Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
IGP Sirro na ubilionea wake wote ana watoto watatu tu.Kama tajiri anazaa mtoto mmoja, wawili au watatu.
Wewe kapuku maskini choka mbaya, Utazaaje watoto wengi halafu useme ni baraka?
Hivi unafikiri sawa sawa kweli?
Halafu unakutana na kapuku maskini choka mbaya yuko huko kijijini Madongo kuinama anazaa watoto kama panya, Sijui anategemea nani aje amsaidie kulea?IGP Sirro na ubilionea wake wote ana watoto watatu tu.
Zaa, peleka moto halafu tuone kama hizo baraka zitakuja kukusaidia kulipa bills.Kuzaa ni baraka,vijana peleka motoooo
Huyo MUNGU hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.Mungu alisema zaeni mkajaze dunia,tusipozaa dunia itajaa sa ngapi,au wewe unatushawishi tumbishie MUNGU
Au unazaliwa ili uje KUSHENYENTWA na secretarybirdSometimess ukiwaza, yaani unazaliwa ili uje kucharangwa mapanga na chama fulani?
Na Mungu naye anaona tu wala haingili kati
Kabisa mkuu maisha ya sasa ukiwa na watoto wengi tegemea majambazi pia.Makahaba woote almost wote wametoka kwenye familia zilizochoka hasa kwa kuzaana kama panya huku uwezo wa uchumi kidogo
We utakuwa unaamini mizimuHuyo MUNGU hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.
Hakuna Mungu aliyesema watu wazae waka ongezeke.
Ni maandiko yenu ya kijinga ya Biblia, yanayo wapumbaza na kuwa aminisha ujinga.
Ndio nilikuwa gharama.Wewe ulikuwa gharama kwa wazazi wako!?
Mizimu haipo.We utakuwa unaamini mizimu
Usiogope majukumu pambanaZaa, peleka moto halafu tuone kama hizo baraka zitakuja kukusaidia kulipa bills.
Eti bwana Baraka iliwasaidia wazazi kulipa ada?Ndio nilikuwa gharama.
Wazazi wangu waligharamika kunilea, kunitibu, kunisomesha na kunipa matunzo yote.
Hakuna " Baraka" yeyote ile iliyosaidia wazazi wangu kunilea.
Kila mtu na imani yake we amini MUNGU hayupo mi niamini kuwa yupoMizimu haipo.
Siamini kwenye kuamini.
Mimi nataka kuwa kama wewe.....nahitaji Mwongozo Mkuu.Mizimu haipo.
Siamini kwenye kuamini.
Yaani kwa kweli hii ni mbaya sana
Yeah! Kama aliyeletwa duniani kimakosa ni wa kike kweli mimi nitafanya kitu mbaya kwa kutumia mkia wangu wa mbele then nampa anachotaka yaani simple and clear.