Watoto ni gharama si baraka. Kabla hujafikiria kuzaa watoto tambua hili mapema

Nitakupa mfano rahisi kabsa!
Mzee wangu alifariki 2010 tulienda msibani! Tulikuwa watoto 24 na watoto wa kiume tupo 18 na wakike 6. Marehemu Bibi alisema kuwa hakuna kitu cha thamani ambacho marehemu mtoto wake alikiacha duniani kama uzao wake!
WATOTO NI BARAKA Kasome Zaburi 127:3-5
 
Kwa hiyo unatushauri tuepuke hizi gharama au unataka kusemaje mkuu?
 
Umetudanganya......mzee wako alikuwa anapenda kutomba tu na si vinginevyo na wengine mlizaliwa kama matokeo tu na wala hakuwa amepanga
 
Hakuna anaye kukataza kuzaa, Zaa hata watoto 20 cha msingi usisumbue watu kuomba msaada.

Hakuna Mungu aliye agiza watu kuzaa.

Ni maandiko yenu tu ya dini yame waaminisha na kuwapumbaza hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…