mtu, je huo mtu ulitransform vip kuwa human reproductive characteristics, hakuna ushahidi kuhusu uwepo endelevu wa maisha ya Duniani, bado ni theory, Hata waliopima fuvu la binadamu wa kwanza bado hawana ushahidi wa kutosha kwamba alikuwa ni binadamu wa kwanza Ila kwasababu lile fuvu lilikuwa na miaka mingi kuliko masalia mengine bado ni theory na assumption tu hakuna ushahidi.

Human, emerge, exist, perish bado inasimama kwenye Imani Kama ya kwako, Wala nawewe huna ushahidi kwamba hakuna MUNGU.

Kama unataka ushahidi wa uwepo wa MUNGU tafuta ushahidi wa uwepo wa fuvu la miaka trillion 1000 iliyopita, usipopata type ushahidi utakaoturidhirisha kwamba MUNGU hayupo, ukishindwa bado nawewe ni walewale tu😂

Kama unaamini ukishakufa na habari yako inakuwa imeishia hapo, Basi upo sahihi kwasababu huo ndo ushahidi wa Imani uliyonanyo Sasa hivi.
 
Kama kuna watoto wa matajiri, Baba zao walipambana wakawa matajiri.
Maisha ni mikakati na mipango madhubuti.
Kwahiyo unafikri hao matajiri walipanga wazae wezi ama watekaji?
Kama huna la maana basi ficha hata ujinga ulionao.
Wewe nenda kamuulize baba yako, Kwa nini alishindwa kuwa tajiri?
Hatuwezi kuwa matajiri wote, maisha yatakosa maana kama umaskini utaondoka. Asipokuwepo wa kufa, uzima unakuwa hauna maana tena
 
Shida sio kuzaa bali namna ya kuzaa, hata wanyama mwituni hawazai kwenye ukame
tukiishi kwa mtazamo huu wa kutokuzaa kutokana na hali mbaya ya uchumi wa familia kuna hatari ya kupata idadi ndogo ya watu. Masuala ya kujamiana itakuwa hakuna. Matajiri tu ndio watakuwa wanajamiana tu kwa kuwa wana uhakika wa kutunza watoto. Acheni asili ichukue mkondo wake kila kiumbe hai huzaa
 
Unakuta mtu kwa bab
Makahaba woote almost wote wametoka kwenye familia zilizochoka hasa kwa kuzaana kama panya huku uwezo wa uchumi kidogo
a yake wako kumi kila mtu na mama yake huku kwengine Kwa mama watoto tisa kila mtu na baba yake akiicheki kushoto kwa baba hali Tete Kwa mama ndio ovyo yaan inabidi awe kahaba tu ili ajikwamue kiuchumi
 
Maisha yamebadilika kuzaa watoto wengi ilikuwa zamani enzi za mababu zetu ila sasaivi imepungua niulize kwanni china wametoka kutoka watoto wawilii kwa mmoja? Becaue the country can not provide everything for those kids
 
Kwahiyo unafikri hao matajiri walipanga wazae wezi ama watekaji?
Kuna sehemu nimetaja matajiri walipanga wazae wezi ama watekaji?

Umesoma mada na kuelewa wewe kichwa maji?
Kama huna la maana basi ficha hata ujinga ulionao.
Wewe ni Tabularasa.

Umesoma na kuelewa nilicho andika?
Hatuwezi kuwa matajiri wote, maisha yatakosa maana kama umaskini utaondoka. Asipokuwepo wa kufa, uzima unakuwa hauna maana tena.
Una fikra za kimaskini, kikapuku na kifukara.

Find someone of your league to parallel your mediocrity.
 
Huyu mtoa mada kaongea kisomi zaidi mnajua population diversity ya china??? Kafuatilie wengine SIO wafungwa ila kwao wamejaa inabidi waende maeneo ya nchi nyingine kuwekeza
 
What if, wazazi wako wasingekuleta duniani kwa kumfikiria dhana hiyo na ikizingatiwa wewe si mtoto wa kwanza, usiogope majukumu we fyatua tu maana Mungu na shetani wanatupia jicho hapo hapo.

Kwahiyo asingeletwa duniani angepata hasara gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…