Watoto wa Kitanga ni wazuri sana, kila nikifikiria wanaume wanao left-group inanifikirisha sana

[emoji1][emoji1][emoji1]

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Daah
WAdada wa Kitanga hawahishi hamu.

Kuna mmoja alinifanya nikamkimbia mke kwa muda hadi aliponihurumia nikarudi kwa familia.
 
Zamani kuna mwamba alinipigia simu.kwamba kaona mkewe anaongea sana na mimi.
Nilimwambia tu akomae nae mi hatutaonana tena.
Akashukuru sana
Basi ndo maana, jamaa atakuwa alivunja line ya dogo 😁😁
 
Tembea ukajionee Ninacho zungumzia mkuu, siyo kutoa tu lawama πŸ˜€πŸ˜€, vile ni vifaa vilivyo chongokoka.. Vijana walio enda huko tanga wengi wameishia kutelekeza familia zao.
 
Nakujua huko, ni mwenyeji...

Hata hivyo Tanga ya leo haswa Tanga mjinj imejaa mchanganyiko wa wenyeji na wageni kwa wingi si kama zamani...

Miaka ya zamani ilikuwa ni kawaida katika watu 10, basi watu 3 hadi 4 ni shombeshombe (wagunya)...
Miaka hiyo, basi ndo ilikuwa ya moto Zaidi....
 
Tembea ukajionee Ninacho zungumzia mkuu, siyo kutoa tu lawama πŸ˜€πŸ˜€, vile ni vifaa vilivyo chongokoka.. Vijana walio enda huko tanga wengi wameishia kutelekeza familia zao.
Sema kuna vitu watu hawavifahamu
 
Mbona umetuma picha za mtandaoni?

Hao wa chini ni watoto wa Arusha toka Meru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…