naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,961
- 5,460
Mkuu Mimi simlaum sana Marehem ila yupo jamaa (RIP) alikuwa akiishi huko huko watoto wapo hapa nyumbani Tanzania, baada ya kuondoka mama yao alirudi kwenye dini yake na kuwashawishi watoto pia wakasali naye mbaya zaidi aliwajaza ubaya kwa baba na dini ya baba pia watoto . Iakini jamaa alipopata hiyo habari aliumia sana ndugu walimsihi aendelee kuwahudumia na alifanya hivyo Hadi umauti ulipomfika, na hakupata kutuma picha zozote za kero mitandaoni Kama huyu marehemu wa sasa alivyokuwa akifanya, ina maana watoto wa Le Mutuzi wana zaidi ya miaka thelathini wanaona picha alizokuwa akituma baba yao mitandaoni hata bila ya ushawishi wa mama yao ingekuwa ngumu kumsamehesasa wewe dada, watoto wapo marekani, kiule marekani wanaishi na mama yao ambaye umegombana naye na anawalisha watoto sumu zile ulizoona mange analeta hapa ni chamtoto, watoto wameside na mama, na huwezi kurudi kule marekani kwasababu ulikimbia msala ukifika tu watakudaka na kukupeleka mahakamani then jela, unafikiri angewawekaje karibu sasa? mama yao angeamua kuruhusu hilo ingewezekana, lakini mama yao ndo unavyomjua, hata alipojaribu kuomba msamaha labda awe karibu na watoto mama katuma msg kwa mange. no wonder trump alisema nchi zetu ni shithole, ile shithole ni wewe nafikiri.
Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app