1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
nimeoa kabisa
😋
Yule aliyefundwa kabisa,,
Mama watoto wangu🌹
😋
Yule aliyefundwa kabisa,,
Mama watoto wangu🌹
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aah miaka 20 ishapita sasa katakua hata kamekua kabibi.Itakuwa ni majina yamefanana; ila kama alikuwa ni wandoto yako unaweza kufika maeneo aliyoishi ukapata pa kuanzia
Yupoje huyo salma. Keupe flani hv kanavaa hijab?Tangaaa rahaaa jamani.
Namkumbuka Salma mtoto wa Sahare kipindi hicho naishi Arusha.
[emoji1][emoji1][emoji1]Mwanamke bora asubiri nilete pesa tu kuliko kujifanya manka afuu show mbovu......tanga nakumbuka kuamka saa 4 na kuingia ndani mapema kabla halijazama, weekend tanga yaaanza alhamisi.....sikukuu ya idd ya tanga yaliwa week 2 [emoji28][emoji28][emoji28]
Ukijifanya unawai wai nguo zalowekwa maji unashindia taulo au msuli [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
DaahHabari wanaJF, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Hakika mungu ni fundi kama kweli yupo basi azidi kuwa na afya njema huko aliko 🙏, nilipata wasaa wa kutembelea jiji la Tanga, nikazunguka baadhi ya maeneo na vitongoji vyake, ukweli usemwe watoto wa kike kutoka tanga wameumbika kweli kweli:-
|• Ni weupe hata kama atakuwa na rangi nyeusi/majikunde lakini ngozi yake ipo mithiri ya mtu aliyejipaka mafuta ya mnyonyo.
||• Miili yao imekaa umbo la nyigu, kwa mwanaume aliye kamilika hawezi kuishiwa hamu ya kulamba buyu la asali.
|||• Siyo wachoyo, roho zao zimeumbwa kwa ajili ya kuwasaidia wanaume waliopatwa na kiu ya maji, hasa pale wakiwa katika hali ya kijangwa.
|V• Wakitembea barabarani mijusi na baadhi ya wadudu hutingishika huko maporini.
Muda wa kukaa Tanga umeisha, najisikia vibaya sana kuondoka hili jiji. 🤗🤗🤗.
View attachment 2911282View attachment 2911284View attachment 2911286View attachment 2911289
Ni hatariiii!!Daah
WAdada wa Kitanga hawahishi hamu.
Kuna mmoja alinifanya nikamkimbia mke kwa muda hadi aliponihurumia nikarudi kwa familia.
Tembea ukajionee Ninacho zungumzia mkuu, siyo kutoa tu lawama 😀😀, vile ni vifaa vilivyo chongokoka.. Vijana walio enda huko tanga wengi wameishia kutelekeza familia zao.1.kwamba weupe...hiiinadhihirisha mtu mweus mwenyew hapend ngoz nyeus..halaf anafosi mzungu au muhind kuipenda ngoz nyesi.[emoji16]
Wanapaka makeup za rang ya uzungu kidogo wawe weupe
Wengne wakijichubua na kuvaa mawigi just kufanana na mywele za kizungu.
Kwel ngoz nyeus tuna laana.
Miaka hiyo, basi ndo ilikuwa ya moto Zaidi....Nakujua huko, ni mwenyeji...
Hata hivyo Tanga ya leo haswa Tanga mjinj imejaa mchanganyiko wa wenyeji na wageni kwa wingi si kama zamani...
Miaka ya zamani ilikuwa ni kawaida katika watu 10, basi watu 3 hadi 4 ni shombeshombe (wagunya)...
Noma sana.Nasikia dawa zao ni kali sana, hata kama unafamilia unaweza itupupilia mbali kabisa....
Sema kuna vitu watu hawavifahamuTembea ukajionee Ninacho zungumzia mkuu, siyo kutoa tu lawama 😀😀, vile ni vifaa vilivyo chongokoka.. Vijana walio enda huko tanga wengi wameishia kutelekeza familia zao.
Mbona umetuma picha za mtandaoni?Habari wanaJF, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Hakika mungu ni fundi kama kweli yupo basi azidi kuwa na afya njema huko aliko 🙏, nilipata wasaa wa kutembelea jiji la Tanga, nikazunguka baadhi ya maeneo na vitongoji vyake, ukweli usemwe watoto wa kike kutoka tanga wameumbika kweli kweli:-