Watoto ni gharama si baraka. Kabla hujafikiria kuzaa watoto tambua hili mapema

Watoto ni gharama si baraka. Kabla hujafikiria kuzaa watoto tambua hili mapema

What if, wazazi wako wasingekuleta duniani kwa kumfikiria dhana hiyo na ikizingatiwa wewe si mtoto wa kwanza, usiogope majukumu we fyatua tu maana Mungu na shetani wanatupia jicho hapo hapo.
Jamaa ana point lkn anaonekana kujiona ana akili kuliko wote yeye aseme watu tuzae kwa kiwango ambacho tunaweza kuwapa huduma na sio kufyatua tu km unavosema
 
Nyie wazungu wa kuchovya kaeni na uzungu wenu Koko, sie waafrika kwetu watoto ni baraka nakila mtoto anakuja na riziki zake duniani. Umeshafanya utafiti kwa matajiri wakubwa duniani pamoja na viongozi wakubwa walitokea kwenye familia gani?, na wasanii maarufu
 
Ukute wewe tu ulizaliwa mazingira magumu mno lakini leo hii nawewe unasema hivi
Kuzaliwa kwenye mazingira magumu sio kigezo cha wanao waje kuzaliwa kwenye mazingira magumu vilevile.

Kama mtu ulizaliwa kwenye mazingira magumu, Fahamu kwamba wazazi wako walikuwa wajinga, wazembe na wapumbavu.

Hawaku jipanga vizuri kabla ya kukuzaa wewe.
 
Naunga mkono hoja kwa 50% na napinga hoja kwa 50%
Mimi nadhani ukiwa masikini masikini, fukara, kabwela, hohehahe usiye na mbele wala nyuma si vema kuzaa watoto wengi badala yake zaa watoto wachache utakaoweza kuwahudumia.
Usiache kuzaa, kuzaa ni agizo la Mungu wa mbinguni.
 
Kuzaa ni kuendeleza mzunguko wa mateso duniani.

Kuna faida gani mtu kuzaa, AU kuna faida gani mtu kuzaliwa?? HAKUNA, ni upepo mtupu.

Ukizaliwa unapata faida gani? Unazaa ili iweje?

Kwa mfano lijitu kama Lucas Mwashambwa lina faida gani duniani?

Cc: secretarybird Lloyd Munroe Poor Brain Mbaga Jr
Ndiyo maana kwa kiasi kikubwa huwa ninakubaliana na wazungu wanaotuita waafrika nyani au sokwe.
Yaani mtu anajua hana pesa itakayomwezesha kulea mtoto halafu anandele kuwafyatua tu kama matofali na baadaye mtoto akiwa panya rodi mzazi huyo huyo aliyemfyatua anasema mtoto amekuwa na tabia mbaya.
Kwenye dunia hii mimi kama secretarybird nikikutana na mtu wa hovyo huwa simlaumu maja kwa moja bali nawalaumu wazazi kwa sababu huenda ndio chanzo.

Mnakula tunda kimasihara bila kujua kuwa kunakuvimbiwa.
 
Back
Top Bottom