Watoto ni gharama si baraka. Kabla hujafikiria kuzaa watoto tambua hili mapema

Watoto ni gharama si baraka. Kabla hujafikiria kuzaa watoto tambua hili mapema

Nitakupa mfano rahisi kabsa!
Mzee wangu alifariki 2010 tulienda msibani! Tulikuwa watoto 24 na watoto wa kiume tupo 18 na wakike 6. Marehemu Bibi alisema kuwa hakuna kitu cha thamani ambacho marehemu mtoto wake alikiacha duniani kama uzao wake!
WATOTO NI BARAKA Kasome Zaburi 127:3-5
Ngoja afike miaka 55 na huyo mtoto wake mmoja
 
Baraka ni nini tuanzie hapo?
Baraka ni imaginations just an illusion.

Baraka ni msemo uchwara.
Kwa taarifa yako hakuna kitu chenye thamani ambacho utakipata bure bila kukigharamia kukipata, kukigharamia kukimudu na kukiendesha! Fikiria Simu, gari, nyumba, TV, mke, nk. Na mtoto vivyo hivyo!
Na mtoto ni gharama hivyo hivyo.

Utahitaji kumsomesha, kumtibu, kumlisha, kumvisha, kumpa makazi.

Zote hizi ni gharama si baraka.

Una elewa hilo?
 
Umetudanganya......mzee wako alikuwa anapenda kutomba tu na si vinginevyo na wengine mlizaliwa kama matokeo tu na wala hakuwa amepanga
Ni kweli kabsa maana moja ya kazi msingi ya dhakari ni kutomba sio kujichua! Utajiri wa mtu timamu ni uzao wake!
Ngoja afike miaka 55 na huyo mtoto wake mmoja
Tatizo Waafrik wengi wakiona maisha ya Watu wa Magharibi wanadhani ni kitu kizuri. Ukienda MorningStar Senior Living pamoja na Crimson Village kukutana na vizee vyenye miaka 60+ wakiwa hawana watoto, wanalelewa na kutunza. Ukipata watoto wako wanne au watatu na wao wakapata watoto, he unadhani utaanza kufikiria kupata mawazo ya suicide!? Wakati kuna watu wanakutazama!??
 
mwanaume hajaumbwa kuogopa challenges. mwanaume ameumbwa kukumbatia changamoto na kusonga mbele.

huwezi kusema unaogopa kuitwa baba kisa huna hela

wewe kama mwanaume ukifika miaka 30 hakikusha una baby boy miaka wa mika 3
Miaka 21-26 unazaa mtoto ili iweje una wahi wapi??
 
Nianze kwa kusema Watoto si Baraka, Watoto ni Gharama.
Kabla hujafikiria kuleta kiumbe kwenye hii dunia tambua hili mapema.

Kabla ya kufikiria kuzaa watoto hapa duniani, Kaa chini wewe na mwenza wako mpange kabisa namna mtakavyo lea na kuhudumia watoto wenu hadi watakapo fika umri wa kujitegemea.

Kuna maelfu ya watoto maskini wanateseka sana hapa duniani kutokana na ujinga, uzembe na upumbavu wa wazazi wanao zaa hovyo hovyo kama mapanya bila malengo wala uwezo wa kutoa huduma na malezi.

Na hili ni janga kubwa sana kwa nchi maskini hasa barani Afrika.

Mtu maskini akizaa mtoto anaongeza maskini mwingine duniani na anaipa serikali mzigo mzito wa kugharamia ujinga wake na umaskini wa kizazi chake.

Wazazi maskini huzaa watoto kwa dhana uchwara kwamba
"watoto ni baraka" Lakini ndio haohao wa kwanza kutekeleza familia zao, kukwepa majukumu na uwajibikaji na wengine hufikia hatua hadi ya kuua au kujiua wao na familia zao kwa kigezo kwamba maisha ni magumu.

Kabla mtu hujafikiria kuzaa watoto kwenye hili dunia, Tambua kwamba, Maisha hayajawahi kuwa marahisi, Maisha si rahisi na Maisha hayatakuja kuwa marahisi kwa watu wazembe, wajinga na maskini.

Ewe kijana kabla hujafungua hiyo zipu yako kuleta watoto, Tambua kwamba Dunia haina huruma na haitakuja kukuonea huruma wewe na kizazi chako. Jipange na hakikisha uko vizuri kiuchumi.

Ewe binti kabla hujapanua hayo mapaja, tambua kwamba dunia haina huruma na haitakuja kukuonea huruma wewe na kizazi chako.

Kabla mtu hujafikiria kuzaa watoto kwenye hii dunia, tambua kwamba una wajibu wa kuhudumia na kulea hicho kiumbe wewe mwenyewe, Sio kulia lia kuanza kusumbua watu, ndugu, jamaa na marafiki wakusadie malezi, pesa au mahitaji kwa wanao uliozaa wewe mwenyewe.

Mwanaume kama unajua huna uwezo wa kuhudumia funga hiyo zipu. Mwanamke kama unajua huna uwezo wa kuhudumia usivue chupi.

Hakuna mtu anakusaidia kuzaa watoto kwenye hii dunia.Vivyo hivyo Usitegemee uje usaidiwe kulelewa watoto wako.

Watoto si baraka, Na Hakuna Mungu wa kuja kukusaidia kulea wanao. Kama una hii dhana futa huko kichwani. Ukishaleta mtoto kwenye hii dunia tambua kwamba wewe mwenyewe ndiye utawajibika kuhudumia.

This world 🌍 is not for the weak, ignorant, lazy and poor people.
You either go hard, go home or you die.

In the jungle of life salvation is largely on your hands.

Hakuna Mtu au Mungu wa kukuhurumia wewe na kizazi chako.

I'm out.

Umechangqnya vitu vi 2 sababu huna akili, kama watoto ni baraka sio kwamba watazaliwa bila midomo ili wasile!
 
Back
Top Bottom