Watoto ni gharama si baraka. Kabla hujafikiria kuzaa watoto tambua hili mapema

Watoto ni gharama si baraka. Kabla hujafikiria kuzaa watoto tambua hili mapema

Kwa kweli kuna nchi ambazo wao kuzaa ni furaha zaidi kwa sababu serikali zao zinawalipa kwa kuzaa watoto kama baadhi ya nchi za uarabuni nilizokaa
Ila kuna wengine pia kama nchi za Ulaya ambapo wao wanapewa kila kitu na serikali zao ila hawazai watoto wengi na ndio maana kila leo wakimbizi wanaingia kwao na kupokelewa kufanya kazi ambazo ni za kumwaga
Ila pia wapo ambao wana watoto wawili au mmoja tu na wakifika miaka 18 huondoka makwao wengi wao au wachangie gharama za nyumbani kama bills zote
Ila pia wazee wakizeeka nao wanaenda kutupwa sehemu za kulelea wazee mpaka wanapokufa
Sisi waafrika ni tofauti hatujielewi kabisa ni kama wanyama tu
Serikali hazina jitihada za kuondokana na umasikini
Na wananchi wanamalizia hasira kuzaa akijua kabisa hana hata ajira
Kweli unauza maji ndoo buku jero unategemea ukalishe familia ya watoto wengi kama fox anaetoka na kwenda kurandaranda na kuwinda
Unakuta nchi masikini inajisifia kwa ongezeko la watu katika miji yao ila ajira hakuna sasa hawa watu wana faida gani na nchi kama ajira zenyewe hakuna?

Una hoja usikilizwe
 
Nitakupa mfano rahisi kabsa!
Mzee wangu alifariki 2010 tulienda msibani! Tulikuwa watoto 24 na watoto wa kiume tupo 18 na wakike 6. Marehemu Bibi alisema kuwa hakuna kitu cha thamani ambacho marehemu mtoto wake alikiacha duniani kama uzao wake!
WATOTO NI BARAKA Kasome Zaburi 127:3-5
Sasa unadhani bibi Yako fikra zake ni sawa na zetu? Amezaliwa kwenye kizazi kinachoamini hivyo, kizazi ambacho malezi na makuzi hayakuwa na gharama kubwa.

Nisikuchoshe kama bibi kasema ni thamani tutegemee wewe kuzaa zaidi ya babaako sindio? Yani uzae watoto 25+
 
Kwahiyo ni bora mtu asizae kisa tu maisha ki magumu!??
 
Kuna watu wanaona ile furaha ya kuwa na mtoto inafunika machungu ya kulea kwa shida.

Wanaona yale machungu wanayopitia ni njia ya mungu kuwaandaa kwa ajili ya mafanikio.

Na kwa vile ni ngumu kukuta mtu anajuta kupata watoto(walau kwa uzoefu wangu), naona wapo sahihi.

Lakini na wewe pia, upo sahihi....

Wale wanaokataa kabisa kupata watoto, wapo sahihi pia....

Hili ni moja ya yale masuala yaliyo na sahihi nyingi.
 
Kwani wewe ndio unaleta mtoto?
Ndio anayeleta watoto ni wewe pamoja na huyo mwenza wako.
Anayeleta ni Mungu ndio maana wapo wengi wanajqmiana lakini hawapatq watoto.
Hakuna Mungu anayeleta watoto kwenye hii dunia. Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.

Hao wanao kosa watoto wana changamoto za kiuzazi, Si Mungu.
Acha mawazo ya kishoga!
Before you vomit your nonsense here make sure you are mentally enough to reason and think critically and properly so that you don't come here to advertise your ignorance.
 
Sasa unadhani bibi Yako fikra zake ni sawa na zetu? Amezaliwa kwenye kizazi kinachoamini hivyo, kizazi ambacho malezi na makuzi hayakuwa na gharama kubwa.

Nisikuchoshe kama bibi kasema ni thamani tutegemee wewe kuzaa zaidi ya babaako sindio? Yani uzae watoto 25+
Wewe unafikira za kishetani za kutokuzaa wakati Mungu alishasema nendeni mkaijaze dunia.
 
Ndio anayeleta watoto ni wewe pamoja na huyo mwenza wako.

Hakuna Mungu anayeleta watoto kwenye hii dunia. Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.

Hao wanao kosa watoto wana changamoto za kiuzazi, Si Mungu.

Before you vomit your nonsense here make sure you are mentally enough to reason and think critically and properly so that you don't come here to advertise your ignorance.
You are just shithole like any other shitholes!
 
Back
Top Bottom