Watoto ni gharama si baraka. Kabla hujafikiria kuzaa watoto tambua hili mapema

Watoto ni gharama si baraka. Kabla hujafikiria kuzaa watoto tambua hili mapema

Mtoa uzi bila shaka umeandika huu uzi ukiwa umepiga moja moto moja baridi..au umepiga ngumu kumeza nyepesi kumekesuka...mbona matajiri wengi unakuta wanawatoto 2, Mmoja au hawana kabisa mtoto hao ndo wenye akili? mtoto ni baraka.
Kama tajiri anazaa mtoto mmoja, wawili au watatu.

Wewe kapuku maskini choka mbaya, Utazaaje watoto wengi halafu useme ni baraka?

Hivi unafikiri sawa sawa kweli?
 
Utajiri haupo shule, bali ni kutoka kwa Mungu,.
Hakuna Mungu anayetoa utajiri. Huyo Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.
Kuna wasomi wangapi Tanzania, Nigeria, South Africa, etc. masikini kama wewe lakini waliofeli shule ndio matajiri?
Una elewa nilicho andika?
 
Nyie wazungu wa kuchovya kaeni na uzungu wenu Koko, sie waafrika kwetu watoto ni baraka nakila mtoto anakuja na riziki zake duniani. Umeshafanya utafiti kwa matajiri wakubwa duniani pamoja na viongozi wakubwa walitokea kwenye familia gani?
Acha hivyo mkuu wewe hujengi, unabomoa.
 
mwanaume hajaumbwa kuogopa challenges. mwanaume ameumbwa kukumbatia changamoto na kusonga mbele.

huwezi kusema unaogopa kuitwa baba kisa huna hela

wewe kama mwanaume ukifika miaka 30 hakikusha una baby boy miaka wa mika 3
NI ujinga kuibeba challenge ambayo ambayo hauna mkakati wa kuikabili eti kwa sababu tu wewe ni mwanaume.

Hakuna mwenye haja ya wewe kumthibitishia uanaume wako.

Kujua ufanye nini kwa wakati gani huo ndio uanaume
 
Nyie wazungu wa kuchovya kaeni na uzungu wenu Koko, sie waafrika kwetu watoto ni baraka nakila mtoto anakuja na riziki zake duniani. Umeshafanya utafiti kwa matajiri wakubwa duniani pamoja na viongozi wakubwa walitokea kwenye familia gani?
Haijalishi tajiri fulani alitoka kwenye familia ya kimaskini. Hupaswi kuzaa watoto waje wateseke na umaskini wako.

Hata kama tajiri alitoka kwenye familia ya kimaskini, Wazazi wa huyo tajiri pia walikuwa wajinga, wazembe na wapumbavu.

Acha kuleta ufafanuzi uchwara hapa.
 
Kweli mkuu. Makahaba wengi wametoka familia fukara mno.
Yaani ukiwaona wanajiuza unaweza ukawadharau na kwabagua lakini ukichimba ndani historia wakikupa unalia na machozi.

Unakuta mtu ni Single maza kazaa watoto hadi 5 kila mmoja na baba yake. Woote wametelekezwa kwa bibi kijijijj maisha magumu hatari.

Vujana wanaanza kuwaingilia wakiwa wadogo sana out their intent.

Mwisho wa siku Mwanamke anaona hakuna maana yoyote ya maisha na dunia haina huruma.
injury anayopata kimwili na kisaikolojia anaitumia kama kuumi,a jamii.

Jamii inajifanya ina maadili huku haina msaada wowote kwa jamii.

Anaamua kukinukisha anauza mbele na nyuma hana habari

Kwanza atapata hela( kuhusu fudaha ya tendo) hakuna yeyey anataka kulipiza jamii
Pornography na sex workers walizaliwa kwa njia hii
 
Back
Top Bottom